Swali Fikirishi: Hivi Ikulu ya Chamwino kuna nini hata Rais asikae?

Kukusaidia Bure tuu, ile ni mpango na uratibu wa Wana sgang, hivyo hakuna haha yaaswali mingi, kama nifiatiliaji wanayo sifa ya umimi, ukatili uliovuka viwango vya kawaida, na roho mbaya, sema lingone, upate ufafanuzi .Wadau wapo na Gt wapo Kwa ajili ya wote.
Umeandika kama unakimbizwa
 
Hao watu wamefanya nini na watafanya nini?
No disrespect but unaweka too muvh hopes kwa jamii hii ya kitanzania ambayo imetawaliwa na wanafki na waoga?
Litatokea tu iwapo kizaz hiki kitaondoka kije kingine.
But till then tutabakia watu wa kulalama miaka nenda miaka rudi
Unanikumbusha madai kuwa Kenyatta mkubwa alisema Nyerere anaongoza maiti.
 
Kukusaidia Bure tuu, ile ni mpango na uratibu wa Wana sgang, hivyo hakuna haha yaaswali mingi, kama nifiatiliaji wanayo sifa ya umimi, ukatili uliovuka viwango vya kawaida, na roho mbaya, sema lingone, upate ufafanuzi 🤔.Wadau wapo na Gt wapo Kwa ajili ya wote.
Mimi mwarusha lakini,wasukuma hawajawahi kua na roho mbaya kamweeeeeeeee,Zaid tu ni wachapakazi na watu serious ktk Maisha yao
 
Lazima ipungue kwakuwa mama si comedian mtafuna mahindi na mtoa matusi barabarani. Maana hata kipindi Joti na wenzake wakiwa live ITV/TBC watu wengi walikuwa wanaangalia Tv. Nchi ipo mikono salama tunaendelea na shughuli zetu. Si kusubiri matamko. Kama mtu katoka usingizini.
Kama vitu kupandishwa bei kana kwamba serikali haipo ndiyo nchi kuwa salama, sawa. Kweli nchi iko salama.
 
Ujenzi wa ikulu ya Chamwino ulikuwa uharibifu tu wa fedha walizodhulumu kuajiri vijana na kupandisha mishahara ya watumishi!
Hapakuwa na sababu kabisa ya kuhamia Dodoma! Hata Nyere angekuwepo sasa hili angelipinga kabisa!
Sababu zilizopelekea yeye ahamishie serikali Dodoma zaidi zilikuwa za kiusalama na sio kuenzi tu mawazo ya mtu!
 
Kama ilivyo hapo juu, ni kwanini Rais wetu kila akikaa pale Ikulu ya Chamwino muda mchache tu utamsikia amerudi Dar?

Hivi Ikulu ya Dar kuna mafaili yaliyobaki ambayo ni lazima kila muda arudi huko?

Kuna Moto gani pale unaowaka na kumchoma hata asifanyie shughuli zake hapo?

Nawasilisha.
Jangwani kule jamani!
 
Kukusaidia Bure tuu, ile ni mpango na uratibu wa Wana sgang, hivyo hakuna haha yaaswali mingi, kama nifiatiliaji wanayo sifa ya umimi, ukatili uliovuka viwango vya kawaida, na roho mbaya, sema lingone, upate ufafanuzi 🤔.Wadau wapo na Gt wapo Kwa ajili ya wote.
Hata kuandika hujui. Jinga tu
 
Kama ilivyo hapo juu, ni kwanini Rais wetu kila akikaa pale Ikulu ya Chamwino muda mchache tu utamsikia amerudi Dar?

Hivi Ikulu ya Dar kuna mafaili yaliyobaki ambayo ni lazima kila muda arudi huko?

Kuna Moto gani pale unaowaka na kumchoma hata asifanyie shughuli zake hapo?

Nawasilisha.
Mama wa kiswahili mpwani huyo. Hawezi kaa mbali na harufu ya karafuu😂😂
 
Ujenzi wa ikulu ya Chamwino ulikuwa uharibifu tu wa fedha walizodhulumu kuajiri vijana na kupandisha mishahara ya watumishi!
Hapakuwa na sababu kabisa ya kuhamia Dodoma! Hata Nyere angekuwepo sasa hili angelipinga kabisa!
Sababu zilizopelekea yeye ahamishie serikali Dodoma zaidi zilikuwa za kiusalama na sio kuenzi tu mawazo ya mtu!
Nugu zangu Watanzania, mbona tunakuwa kumbukumbu fupi (wepesi sana wa kusahau)!?

Tufananishwe na nini sijui, Kuku au panzi!!?

Mmetoka kulalamika masaa machache yaliyopita juu ya adha ya foleni inayosababishwa na misafara ya viongozi jijini Dar hali iliyopelekea watu kushuka kwenye magari na kutembea kwa miguu.
Masaa machache baadaye mnasema hakukuwa na umuhimu wa kuhamishia shughuli za serikali Dodoma na kwamba ndugu Pombe alikurupuka.

Hivi mmewahi kukokotoa ni hasara kiasi gani iliyokuwa inawapata wakazi, wafanyakazi na wafanyabiashara wa DSM kutokana na foleni barabarani!?

Ukiacha Ikulu (sina taarifa zake za ndani), hakukuwa na Wizara iliyokuwa inajitosheleza kwa majengo kutokana na ukweli kwamba yalijengwa kwa mipango na uhitaji wa wakati huo.

Ukiniuliza mimi "unadhani ni kwa nini ndugu Pombe alifufua na kusimamia utekelezaji wa serikali kuhamia Dodoma" nitakujibu ni kwa sababu ya "miundombinu"
 
Kwa hiyo wewe usiye na akili ya panzi au kuku, uwezo wako wa kutazama namna nyingine ya kuboresha jiji la Dsm kimiundombinu inashia kwenye kuhamia tu Dodoma?
Hivi uajua ni kiasi gani serikali na wafanafanya biashara wamepata hasara kubwa kwa kuhamishia serikali Dodoma kiholela namna ile?
Tembea hata sasa ma apartment mengi tu hapa jijini hayana wateja!
Kwanza unapaswa kukumbuka kuwa serikali zote zilizotangulia zimeshalifanyia jiji la Dsm maboresho mengi sana kama jiji la kibiashara na makao makuu ya nchi, hata wazo la kuanza kujenga maflyover ilikuwa sambamba na mikakati hiyo, Sasa anakuja mtu anaibua wazo la miaka 60 na nyie mnamshangilia!
Hatutaki kurudishwa nyuma wakati hata tulicho nacho sasa hakitutoshelezi!
 
Nugu zangu Watanzania, mbona tunakuwa kumbukumbu fupi (wepesi sana wa kusahau)!?

Tufananishwe na nini sijui, Kuku au panzi!!?

Mmetoka kulalamika masaa machache yaliyopita juu ya adha ya foleni inayosababishwa na misafara ya viongozi jijini Dar hali iliyopelekea watu kushuka kwenye magari na kutembea kwa miguu.
Masaa machache baadaye mnasema hakukuwa na umuhimu wa kuhamishia shughuli za serikali Dodoma na kwamba ndugu Pombe alikurupuka.

Hivi mmewahi kukokotoa ni hasara kiasi gani iliyokuwa inawapata wakazi, wafanyakazi na wafanyabiashara wa DSM kutokana na foleni barabarani!?

Ukiacha Ikulu (sina taarifa zake za ndani), hakukuwa na Wizara iliyokuwa inajitosheleza kwa majengo kutokana na ukweli kwamba yalijengwa kwa mipango na uhitaji wa wakati huo.

Ukiniuliza mimi "unadhani ni kwa nini ndugu Pombe alifufua na kusimamia utekelezaji wa serikali kuhamia Dodoma" nitakujibu ni kwa sababu ya "miundombinu"
Umeongea pointi mkuu

Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
 
Kama ilivyo hapo juu, ni kwanini Rais wetu kila akikaa pale Ikulu ya Chamwino muda mchache tu utamsikia amerudi Dar?

Hivi Ikulu ya Dar kuna mafaili yaliyobaki ambayo ni lazima kila muda arudi huko?

Kuna Moto gani pale unaowaka na kumchoma hata asifanyie shughuli zake hapo?

Nawasilisha.
Alipo Rais ndipo IKULU ilipo kwa muda huo, hata kama akiwa barabarani anasafiri kazi za IKULU zinaendelea, na uzuri zaidi Katiba yetu ama sheria haimbani kuwa Dom ama Dar.
 
Back
Top Bottom