Swali Fikirishi: Hivi Ikulu ya Chamwino kuna nini hata Rais asikae?

Kuweka kumbukumbu sawa hapa JF.
Mama Samia toka aingie madarakani huenda hajawahi kukaa kabisa ikulu ya Chamwino (labda kupita tu), muda wote akiwa Dodoma ameendelea kukaa katika makazi/ofisi yake ya awali wakati akiwa makamu wa rais. Ikulu ya Chamwino ni eneo jipya, nje kabisa ya jiji la Dodoma (Porini) ilifunguliwa na Magufuli ikiwa bado haijakamilika kila kitu na akaanza kukaa huko.

Ni kweli mama Samia huwa hakai muda mwingi Dodoma, lakini hajawahi kukaa kabisa kwenye ikulu ya Chamwino.
 
Hali mbaya mkuu. Huoni anaanza kutembea na wasanii muda huu. Amegundua hakubaliki bora aanze kampeni mapema. Ni hivyo tu.
kuna jamaa wanamvisha magunia pale hamza alipofanya tukio,

kuanzia asubuhi mpaka ijioni.

Unpopular president.

Na kwa jinsi kikwete anavyokuwa relevant kwenye hii awamu ndivyo hasira za watu zinazidi.

watu sio wajinga kama wanavyodhani.

wanaona kila kitu kinachoendelea,

It is just a matter of time tuachane na hizi drama zinazoendelea.
 
kuna jamaa wanamvisha magunia pale hamza alipofanya tukio,

kuanzia asubuhi mpaka ijioni.

Unpopular president.

Na kwa jinsi kikwete anavyokuwa relevant kwenye hii awamu ndivyo hasira za watu zinazidi.

watu sio wajinga kama wanavyodhani.

wanaona kila kitu kinachoendelea,

It is just a matter of time tuachane na hizi drama zinazoendelea.
Hao watu wamefanya nini na watafanya nini?
No disrespect but unaweka too muvh hopes kwa jamii hii ya kitanzania ambayo imetawaliwa na wanafki na waoga?
Litatokea tu iwapo kizaz hiki kitaondoka kije kingine.
But till then tutabakia watu wa kulalama miaka nenda miaka rudi
 
anafuata dudu mama bado damu inachemka kwaiyo antena ikisoma anapeleka mbususu kwa mwenzie
 
Kama ilivyo hapo juu, ni kwa nini Rais wetu kila akikaa pale Ikulu ya Chamwino muda mchache tu utamsikia amerudi Dar?

Hivi Ikulu ya Dar kuna mafaili yaliyobaki ambayo ni lazima kila muda arudi huko?

Kuna Moto gani pale unaowaka na kumchoma hata asifanyie shughuli zake hapo?

Nawakilisha.
Mama anapenda upepo wa baharini mkuu
 
Vichwa panzi wanataka hata kumpangia Rais wa Nchi pa kukaa.
Huwezi kukuta huu ujinga popote duniani isipokuwa Tanzania.Yaani makazi ya Rais yanapunguza nini kwenye mustakabali wa maendeleo ya Nchi?Akikaa Dodoma au Dar kote kuna Ikulu and then what?
Upeo wako ni mdogo
 
Back
Top Bottom