Sijakuelewa kwenye thread yako unataka tujifunze nini. au tuchangie kitu gani. Na zaidi sioni tija ya thread yako kwa taifa letu. Can you come again with some tangible ideas.Swala ya Idd Kitaifa inatarajiwa kufanyika Msikiti wa Gaddafi Dodoma huku JK akiwa mgeni rasmi. Hii inafanyika wakati kiongozi huyo wa Libya akiendelea kusakwa na majeshi ya waasi wa Libya.
Sijakuelewa kwenye thread yako unataka tujifunze nini. au tuchangie kitu gani. Na zaidi sioni tija ya thread yako kwa taifa letu. Can you come again with some tangible ideas.
Huo ni mchakato wa kumuenzi Gaddafi.
Kweli mkuu! Hao ndiyo ndugu zetu...! Huwa wanaenzi kila kitu cha ajabu.. Kama Osama bin Laden, Sadam Hussein, Idd Amiin n.k wote wanaenziwa mpaka leo itakuwaje kwa huyu aliyewajengea booonge la msikiti! hii kitu inafaa kwenye jukwaa la dini siyo hapa!Huo ni mchakato wa kumuenzi Gaddafi.
Sintashangaa kusikia wameanzisha Osama Day.Kweli mkuu! Hao ndiyo ndugu zetu...! Huwa wanaenzi kila kitu cha ajabu.. Kama Osama bin Laden, Sadam Hussein, Idd Amiin n.k wote wanaenziwa mpaka leo itakuwaje kwa huyu aliyewajengea booonge la msikiti! hii kitu inafaa kwenye jukwaa la dini siyo hapa!
Kuna mwanamziki wa Uganda alibadili dini na jina akaitwa Gaddafi nasikia juzi kaikana dini na jina.Labda kesho wataubadili jina rasmi!
Dah, siku hizi nimeisahau lugha hii any way naikumbuka kwa mbali ngoja niwape faida wana jf kidogo:- yaani "akili za magamba zinaweza kufikiri ya mbali kama ya libya lakini yanshindwa kufikiria matatizo ya bongo kama umeme, maji, petrol, disel mafuta ya taa na ufisadi" naddhani nimepatia kidogo.Je n'ai jamais perdu mon calories se disputer avec un Paillasse parce que les gens à distance ne pourront pas dire qui est qui
Kila kilicho kizuri tanzania kimejengwa kwa msaada wa nchi fulani au mtu fulan so haina maana kisitumia kisa tunaiezi hiyo nchi au mtu,kwa watanzania na waafrica Gadaf ametusaidia kwa kiasi kikubwa.bado huna haki ya kumchukia gadaf while aliwafanyia kila kitu ktk nchi yake,jiulize unasheherekea miaka 50 ya uhuru unakitu unachokipata bure kutoka serikali yako?kwa waafrica gadaf is hero kataa au kubali but he is hero,hayo mengine yanawahusu wenye kwa kukubali kuibiwa raslimal zao na wazungu
Kweli mkuu! Hao ndiyo ndugu zetu...! Huwa wanaenzi kila kitu cha ajabu.. Kama Osama bin Laden, Sadam Hussein, Idd Amiin n.k wote wanaenziwa mpaka leo itakuwaje kwa huyu aliyewajengea booonge la msikiti! hii kitu inafaa kwenye jukwaa la dini siyo hapa!
Swala ya Idd Kitaifa inatarajiwa kufanyika Msikiti wa Gaddafi Dodoma huku JK akiwa mgeni rasmi. Hii inafanyika wakati kiongozi huyo wa Libya akiendelea kusakwa na majeshi ya waasi wa Libya.
Labda hujafahamu kwamba bado kuna wapuuzi kama huyo Mwita 25 wanaodhani kwamba kiingereza ni usomi, hawa ni washamba waliosalia katika karne ya leo. najisikia furaha sana ninapotumia lugha ya kiswahili licha ya kwamba nina uwezo wa kuongea lugha 3 za kimataifa.
I never waste my calories arguing with a merry-andrew because folks at distance will fail to tell who is who
Mimi kinapanda kiswahili tuu, hivyo mmenipa kazi ya kuomba mtu anitafsirieNon ho mai sprecare il mio calorie litigare con un allegro-andrew, perché la gente a distanza non riuscirà a dire chi è chi