Swala Tano na Walokole mnazingua maofisini

Swala Tano na Walokole mnazingua maofisini

Hakuna kitu hapa kwanza Watanzania wengi ni wazembe tu maofsini. Hakuna haja ya kusingizia dini za watu

Ni uvivu uliokithiri na kushindwa tofautisha kazi na din
Na hii inapelekea familia zao kuwa masikin wakubwa
 
KAMA MMESHINDWA KUMNUSURU ALLAH KWA JIHAD,MKOPESHENI PESA!
Q47:7 Enyi mlioamini,MKIMNUSURU Allah,naye atawanusuru na kuithibitisha miguu yenu.
Q64:17 MKIMKOPESHA Allah mkopo mzuri,atakurudisheni,maradufu,na atakusameheni.Na Allah ni mwingi wa shukrani,Mpole.
JAMANI ALLAH ANATAKA MKOPO GANI TOKA KWENU?

Kafiri mla nyamafu kuja kuelewa hizi aya inataka kwanza waache kula nyamafu na haramu ndipo tuwafundishe maana yake.
 
Kafiri mla nyamafu kuja kuelewa hizi aya inataka kwanza waache kula nyamafu na haramu ndipo tuwafundishe maana yake.
Wewe ni mfuata Mkumbo tu, ni khasrah kwa dunia hii.
WEWE UNAFUATA MUHAMMAD AMBAYE HAKUFUNGA RAMADHANI alafu unashangaa nani Kafir!!? Kwanza jifunze uchafu wenu huko nyie mnao kula Kenge.

MUHAMMAD ASEMA NYAMA YA MIJUSI NA KENGE NI HALAL KULIWA
==============================================
Nabii wa Allah karuhusu Waislam kula nyama ya Kenge/Mijusi kama ilivyo katika hadithi zifuatazo:
1505496_544211282365099_618897597188454758_n.jpg

"Khaalid ibn al-Waleed anataarifu kwamba Nabii wa Allah aliletewa nyama ya Njusi aliye Okwa na kuweka mbele yake. Basi, Nabii wa Allah akanyoosha mkono wake na kuchukua kipande cha Nyama ya Njusi, lakini moja ya watu alio kuwa nao alisema, 'O Mtume wa Mwenyezi Mungu, ni hiyo ni nyama ya Mjusi, Khaalid ibn al-Waleed akaliuliza, 'O Mtume wa Mwenyezi Mungu, je, nyama ya Mjusi ni haraam?' Mtume Muhammad Alisema, 'HAPANA' Kwa hiyo Khaalid alichukua baadhi ya nyama ya Mjusi wakala. "(Imepokewa na al-Bukhaariy, 4981, al-Nisaa'i, 4242, na Abu Dawood, 3300).

Like

kaulize Inland Revenue ni nani walipa kodi wakubwa hapo nchini.

Kule kuvaa mokasini kwa wagalatia na kupaka mikorogo tayari kumekudanganya kuwa makafiri wana pesa!

Teh teh teh teh!

Ugalatia ni kaaz kweli kweli
ha ha ha una kazi kweli kweli. Hao ni asilimia ngapi ya population mbona unaruka ruka kujibu swali? Mmebaki tu mfumo kristo mfumo kristo. Sasa kama mnaongoza kwa kulipa kodi mbona mnalia lia. Kazi uvivu tu. Eti mali za Barkhesa unahesabu na wewe ni zako kama si utahaira ni nini huo
 
Alita taahira ni nani?
Mi sijataja jina hata moja , umeanza kujigonga mwenyewe!
Kudadeki!
Kafiri bana! Maneno meengi kazi zenu kufungua viwanda vya damu za yesu tu na kuwasababisha watu wazima wajinyee kwa kunywa hio damu ya bwana wa msalabani.

Nyambaff watengeneza gongo nyie.
 
10462707_594196704033223_9129690988038463500_n.jpg
 
Wadau mimi ni muislam na unapofika wakat wa sala nakwenda kusali,kama nahis kaz nayoifanya haitanipitilizisha na kipind kijacho ntaimaliza then natenda kusali,
kama nipo group discussion pia ntawaambia wenzangu naenda kusali,kama ni lecture let say inaanza dhuhur,ntaenda kusali ndo naingia darasan,kusali hakuna dharura,isipokua pia kusiharibu utendaj wa kazi,maana kusali hakuzid 10 minutes(kwa waislam) sijui wa upande wa 2,na nimekua na utaratibu huo kwa muda wote.....IBADA MUHIM SANA,HUYO USTADH WAKO NI MVIVU TU,
 
Uislam unashauri muelimishe mtu kwa upole aifahamu dini yako na aipende sio kwa chuki aichukie na asitamani hata kuiona naona dini zetu na maamrisho yetu hayana ugomvi ila sisi binadamu ndio tunamatatizo dini zote sawa muislam anamwamini yesu(nabii isa) kama nabii
 
Hivi mtu anaye tenda haya unataka aelimishwe kwa upole upi?

TheHateGame-vi.gif
 
Uislam unashauri muelimishe mtu kwa upole aifahamu dini yako na aipende sio kwa chuki aichukie na asitamani hata kuiona naona dini zetu na maamrisho yetu hayana ugomvi ila sisi binadamu ndio tunamatatizo dini zote sawa muislam anamwamini yesu(nabii isa) kama nabii

Huyo muhaya wa kigalatia ni kafiri mla nyamafu asie na weledi hata punje, hawezi kuelewa hata umwambie nini!
Huyo ukitaka akuelewe mpe damu ya bwana wa msalabani.
 
Attachments

  • 1404608496341.jpg
    1404608496341.jpg
    51.3 KB · Views: 88

Attachments

  • 1404608589857.jpg
    1404608589857.jpg
    41 KB · Views: 301
  • 1404608622036.jpg
    1404608622036.jpg
    38.8 KB · Views: 282
  • 1404608637309.jpg
    1404608637309.jpg
    26.5 KB · Views: 265
  • 1404608651428.jpg
    1404608651428.jpg
    53.3 KB · Views: 249
  • 1404608688423.jpg
    1404608688423.jpg
    58.1 KB · Views: 230
Nafikili mleta mada hukufanya utafiti,kwa kuwa swala la mtu binafsi unaliweka ktk dini,ulichotakiwa kufanya hapa ni kuchunguza dini inasemaje kuhusu sala na kazi kisha ukawaangalia wao wanafanyaje,ulichokifanya wewe ni kulaumu na kuleta chuki kwa wanao sali yaani wewe lengo lako ni kuposha watu wawachukie wanaosali
 
Nivizuri kila mtu akabaki na imani yake
 
Back
Top Bottom