ALLAH AWARUHUSU WAISLAMU KULA KITI MOTO NA KUNYWA POMBE!!!!
Kamakawaida yetu. Leo tutajadili ulaji wa Nguruwe na unywaji wa Pombekatika Uislam.
Nduguzanguni, huwa nashindwa kuelewa nini hasa ni tatizo la Allah??!! Hivihuyu Allah huwa ni Mungu au ni nani hasa? MBONA ANA KIGEUGEU Hivi?
ALLAH AMRUHUSU MUHAMMAD KUNYWA VINYWAJI VIKALI "POMBE"
Sahihi Muslim 3753:'' Sisi tulikuwa pamoja na Mtume wa Allah, na Yeye Mtumewa Allah alikuwa na kiu na mtu mmoja akasema: Ewe Mtume wa MwenyeziMungu, Je, unataka kunywa mvinyo? Mtume Muhammad akasema: Ndio. Basiyule Mtu alikwenda kuleta mvinyo. Mtume wa Allah akamwambia: LeteMvinyo ulio mkali ili ninywe; Basi Mtume wa Allah alipo kunywa uleMvinyo Mkali alilewa"
Kamaushaidi unavyo sema hapo juu, Allah karuhusu kunywa pombe. Baada yahali kumwia ngumu, Allah kaamua kulegeza sheria zake na kuruhusu KITIMOTO kwa wafuasi wake.
ALLAH ATOA RUHUSA YA KULA NGURUWE KWA WAISLAMU-NGURUWE SASA NI HALAL
QURANAL- BAQARA (2:173)
173.Yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu nanyama ya Nguruwe na kilicho tajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina laasiye kuwa Mwenyezi Mungu. Lakini aliye fikiwa na dharura bila yakutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi kula Nguruwe. HakikaMwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
JAMANI ALLAH SASA KESHA TOA RUHUSA KWA WAFUASI WAKE, KULA KITI MOTO NAKUMEZEA/TEREMSHIA KWA ULABU WA POMBE KALI. NDIO MAANA KITI MOTO HUWAKINADODA WAKATI WA MFUNGO, KUMBE WALAJI WAKUBWA WA HUYU MNYAMA ALIYEUMBWA NA ALLAH NI WAFUASI WAKE MWENYEWEE.........
QURAN SUURAT AN NAH'L (16:116).
Wala msiseme uwongo, kwa kuropokwa nandimi zenu: Hichi halali, na hichi haramu - mkimzulia uwongo MwenyeziMungu. Hakika wanao mzulia uwongo Mwenyezi Mungu hawatafanikiwa.
ALLAH KASEMA UKISEMA HIKI SI HALAL(HARAM) Kumbe huko ni kumzulia MwenyeziMungu UONGO.
HABARI NJEMA KWA WAISLAM:
Sasa ulaji wa Nguruwe na unywaji Pombe niHalal.