Swala Tano na Walokole mnazingua maofisini

Swala Tano na Walokole mnazingua maofisini

Na kwanini mtu akukwaze kwa kutimiza wajibu wake??? Basi Haya kwenda chooni isiwepo maofisini kwa sababu ni wastage of time

Hatukatai mtu kusal bt isi affect muda wa kazi....ya kaisar mpe kaisar na ya mungu mpe mungu............unapokua hufanyi kaz kwa ufanisi na unalipwa mshahara Huo ni WIZI na ni DHAMBI maana Hamna dini inayoruhusu WIZI.....si kwa Allah wala kwa walokole
 
Mkuu katika watu ambao wabachangia Taifa letu kuwa na IQ ndogo ni Walokole.....

These guys wanafikiri kila kitu ni.miujiza....Kuna mambo mengine ya kutumia akili ya kawaida tuu lakini hawawezi.....Mm huwa nawachana live...

Angalia vyuoni na mashuleni wao ndo vishika mkia.....

Ha ha ha umenikumbusha nilisoma na wadada flan ivi wao masaa 16 n kusali tuuu bt wakija kwenye mitian wanascore 0......mpk mwsho walitoka na 0
 
Kwahiyo unamaanisha wafanya ibada hawatakiwi makazini???wanatakiwa wezi,wasiomjua Munch na hao ndio mwisho mnawalalamikia Kuwa ni wabadhirifu wa Mali za umma na wala rushwa,ch
 
mniwie radhi kwa kuwa mkali kidogo.lakini hakuna pakusemea ni hapa hapa duniani.japo sio wote lakini ni dhahiri ndugu zetu hawa wanazingua kwenye kazi,hawajitumi,ruhusa zisizo isha,hawana mda wa kujifunza kazi/kuji-update wao kutwa na biblia au koroani tu!

Kibaya zaidi hawajisikii aibu kutokujua mambo mengi hata ya kawaida kabisa.wameridhika huwakuti wakichacharika.

Hapa ofisini tunao wote wawili.ustaadhi ye mda wote yupo na majarida ya kislam,ukimpatia kazi ya masaa ataifanya wiki na hataifanya vizuri.

Ana ratiba ya kufundisha madrasa mpaka sa 11 usiku anakuja job kupiga usingizi.ndivo ilivo kwa mkiristo mwenzangu huyu mlokole,ruhusa za vikao vya dini haziishi.

Ajabu kwenye mambo yetu chini ya kapeti tunapigaga wote.acheni hizo wandugu,dini zipeni nafasi yake,na kazi ipewe nafasi yake.kama huwezi basi acha kazi ubaki msikitini au kanisani.

eee bhana nilihama ofisi ya mwanzo kwa kusukumiwa kazi zoote , tulikuwa watano tu ofisini , watatu kati yetu walikuwa watu wa hivyo , cha kusikitisha walikuwa wa kwanza kulalamika mshahara ukichelewa , nikaona ujinga huu siuwezi nikatimka .
 
Kwahiyo unamaanisha wafanya ibada hawatakiwi makazini???wanatakiwa wezi,wasiomjua Munch na hao ndio mwisho mnawalalamikia Kuwa ni wabadhirifu wa Mali za umma na wala rushwa,ch

ni hivi muda wa kazi uwe wa kazi bhana , ofisi gani itaendelea KWA WATUMISHI KUSHINDA NYUMBA ZA IBADA , ACHENI UVIVU NYIE KWA KISINGIZIO CHA DINI .
 
ww kweli majungu ss km hutendaji wa kazi mbovu muajiri wao sindio angewaajibisha..sasa wewe unaongea km nani ina maana muajiri hayupo katika hiyo ofisi au ndio amekutuma umuakilishe??????????????????????????????????????????????
 
Ha ha ha umenikumbusha nilisoma na wadada flan ivi wao masaa 16 n kusali tuuu bt wakija kwenye mitian wanascore 0......mpk mwsho walitoka na 0

haaah,haah mda wa mitihani maombi kwa sana,wakati "pamphlets" hakizimeza,anaambulia D,then anakwambia hizo ndo alama za wacha Mungu
 
ww kweli majungu ss km hutendaji wa kazi mbovu muajiri wao sindio angewaajibisha..sasa wewe unaongea km nani ina maana muajiri hayupo katika hiyo ofisi au ndio amekutuma umuakilishe??????????????????????????????????????????????

nadhani unaelewa muajiri anapokuwa serikali how it works. Na mimi lazima nikuchane kwa kuwa sometimes kazi zinategemeana.
 
ni hivi muda wa kazi uwe wa kazi bhana , ofisi gani itaendelea KWA WATUMISHI KUSHINDA NYUMBA ZA IBADA , ACHENI UVIVU NYIE KWA KISINGIZIO CHA DINI .

Kama ni hivyo,Basi hata muda wa lunch usiwepo na watu wasiende chooni ili watu wafanye kazi kwa ufanisi kwani utakuta mtu anatoka lunch 7:30 anarudi 8:30,wakati anayeenda msikitini kuswali,hazidi dkk 20 tu,
 
Mkuu katika watu ambao wabachangia Taifa letu kuwa na IQ ndogo ni Walokole.....

These guys wanafikiri kila kitu ni.miujiza....Kuna mambo mengine ya kutumia akili ya kawaida tuu lakini hawawezi.....Mm huwa nawachana live...

Angalia vyuoni na mashuleni wao ndo vishika mkia.....

Acha kudanganya wewe mimi nimeokoka nikiwa sekondari tena zile mnaziita za vipaji Olevel na Alevel siku zote niliwakimbiza wakisoma pleti no.kwa nyuma mpaka chuo niliibuka kijogoo chezea maombi wewe.....ungeniuliza kama kuna kitu inalipa zaidi duniani mimi najua ni maombi.

"Mtakuwa vichwa na wala si mkia"
 
Hivi kuna ushaidi wa moja kwa moja unaothibitisha kuwa YESU alikuwa mwanaume!?
Nina mashaka!

Hatuhitaji kuthibitisha kwamba Yesu ni mwanaume au mwanamke tunalojua ni hili YESU KRISTO WA NAZARETHI ALIKUFA MSALABANI KUBEBA DHAMBI ZA ULIMWENGU NA KISHA AKAFUFUKA SIKU YA TATU NA SIKU MOJA ATARUDI KUHUKUMU ULIMWENGU, mkubali mkatae haitusumbui.
 
Acha kudanganya wewe mimi nimeokoka nikiwa sekondari tena zile mnaziita za vipaji Olevel na Alevel siku zote niliwakimbiza wakisoma pleti no.kwa nyuma mpaka chuo niliibuka kijogoo chezea maombi wewe.....ungeniuliza kama kuna kitu inalipa zaidi duniani mimi najua ni maombi.

"Mtakuwa vichwa na wala si mkia"

Hapo kanisani kwako angalia kwa makini haiba ya waumini wenzako, elimu yao, upeo wao wa kujua mambo, reasoning yao, familia zao halafu uje hapa tena.....

Mimi nimesoma na Walokole ni mmoja tuu alipata Div 2 tena huyo alikuwa haudhurii vipindi vya dini maana Viongozi wao wana Extend muda kwa kisingizio cha Roho Mt. eti kasema nao........Waliobaki wote waliambulia 3,4 na 0..

Sijui walienda kuhubiri Injili masikini ya Mungu...Dahhh.....Sasa kwakuwa wewe una upeo kidogo saidia Walokole wenzako wajitambue, mtaachwa nyuma kwenye ulimwengu huu....Mwisho na nyie mtajisahau na kuanza kulalamikia Mfumo Kristo....

Halafu punguzeni kuwa Radical.....Kuwa na Amani ya Bwana
 
Halafu punguzeni kuwa Radical.....Kuwa na Amani ya Bwana[/QUOT

Mimi kanisa nalosali mchungaji wangu ana PhD na msaidizi wake ni profesa sijui unaongelea walokole gani labda wale wanaoigiza.siyo kwamba ni radical wanafuata neno lilivyo hehehee pole ni watu wazuri na kazini ndiyo wanaoaaminika na kutegemewa.tupendane tu watu wa Mungu wote sisi ni watoto wa baba mmoja.
 
Hii ni muendelezo wa zile mada za kuikwaza jamii fulani ambayo iko general saba.

Hivi ni kweli Okwi Boban Sunzu kuwa walokole wote mnaowafahamu wako hivyo? Au ni wale walio ofisini kwako tu?

Vv
 
Mniwie radhi kwa kuwa mkali kidogo.Lakini hakuna pakusemea ni hapa hapa duniani.Japo sio wote lakini ni dhahiri ndugu zetu hawa wanazingua kwenye kazi,hawajitumi,ruhusa zisizo isha,hawana mda wa kujifunza kazi/kuji-update wao kutwa na biblia au koroani tu!

Kibaya zaidi hawajisikii aibu kutokujua mambo mengi hata ya kawaida kabisa.Wameridhika huwakuti wakichacharika.

Hapa ofisini tunao wote wawili.Ustaadhi ye mda wote yupo na majarida ya kislam,ukimpatia kazi ya masaa ataifanya wiki na hataifanya vizuri.

Ana ratiba ya kufundisha madrasa mpaka sa 11 usiku anakuja job kupiga usingizi.Ndivo ilivo kwa mkiristo mwenzangu huyu mlokole,ruhusa za vikao vya dini haziishi.

Ajabu kwenye mambo yetu chini ya kapeti tunapigaga wote.Acheni hizo wandugu,dini zipeni nafasi yake,na kazi ipewe nafasi yake.Kama huwezi basi acha kazi ubaki msikitini au kanisani.
Binafs naswali sala 5 lakini napopewa majukumu ya kiofisi nayatekeleza na hata ya kitaifa nafanya,huyo ni mvivu tu.Nakuhusia acha ku generalize mambo ndugu
 
Back
Top Bottom