Swala Tano na Walokole mnazingua maofisini

Swala Tano na Walokole mnazingua maofisini

Mniwie radhi kwa kuwa mkali kidogo.Lakini hakuna pakusemea ni hapa hapa duniani.Japo sio wote lakini ni dhahiri ndugu zetu hawa wanazingua kwenye kazi,hawajitumi,ruhusa zisizo isha,hawana mda wa kujifunza kazi/kuji-update wao kutwa na biblia au koroani tu!

Kibaya zaidi hawajisikii aibu kutokujua mambo mengi hata ya kawaida kabisa.Wameridhika huwakuti wakichacharika.

Hapa ofisini tunao wote wawili.Ustaadhi ye mda wote yupo na majarida ya kislam,ukimpatia kazi ya masaa ataifanya wiki na hataifanya vizuri.

Ana ratiba ya kufundisha madrasa mpaka sa 11 usiku anakuja job kupiga usingizi.Ndivo ilivo kwa mkiristo mwenzangu huyu mlokole,ruhusa za vikao vya dini haziishi.

Ajabu kwenye mambo yetu chini ya kapeti tunapigaga wote.Acheni hizo wandugu,dini zipeni nafasi yake,na kazi ipewe nafasi yake.Kama huwezi basi acha kazi ubaki msikitini au kanisani.

Huwez kuwa perfect kila kitu, waache na ulokole wao
 
Hakika maisha ya dunia ni pepo kwa kafiri, na ni jela kwa muumin. Maisha ya muumin hapa duniani ni kama msafiri aliyejipumzisha chini mti, huku akijua mda mfupi tu ataondoka.

...ungekuwa WW siyo WA dunia usingeweka hiyo Id yako, unajua maana yake au ni kibendera tu
 
Kuna watu wana mapepo kwenye hii thread, Yesu kwanza mengine baadae.
 
Mniwie radhi kwa kuwa mkali kidogo.Lakini hakuna pakusemea ni hapa hapa duniani.Japo sio wote lakini ni dhahiri ndugu zetu hawa wanazingua kwenye kazi,hawajitumi,ruhusa zisizo isha,hawana mda wa kujifunza kazi/kuji-update wao kutwa na biblia au koroani tu!

Kibaya zaidi hawajisikii aibu kutokujua mambo mengi hata ya kawaida kabisa.Wameridhika huwakuti wakichacharika.

Hapa ofisini tunao wote wawili.Ustaadhi ye mda wote yupo na majarida ya kislam,ukimpatia kazi ya masaa ataifanya wiki na hataifanya vizuri.

Ana ratiba ya kufundisha madrasa mpaka sa 11 usiku anakuja job kupiga usingizi.Ndivo ilivo kwa mkiristo mwenzangu huyu mlokole,ruhusa za vikao vya dini haziishi.

Ajabu kwenye mambo yetu chini ya kapeti tunapigaga wote.Acheni hizo wandugu,dini zipeni nafasi yake,na kazi ipewe nafasi yake.Kama huwezi basi acha kazi ubaki msikitini au kanisani.

Mayuu na wewe umezidi muda wote JF kazi unafanya saa ngapi?
 
sana mshikaji wangu daaah aisee nikiongea hapa nita toa id yangu ila siku fichi walokole wanazingua

Hao sio walokole halisi.
Ni walokole jina
Mind u mlokole halisi hawez fanya hayo
Hao wengine devil is using them
 
Huwa najiuliza wale wanaofoka mda mwingi wa kazi makanisani huwa wanaendesha vipi maisha yao ikiwa kazi hawafanyi
 
angekuwa bosi si angewafukuza waislam wote kazini na mungu kamjua tabia yake ndo maana kamjaalia kazi ya ulinzi
 
Uzembe, ujinga na kutokujitambua pasichanganywe na ucha Mungu au imani.
Kwa sababu hao wachache uliowaona ndio unahitimisha kwamba dini ni kikwazo cha maendeleo?

Kwenye suala la ufanisi wa kazi haliingiliani kabisa na dini ya mtu, ukiona mtu anatumia dini kutokuwajibika, huyo hajui anachokiabudu. Mtu wa aina hiyo angeweza kutumia kisingizio cha aina yeyote kutokutimiza wajibu wake.

Ndio maana kwa wale wakristo tukaambiwa ya Kaisari mpeni Kaisari na ya Mungu mpeni Mungu. Na Paulo akaongezea asiyefanya kazi na asile.
 
Mniwie radhi kwa kuwa mkali kidogo.Lakini hakuna pakusemea ni hapa hapa duniani.Japo sio wote lakini ni dhahiri ndugu zetu hawa wanazingua kwenye kazi,hawajitumi,ruhusa zisizo isha,hawana mda wa kujifunza kazi/kuji-update wao kutwa na biblia .....
Kibaya zaidi hawajisikii aibu kutokujua mambo mengi hata ya kawaida kabisa.Wameridhika huwakuti wakichacharika.
.......Ndivo ilivo kwa mkiristo mwenzangu huyu mlokole,ruhusa za vikao vya dini haziishi.

Ajabu kwenye mambo yetu chini ya kapeti tunapigaga wote.

Bwana/Bi OKW BOBAN SUNZU nikusaidie tu kuwa kwa maelezo yako hayo hakuna mlokole.
Biblia iko wazi kuwa Walokole wanapaswa kuwa chapa kazi kuliko wengine wote, wawe waaminifu (including muda) wasiseme uongo na hawaruhusiwi kufanya mambo ya "chini ya kapeti"

Usilaumu walokole hapo hakuna mlokole.
By the way sijui watu huwa wanauruka ule mstari maarufu aliousema Yesu. ngoja nikuwekee kwa kumbukumbu!

Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.

Sasa kama Yesu hawajui ulokole huo unakuwaje?
 
Last edited by a moderator:
Radical Muslims na Radical Christian(Walokole) are different but yet the same....

Kuna Mlokole mmoja alifukuzwa kazi kabisa.....Anatoroka Ofisini anaenda kuomba....
 
sana mshikaji wangu daaah aisee nikiongea hapa nita toa id yangu ila siku fichi walokole wanazingua

Mkuu katika watu ambao wabachangia Taifa letu kuwa na IQ ndogo ni Walokole.....

These guys wanafikiri kila kitu ni.miujiza....Kuna mambo mengine ya kutumia akili ya kawaida tuu lakini hawawezi.....Mm huwa nawachana live...

Angalia vyuoni na mashuleni wao ndo vishika mkia.....
 
Safi sana!
Kuwa mtumwa wa dini ni psychological disorder na inathiri mambo mengi tu licha ya uwajibikaji ofisini!

Mkuu yani ukifanya uchunguzi wako hawa watu wawili ni shida katika jamii....Radical Muslims na Radical Christians(Walokole)
 
Sasa wewe unaye ishi ndani ya BOX utaelewa nini zaidi ya UDAKU. I am just wasting my time talking to a nincompoop. There is life out of the diabolical box.

Kama wewe ni Mlokole elimisha walokole wenzako.....Mnaongoza kwa kuwa vilaza kila nyanja ya maisha.....IQ ndo zinachangiwa na Walokole..
 
Back
Top Bottom