Swala Tano na Walokole mnazingua maofisini

Mniwie radhi kwa kuwa mkali kidogo.Lakini hakuna pakusemea ni hapa hapa duniani.Japo sio wote lakini ni dhahiri ndugu zetu hawa wanazingua kwenye kazi,hawajitumi,ruhusa zisizo isha,hawana mda wa kujifunza kazi/kuji-update wao kutwa na biblia au koroani tu!

Kibaya zaidi hawajisikii aibu kutokujua mambo mengi hata ya kawaida kabisa.Wameridhika huwakuti wakichacharika.

Hapa ofisini tunao wote wawili.Ustaadhi ye mda wote yupo na majarida ya kislam,ukimpatia kazi ya masaa ataifanya wiki na hataifanya vizuri.

Ana ratiba ya kufundisha madrasa mpaka sa 11 usiku anakuja job kupiga usingizi.Ndivo ilivo kwa mkiristo mwenzangu huyu mlokole,ruhusa za vikao vya dini haziishi.

Ajabu kwenye mambo yetu chini ya kapeti tunapigaga wote.Acheni hizo wandugu,dini zipeni nafasi yake,na kazi ipewe nafasi yake.Kama huwezi basi acha kazi ubaki msikitini au kanisani.
Hii ni riwaya yenye kila chembe ya chuki, uzushi, na isiyo na justifications za kitafiti...huwezi kuchukulia udhaifu wa watu wawili kuwa ndiyo iwakilishe kundi lote! Uchamungu na kazi vina nafasi take na wala havipaswi kubezwa na dini zote zinahimiza watu wale kwa jasho lao!
Hizi zako ni PUMBA+ZO!
Udini unakata na kulimit uwezo wa kufikiri! Jitambue!
 
Masaa ya kazi yanatambulika (zimeainishwa kwa kazi husika) unatoka mlangoni unaweka dole gumba, unarudi unaweka tena dole gumba, kazi unafanya na cctv inarekodi na hata boss awe wapi ataona! Utachepukia wapi?...
Utalipwa kwa kazi uliyoifanya....
Kama hamna hayo kuwa muungwana usiibe muda wa mwajiri...
MUNGU ANAONA HATA YA SIRINI na Mbingu unayoitafuta utaiona
 
You can not use information of single person and generalize it to the whole population....mi nimekàa nao walokole na swala tano wengi ila wame perform vizuriii sana
 
sawa kabisa, sema ni wachache sana.Ni mmoja mmoja katika elfu moja
 
Hii ni riwaya yenye kila chembe ya chuki, uzushi, na isiyo na justifications za kitafiti...huwezi kuchukulia udhaifu wa watu wawili kuwa ndiyo iwakilishe kundi lote! Uchamungu na kazi vina nafasi take na wala havipaswi kubezwa na dini zote zinahimiza watu wale kwa jasho lao!

Sio kila kitu kinahitaji utafiti!!! angalia sehemu za wenye siasa kali....ni watu duni kiuchumi, na kijamii. Angalia makanisa ya wanaojiita walokole nao ni vile vile wako duni kiuchumi na kijamii.
 
Mniwie radhi kwa kuwa mkali kidogo.Lakini hakuna pakusemea ni hapa hapa duniani.Japo sio wote lakini ni dhahiri ndugu zetu hawa wanazingua kwenye kazi,hawajitumi,ruhusa zisizo isha,hawana mda wa kujifunza kazi/kuji-update wao kutwa na biblia au koroani tu!

Kibaya zaidi hawajisikii aibu kutokujua mambo mengi hata ya kawaida kabisa.Wameridhika huwakuti wakichacharika.

Hapa ofisini tunao wote wawili.Ustaadhi ye mda wote yupo na majarida ya kislam,ukimpatia kazi ya masaa ataifanya wiki na hataifanya vizuri.

Ana ratiba ya kufundisha madrasa mpaka sa 11 usiku anakuja job kupiga usingizi.Ndivo ilivo kwa mkiristo mwenzangu huyu mlokole,ruhusa za vikao vya dini haziishi.

Ajabu kwenye mambo yetu chini ya kapeti tunapigaga wote.Acheni hizo wandugu,dini zipeni nafasi yake,na kazi ipewe nafasi yake.Kama huwezi basi acha kazi ubaki msikitini au kanisani.
Ishu ya walokole nayo ni kiki nn ? Naona kila mtu anaibuka nayo
Hongereni
 
USHUHUDA:::Kuna wapo huku mume na mke, mke alikuwa mlokole TAG mume alikuwa mtaftaji(muda mwingi alikuwa busy kutafta pesa maana walikuwa na watoto wawili na watatu alikuwa secondary?
Mke sijui mara kwenye mikesha,sijui makongamano,mara sijui zamu za kufanya usafi na kupika kanisani sijui nini yaani home pachafu watoto wakazijua kazi zoote za home aisee mke akiwepo siku hiyo usiku ni shughuli ya maombi na kulia daaaaah bhana weee mume akasafiri kikazi kama miezi 3 duh si ndo mimba sasa mke kainasa huko kwenye mikesha maana alitaka kuitoa ikashindikana mwanawane... Je,unajua nini kilifuata hapooooo!!!!!!!!!!!!
Patamu apoo!
 
sana mshikaji wangu daaah aisee nikiongea hapa nita toa id yangu ila siku fichi walokole wanazingua

Kuna mlokole kazini kwetu....nilimpiga sound kakubali sema ishu ya papuch kagoma eti kama kuna majanga kwenye ukoo wetu naye ataunganishwa kwenye hiyo chain.....yaani wao ni kuwawazia wenzao kama majini au mashetani....hawawazi postive thing kwa wenzao,wanazingua we hacha tu.
 
Ulitaka akupe ili umtangaze?!
Acha hizo ndg
 
Nyie watu bwana!! teh teh teh, very pathetic.
Mtaishiaga kulalamika na kunung'unika kwenye mitandao ya kijamii, vijiweni na vichochoroni mpaka kufa kwenu.
Binafsi muda wa swala ukifika niwapo ofisini ni lazima niswali either nikaswalie msikitini or hapohapo ofisini na pia ninapokuwa sina jukumu la kikazi baada ya kuwa nimelimaliza mara nyingi napendelea kusoma ISLAMIC ARTICLES and TEXT BOOKS.
Naamini laiti tungelikuwa watumishi katika the same office, usingekuwa na uthubutu hata wa kunyanyua unyayo wako na kunifuata kwa jambo hili, ambalo ndilo kwalo umekuja nalo katika thread yako.
I HAVE SUBMITTED MYSELF TO ALMIGTY ALLAH, WHO IS NOT ASSOCIATED TO ANY THING, again ANY THING.
I 'm a MOSLEM, All Praises is due to ALLAH, the LORD of the worlds.

Uchunguzwe mkuu tena sana....yaani muda wa kuwa ifisini wewe unaenda kuswali.....vipi wale ambao sio waislam wenzio wakija na kukuta haupo umeenda msikitini wanapataje huduma kwa upande wako....na vipi siku unapokuwa msikitini na muda wa kuswali ukaisha uwa unafanya shughuli za ofisini?,tuache mambo ya udini hapa....fanya kazi kama muda ulioai ishwa....ukirudi hone ata ukiamua kesha unaswali no taabu.
 
USHUHUDA:::Kuna wapo huku mume na mke, mke alikuwa mlokole TAG mume alikuwa mtaftaji(muda mwingi alikuwa busy kutafta pesa maana walikuwa na watoto wawili na watatu alikuwa secondary?
Mke sijui mara kwenye mikesha,sijui makongamano,mara sijui zamu za kufanya usafi na kupika kanisani sijui nini yaani home pachafu watoto wakazijua kazi zoote za home aisee mke akiwepo siku hiyo usiku ni shughuli ya maombi na kulia daaaaah bhana weee mume akasafiri kikazi kama miezi 3 duh si ndo mimba sasa mke kainasa huko kwenye mikesha maana alitaka kuitoa ikashindikana mwanawane... Je,unajua nini kilifuata hapooooo!!!!!!!!!!!!
Sijakuelewa unataka kumaanisha nini?
Unamhukumu yeye? Au unauhukumu ulokole in general?
Tumia hata common sense basi
 
Ulitaka akupe ili umtangaze?!
Acha hizo ndg

Kwani hiyo tabia ya kupewa na kutangaza bado ipo mkuu.....yeye kagoma kwa ishu ya ulokole wake....hivi kwanini wanadhani sisi wenzao ni mashetani au makafili....Huyo Mungu anatudhania hivi kama wao?
 
Back
Top Bottom