the american dream
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 1,754
- 837
rmx yake featuring iyanya kali kinomanoma
aibu utaona wewe
Iyanya mi naonaga anajishebedua sana full kubana lips nadhani wadada wa naigeria wamemwambia yeye ni bonge la HB lol
rmx yake featuring iyanya kali kinomanoma
aibu utaona wewe
Iyanya mi naonaga anajishebedua sana full kubana lips nadhani wadada wa naigeria wamemwambia yeye ni bonge la HB lol
Huyu Iyanya kama hatumii madawa basi ana matatizo..
Kuna video alikuwa anahojiwa na dada mmoja Nigeria...anaongea kama teja...
Toka nione hiyo video nimemuwekea mkasi...mpaka nikamhurumia Ivon...maana alikuwa anahojiwa kwa nini wameachana...
Alibugi sana...
Kwa hiyo uzuri wa mwanake ni sura au tabia. Hata kama akiwa na sura kama malaika lakini akawana tabia mbovu hana lolote.
Wanaimba vizuri sana hawa vijana.