Sura yako muzuri mamaa

Sura yako muzuri mamaa

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
17,581
Reaction score
20,216
nimekuchagua wewe
nikupendeee mamaa
sitaki mwinginee
i wish usiniachee
usinitendee
mamaa usipende mwinginee

MOYO WANGU NI MWEPESII
UMENIKALIA CHAPATI
NAFANYA VITUKO KAMA CHIZI
KUKUPENDA SITASIZIIIII


sura yako muzuri mamaa
muzuri mamaa,muzuri mamaa
muzuri mamaaa

na tabasamu lako mauaaa
muzuri mamaaa,muzuri mamaaa
muzuri mamaaa
 
rmx yake featuring iyanya kali kinomanoma

aibu utaona wewe

nimeichek ypu tube ila ki ukweli hili song limenibamba joo as you know nasapot guud music
sio maswala ya BASI NIPE MIEEE MSONDO WAt@???! hell noo

hiki kitu kina viwango
 
nimeichek ypu tube ila ki ukweli hili song limenibamba joo as you know nasapot guud music
sio maswala ya BASI NIPE MIEEE MSONDO WAt@???! hell noo

hiki kitu kina viwango

Wimbo wa nani huu? masai dada
 
Last edited by a moderator:
Wimbo huu jamaa wamecopy kutoka kwa black blood au Chicano kundi hili la muziki la Waafrika waliokuwa wakiishi na kusoma Norway miaka ya 1975's nyimbo iliitwa "Kirie Kirio!"

Ila yote kwa yote jamaa wameipeleka next level kazi hii kwani hawajacopy na kupaste wameiongezea ladha murua. Big up kwao!!

Akyanani!! Hata ukimuuliza Masoud masoud wa Radio Tanzania Dar es salaama atakwambia!!
 
nimekuchagua wewe
nikupendeee mamaa
sitaki mwinginee
i wish usiniachee
usinitendee
mamaa usipende mwinginee

MOYO WANGU NI MWEPESII
UMENIKALIA CHAPATI
NAFANYA VITUKO KAMA CHIZI
KUKUPENDA SITASIZIIIII


sura yako muzuri mamaa
muzuri mamaa,muzuri mamaa
muzuri mamaaa

na tabasamu lako mauaaa
muzuri mamaaa,muzuri mamaaa
muzuri mamaaa

Kwa hiyo uzuri wa mwanake ni sura au tabia. Hata kama akiwa na sura kama malaika lakini akawana tabia mbovu hana lolote.
 
nimekuchagua wewe
nikupendeee mamaa
sitaki mwinginee
i wish usiniachee
usinitendee
mamaa usipende mwinginee

MOYO WANGU NI MWEPESII
UMENIKALIA CHAPATI
NAFANYA VITUKO KAMA CHIZI
KUKUPENDA SITASIZIIIII


sura yako muzuri mamaa
muzuri mamaa,muzuri mamaa
muzuri mamaaa

na tabasamu lako mauaaa
muzuri mamaaa,muzuri mamaaa
muzuri mamaaa

duuuh!! i love the song jamani na video yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom