Sura yako muzuri mamaa

Sura yako muzuri mamaa

kaaah!! kwaito zimenichosha hatari, hv hakuna kingine? huu wimbo mie siuchokagi alafu napenda nikiutazama basi nidance na mimi, burudaniiiii

ingia you tube utaona dance flani wameucheza huu wimbo aiseee
hadi raha
 
club mbalamwezi kila jumapili kuna bendi wanapiga nyimbo mbali mbali including huo
jana waliupiga...watu walilipuka kwa mayowe..wanaupatia mno...njoo jumapili moja

asantee sana kwa taarifa muruaa
jumapili hii nitakuja

unakumbuka kipindi AYEE inatoka
sijajua coco hii kitu ikipigwa inakuaje
 
my dear huko insta kulinishinda ujinga mwingi nilishapasahau
anyway cku nyingine tahakikisha siwakosi

weka account yako private uwafollow watu wenye akili zao
basii
 
asantee sana kwa taarifa muruaa
jumapili hii nitakuja

unakumbuka kipindi AYEE inatoka
sijajua coco hii kitu ikipigwa inakuaje

basi hadi aye wanaipiga...yaani kuna wabongo wana vipaji ajabu
wakipiga live unaweza fikiri davido au sauti sol wako live
 
Umenifanya nicheke kwa sauti...
Nimekukalia kama chapati...lol..
Miaka yote hiyo tangu tuwe wote bado nashikilia usukani 'mke mpya'...
Lazima umekuwa chapati...maana unaanza kuona nyumba kubwa ndogo na ndogo kubwa...

hahaa babe labda unazidi kuwa mpya kwangu...
ila huu wimbo ukipigwa tu nakukumbuka
yaani naomba ukiusikiliza tu ujue every word humo for you..

wimbo uko funny na unaleta feel good feelings...
ukiusikia ongeza sauti ucheze kidogo..utashangaa...
 
hahaha aiseee umekoroga lugha kama sio kiswahili
 
Ngoja nijaribu kucheza...na kuupenda...just for you...
Maana miziki ya Kenya hainibambi kabisa...sababu ya swahili yao mbofu mbofu...

hahaa babe labda unazidi kuwa mpya kwangu...
ila huu wimbo ukipigwa tu nakukumbuka
yaani naomba ukiusikiliza tu ujue every word humo for you..

wimbo uko funny na unaleta feel good feelings...
ukiusikia ongeza sauti ucheze kidogo..utashangaa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom