masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,581
- 20,216
- Thread starter
- #21
Umenikalia chapati??
nafanya vituko kama chizi
kukupenda sitosiziiii
sura yako muzuri mamamaaaa
Umenikalia chapati??
Wimbo wa nani huu? masai dada
Mi sikujua kama The Boss ana ndoa ya mitaala.
Wanaimba vizuri sana hawa vijana.
Nimeudownload muda cyo
Mrefu nakuja fb nakutana na status
Wimbo huu jamaa wamecopy kutoka kwa black blood au Chicano kundi hili la muziki la Waafrika waliokuwa wakiishi na kusoma Norway miaka ya 1975's nyimbo iliitwa "Kirie Kirio!"
Ila yote kwa yote jamaa wameipeleka next level kazi hii kwani hawajacopy na kupaste wameiongezea ladha murua. Big up kwao!!
Akyanani!! Hata ukimuuliza Masoud masoud wa Radio Tanzania Dar es salaama atakwambia!!
Hadi moyo umeshtuka jamani mie nilijua haujapata mke bado....
Naupendaaaaa
Piga densi kidogo, piga de, piga densi kidogo.....
Sura yako muzuri mama
Nimeudownload muda cyo
Mrefu nakuja fb nakutana na status
Kwa hiyo uzuri wa mwanake ni sura au tabia. Hata kama akiwa na sura kama malaika lakini akawana tabia mbovu hana lolote.
duuuh!! i love the song jamani na video yake
Shee masai dada angalia usipandishe mori unavyocheza nakuona ujue
Wewe nahisi huna bahati..haupendeki...nimejitahidi lakini wapi...
yaani nzuri sana kwa harusii
sio lazima KWAITO KILA HARUSI
me tooo
leo wapo dar hawa jamaa wish ningejua tangu asubuhi nimeona tangazo usiku huu
Kwa hiyo uzuri wa mwanake ni sura au tabia. Hata kama akiwa na sura kama malaika lakini akawana tabia mbovu hana lolote.
kama ulijua nimeuchezaaaa weeeeee nikasema embu nishee na familia yangu jamiii forum
u cant be serious!! aisee hata mimi najuta kutokuwa na taarifa hizi