ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,116
- 49,840
Aisee huenda Tanzania ikaingia kwenye rekodi ya Dunia ya aina yake Kwa kuwa na Watoto wenye uzito uliokithiri kuliko umri wao.
Huko Dodoma Kuna Watoto 2 wa familia Moja ambapo mwenye miaka 6 ana uzito wa kilo 70 na mdogo wake mwenye miaka 4 ana uzito wa kilo 50.
Ukibonge wa hivi sijawahi usikia popote Duniani Kwa Watoto wadogo kama hao kuwa na umri wa watu wazima.
My Take
Serikali Kupitia Wizara ya Afya fanyeni Uchungu wa vinasaba kubaini nini kinasababisha Hali hii.Mtoto kula kilo 5 sio jambo la kawaida.
Pili Prof.Janabi Huwa anaonya kwamba unene unakawaida ya kubadili vinasaba hivyo sio jambo la kufurahia unapozaa Watoto wenye uzito zaidi ya kilo 2.
View: https://www.instagram.com/p/C2FqXltAVOZ/?igsh=Nm5qZnVycTBiZW16

Wazazi wenye watoto waliopitiliza uzito waiangukia Serikali
Familia hiyo yenye watoto wanne, wawili kati yao Imani Joseph (6) na Gloria Joseph (4) wana uzito kuliko umri walionao, hivyo kutishia usalama wa afya yao.
www.mwananchi.co.tz