Sup ya chuo ilinikosesha mke!

Sup ya chuo ilinikosesha mke!

ni miaka kama miwili imepita. Nakumbuka nilianza naye uhusiano nikiwa mwaka wa nne na yeye mwaka wa mwisho chuoni kwao. Kabla ya hapo nilikuwa karibu naye kwa miaka kama miwili nyuma. Akamaliza chuo akaniacha nikiwa mwaka wa tano ili niweze kuhitimu masomo yangu. Kwa muda ambao alikuwa anasubiri ajira alikaa nyumbani kwao kwani hakupata sehemu ya kujishikiza. January ajira zikatoka kapangiwa kigoma mi niko dar. Nilimwambia hamna noma kwani mawasiliano na usafiri si upo, we nenda. Akaenda kuripoti na kuanza kazi(ni mwalimu). Tuliendelea na mawasiliano huku mi nikiendelea kupiga shule ili nimalize nikafanye internship nioe kabisa. Niliwahi kumwambia nyuma kwamba kuoa kwangu ni mpaka niwe na uhakika wa kwamba tutakula na kulala kwa amani. Nikiwa naendelea na shule bahati mbaya nikaangukia mikononi mwa walaji wa vichwa(muhas wanajua hili) nikaliwa kozi moja. Loh! Sikuwahi kupata sup hivyo nilichanganyikiwa lakini nilijipa moyo kwani sikuwa wa kwanza. Na kurudia ni until when next offered meani ntarudia kozi na madogo. Nikajipanga nikamwambia mwenzangu akaniuliza, ko unagraduate lini? Nikamwambia, mwakani.. Akanambia, ko kuna mwaka mmoja mbele? Nikajua hapa mwenzangu anapiga mahesabu ya kuolewa, nikamjibu ndiyo. Kozi ilikuwa kama wiki 12, semister ilivyoanza nami nikaanza, loh.! Matatizo yakaanza, mawasiliano hovyo, akiongea mkato mkato yaani ikawa ni balaa. Alipata likizo akagoma kuja dar bila sababu. Katika kufuatilia kuna jamaa yangu wa karibu akanambia kuna jamaa mwingine anabambia. Nikaona hamna shida nikapiga chini na kuendelea na maisha yangu na nashukuru Mungu ile kozi niliipunch. Mpaka leo wanawake nawaona kama watu wanaotaka mafanikio tu bila kujua kwamba kuna visiki humo njiani.
c ushukuru umetemwa mapema, ungetemwa kipindi hu mgonjwa na unamuhitaj sana c ingekua balaa kwako.
 
weee! Medicine na baed havilingani hata siku moja. By the way mtu aliyesoma kozi za science hawezikushangaa sup. Kuna muda tunachukuliaga normal life. Yes future isikufanye kuwa mtu wa kubahatisha.
mkuu nakubaliana na wewe tena muhas! Wakiamua kichwa wana kilamba, chezea Nyambo weye!
 
mkuu kuna watu wanachezea sup tangu first year mpaka wanamaliza. Loh! Elimu ya chuo ina challenge zake lakini haifanyi mtu aonekane kilaza. Nilishuhudia washkaji wazuri yaani very bright lakini wanadisco kwa kukosa mbinu za mtihani.
 
mi ndo mana vichwa vya klas moja nilikuwa sili, nilikuwa naona awkward nina banda afu msela ana sup.

Ama nina div ya mana afu msela anachechemea.

Napenda anizidi kwa vingi, hasa kichwani.

Ndio maana wengine huwa wanadanganya sana hasa mkiwa course tofauti kwa kujitutumua na kujifanya yupo makini tena confidence level inakuwa juu mpaka umshitukie kilaza ameshakuingiza kwenye 18 zake kuchomoka inakuwa too late
 
mkuu kuna watu wanachezea sup tangu first year mpaka wanamaliza. Loh! Elimu ya chuo ina challenge zake lakini haifanyi mtu aonekane kilaza. Nilishuhudia washkaji wazuri yaani very bright lakini wanadisco kwa kukosa mbinu za mtihani.

Mbona hapo kwa lugha ya statistics hapo bolded tunasema "no correlation"
 
mi ndo mana vichwa vya klas moja nilikuwa sili, nilikuwa naona awkward nina banda afu msela ana sup.Ama nina div ya mana afu msela anachechemea.Napenda anizidi kwa vingi, hasa kichwani.
ukitaka kujua maisha ni mabaya basi olewa na mwanaume uliyemzidi kiakili.
 
ni miaka kama miwili imepita. Nakumbuka nilianza naye uhusiano nikiwa mwaka wa nne na yeye mwaka wa mwisho chuoni kwao. Kabla ya hapo nilikuwa karibu naye kwa miaka kama miwili nyuma. Akamaliza chuo akaniacha nikiwa mwaka wa tano ili niweze kuhitimu masomo yangu. Kwa muda ambao alikuwa anasubiri ajira alikaa nyumbani kwao kwani hakupata sehemu ya kujishikiza. January ajira zikatoka kapangiwa kigoma mi niko dar. Nilimwambia hamna noma kwani mawasiliano na usafiri si upo, we nenda. Akaenda kuripoti na kuanza kazi(ni mwalimu). Tuliendelea na mawasiliano huku mi nikiendelea kupiga shule ili nimalize nikafanye internship nioe kabisa. Niliwahi kumwambia nyuma kwamba kuoa kwangu ni mpaka niwe na uhakika wa kwamba tutakula na kulala kwa amani. Nikiwa naendelea na shule bahati mbaya nikaangukia mikononi mwa walaji wa vichwa(muhas wanajua hili) nikaliwa kozi moja. Loh! Sikuwahi kupata sup hivyo nilichanganyikiwa lakini nilijipa moyo kwani sikuwa wa kwanza. Na kurudia ni until when next offered meani ntarudia kozi na madogo. Nikajipanga nikamwambia mwenzangu akaniuliza, ko unagraduate lini? Nikamwambia, mwakani.. Akanambia, ko kuna mwaka mmoja mbele? Nikajua hapa mwenzangu anapiga mahesabu ya kuolewa, nikamjibu ndiyo. Kozi ilikuwa kama wiki 12, semister ilivyoanza nami nikaanza, loh.! Matatizo yakaanza, mawasiliano hovyo, akiongea mkato mkato yaani ikawa ni balaa. Alipata likizo akagoma kuja dar bila sababu. Katika kufuatilia kuna jamaa yangu wa karibu akanambia kuna jamaa mwingine anabambia. Nikaona hamna shida nikapiga chini na kuendelea na maisha yangu na nashukuru Mungu ile kozi niliipunch. Mpaka leo wanawake nawaona kama watu wanaotaka mafanikio tu bila kujua kwamba kuna visiki humo njiani.

POLE SANA...
Ivi ulishawahi kumla..aka.. Kuonja utamu wake au ndio mlikuwa kwenye uhindi sana{kuchkuch}...?
 
mi ndo mana vichwa vya klas moja nilikuwa sili, nilikuwa naona awkward nina banda afu msela ana sup.

Ama nina div ya mana afu msela anachechemea.

Napenda anizidi kwa vingi, hasa kichwani.

Umenikumbusha my undergrad studies kuna mtu nilitaka kuomba kura then nikarealize mtoto ana first class, nilikomaa aje na masomo!
 
Mbona hapo kwa lugha ya statistics hapo bolded tunasema "no correlation"

mkuu unajua kwa Robert Einstem alidisco chuo? Samahani kama siyo mtu wa sayansi lakini. Unajua kuna watu mkikaa naye kwenye discussi nyie mnamtegemea yeye ila kwenye mtihani anashindwa kuyapresent yale aliyonayo? Mtu kasoma shule zetu katoka na div 1 nzuri form four na six unaweza kumwita kilaza? Huyu akidisco chuo utasema uwezo wake mdogo. Kwa elimu ya chuo mtihani siyo kipimo kizuri kujua kama watu wameelewa au la!
 
POLE SANA...
Ivi ulishawahi kumla..aka.. Kuonja utamu wake au ndio mlikuwa kwenye uhindi sana{kuchkuch}...?

mzigo niliubeba kama kawa. Mimi huwa siabudu mambo sijui ya kusubiriana, no! Ukinikubalia inamaanisha uko tayari kunivulia chu.pi any time, hata kesho yake nasafisha. Pia kuna wale wanaovunga ukijilengesha nafyagia japokuwa sikuwa mfyagiaji wa kila taka taka, loh! Nilikuwa very selective!
 
Mi nakupa hongera kwa kupiga chini huyo mtaka vilaini laini bila kuvuja jasho. Wacha afundishwe maisha na watu wa chigomaaaaa.
Mshukuru Mungu kwa hilo, jipange na nadhani utampata baadaye wa kukufaa kama bado hujampata mpaka sasa.
 
ukitaka kujua maisha ni mabaya basi olewa na mwanaume uliyemzidi kiakili.

inategemea ni akili ya nini. Kuna akili ya darasani na akili ya maisha. Ni vitu viwili tofauti kabisa. Nikikwambia aliyekuwa anakuwa wa mwisho darasani kwetu leo ana mke, nyumba, watoto, biashara kibao na magari utaniamini? Tatizo huwa tunaamini mtu anayekariri sana ndo anakuwa na mafanikio na wasipofanikiwa wanakuwa frustrated na kuishia kuwa walevi. Ingekuwa hivyo mbona maprofesa wasingekuwa maskini na kuzidiwa na walioishia la saba!
 
Mi nakupa hongera kwa kupiga chini huyo mtaka vilaini laini bila kuvuja jasho. Wacha afundishwe maisha na watu wa chigomaaaaa.
Mshukuru Mungu kwa hilo, jipange na nadhani utampata baadaye wa kukufaa kama bado hujampata mpaka sasa.

bado nipo nipo kwanza nkuu, loh!
 
Umenikumbusha my undergrad studies kuna mtu nilitaka kuomba kura then nikarealize mtoto ana first class, nilikomaa aje na masomo!

tatizo tunapokuwa chuo tunaendekeza sana mapenzi ya kusaidiana. Ndo maana book worms wangekuwa na uwezo wakakanyaga sana mademu na wangekuwa wanakufa mapema. Hii ni sababu kipindi cha kawaida mademu wanauza mbweche mitaani na kutanua na ikifika kipindi cha mitahani wanatafuta pa kujishikiza.
 
mkuu unajua kwa Robert Einstem alidisco chuo? Samahani kama siyo mtu wa sayansi lakini. Unajua kuna watu mkikaa naye kwenye discussi nyie mnamtegemea yeye ila kwenye mtihani anashindwa kuyapresent yale aliyonayo? Mtu kasoma shule zetu katoka na div 1 nzuri form four na six unaweza kumwita kilaza? Huyu akidisco chuo utasema uwezo wake mdogo. Kwa elimu ya chuo mtihani siyo kipimo kizuri kujua kama watu wameelewa au la!

Hapo nadhani ndio na mimi nilitaka kusema nikaishia "no correlatio", ni kweli unajua kuna watu wana kipaji cha kusoma vitu na kuvielezea kiufasaha kwa wengine kwa maelezo mengi na mazuri ila wakati mwingine wanakuwa wepesi wa kusahau nondo au namna ya kuweka nondo vizuri kwenye paper. Ni kweli asilimia kubwa waliopata Div 1 nzuri O-level and A level huwa ni wazuri ila unapofika chuo tena kuna utaratibu mwingine tena wa ufundishaji na wa utafutaji wa materials hivyo kama mtu alikuwa ni wa tution sana kipindi cha sekondari na hasa ukizingatia tution nyingi za mijini ni ku-solve past paper na kusoma maswali na majibu ya vitabu mbalimbali, kwa mtindo kama huu wa usomaji wakati mwingine unachangia kwa baadhi ya wanafunzi pamoja na kufaulu vizuri sekondari wanachemsha pindi wanapofika chuo.
 
Hakuwa wako huyo. Hata ungeoa angekutema tu! Kaka ukiona kakutema usilie, just run maana uking'ang'ania lazima uje kuitoa roho yako!

Umempa kisawasawa! They are like town buses, once you loz 1 dont worry; you wanna get another!
 
Back
Top Bottom