Sup ya chuo ilinikosesha mke!

Sup ya chuo ilinikosesha mke!

mie mtu akisema anachezewa, kama vile kuna sehemu za mwili wake zinabonyezwa kama kitenesi na kudundishwa dundishwa kwa kutumia vidole.

Ha ha ha, mimi ni pale ninapocheza na gear (kama vile naibadilisha toka 2 kwenda 3). LOL
 
hahaaa, asante kwa ushauri. Tulichezeana ila mwenzangu akanikimbia nikiwa kwenye hali ngumu. Aliwa kunipigia na kuniuliza naendeleaje nikamwambia nimeshaoa.

Ahhaah, kumbe wanaume hamCHEZEWI ni wanawake tu ndio tunaCHEZEWA.

Seriously najua wote mlikuwa mnaCHEZA mchezo wa baba na mama hoping mtakuwa baba na mama; mwenzako akaamua kuacha kucheza na wewe. So usijali utapata mwingine ambaye atakuwa mama wa watoto wako bila kuigiza!
 
usijali mkuu pole sana na nondo za muhas , department ya kina matuja nini hiyo?
mkuu kuna wanawake wapo matured na wanaojitambua ,usihofu utapata tu wewe endelea na maisha .
vp internship wapi?
 
nashukuru dada, lakini siku hizi nakutana na wanaolazimisha kuitwa mama dr. Loh! Ukiwaangalia the other side of life hakuna. Mpaka naogopa
 
hapo poa, ukizingatia wewe ulikuwa medicine.

Tatizo napata kama tuko kozi moja, darasa moja, afu mie nimzidi, najisikia vibaya.

ye mwenyewe alikuwa kilaza tu. Kwani hata kuingia chuo alireseat ndo akapata nafasi.
 
usijali mkuu pole sana na nondo za muhas , department ya kina matuja nini hiyo?
mkuu kuna wanawake wapo matured na wanaojitambua ,usihofu utapata tu wewe endelea na maisha .
vp internship wapi?

nashukuru mzee. Ni hiyo hiyo department. Kwa ambaye yuko out of medicine hawawezi kujua situation zilizomo ndani yake.
 
Sa siungetafuta DM mwenzio! Anayeelewa hayo mazingira yenu, au ulitaka kilaza ili umcontrol vizuri?
nashukuru mzee. Ni hiyo hiyo department. Kwa ambaye yuko out of medicine hawawezi kujua situation zilizomo ndani yake.
 
hapo poa, ukizingatia wewe ulikuwa medicine.

Tatizo napata kama tuko kozi moja, darasa moja, afu mie nimzidi, najisikia vibaya.

hatukuwa darasa moja na pia vyuo tofauti. Hata hivyo i was wel mpaka mwenyewe ungenikubali sema niliangukiwa na wakware kwenye clinical exam wakaniangukia. Kwa waliopita muhas/muchs wanajua hali halisi ya mahali pale.
 
pole na hongera kwa kumaliza.

Sasa utawachambua hadi ukimbie.

hatukuwa darasa moja na pia vyuo tofauti. Hata hivyo i was wel mpaka mwenyewe ungenikubali sema niliangukiwa na wakware kwenye clinical exam wakaniangukia. Kwa waliopita muhas/muchs wanajua hali halisi ya mahali pale.
 
usijali mkuu pole sana na nondo za muhas , department ya kina matuja nini hiyo?
mkuu kuna wanawake wapo matured na wanaojitambua ,usihofu utapata tu wewe endelea na maisha .
vp internship wapi?

ni miaka miwili iliyopita na intern nshamaliza siku nyingi.
 
Hapo sasa mie mwanaume nayemzid upstairs hanigegedi ng'o na haijawah tokea...

Hahahaaaa you dont know what you are missing!!!!!!!! Upstairs is more than class craming capacity!!!!
 
Hahahah i know anayekariri anaonekana na aliye vizuri upstairs anaonekana!! Inshort kilaza has no chanc in ma kingdm
Hahahaaaa you dont know what you are missing!!!!!!!! Upstairs is more than class craming capacity!!!!
 
Sa siungetafuta DM mwenzio! Anayeelewa hayo mazingira yenu, au ulitaka kilaza ili umcontrol vizuri?

hapana dada yangu napendelea mtu ambaye hatutafanya kazi moja. Medicine ina stress sana inahitaji mtu wa kukusaidia kuabsorb. Aafu nilitaka toto nzuri si unajua medicine ni wachache? Teh! Wakati mwingine huwa sipendi ninapokuwa out of hospital kuanza kuongelea mambo yale yale. Nataka kurelax so i dont prefer health personel.
 
Back
Top Bottom