Sup ya chuo ilinikosesha mke!

Sup ya chuo ilinikosesha mke!

tatizo tunapokuwa chuo tunaendekeza sana mapenzi ya kusaidiana. Ndo maana book worms wangekuwa na uwezo wakakanyaga sana mademu na wangekuwa wanakufa mapema. Hii ni sababu kipindi cha kawaida mademu wanauza mbweche mitaani na kutanua na ikifika kipindi cha mitahani wanatafuta pa kujishikiza.

We acha tu mkuu, that was my eyes opener, i have never looked back since then na masomo yamenifikisha mbali sana!
 
Mkuu usungilo, bora huyu mwanamke amekuacha mapema kabisa!! Si chaguo lako!! Ina maana kama mngeishi halafu siku moja itokee huna kazi angekukimbia na huku pengine mna familia!! Hawa ni wale wapenda mteremko tu. Nilitegemea angeonesha sympathy na kuwa na msaada kwako kwa hali ya shule, pengine hata umbali wenu ungeweza kuwa ni mchango kwa kukamatwa kozi hiyo maana mapenzi ya mbali yanasumbua sana, tena kwa wale ambao bado hamjaoana. Sisi maguru hata leo niambiwe kuna kazi za kimataifa naenda na mwenzangu anabaki na wala hamna tabu. Hii kwangu isingewezekana wakati ule mapenzi au ndoa ni changa!! Piga chini huyo move one na siku si nyingi uje hapa utoe ushuhuda wa ndoa!! Siku zote nategemea wanawake wawe wavumilivu (nature) msinipige mawe, ndivyo ilivyo na ni sifa nzuri (credit to all women).
 
ni miaka kama miwili imepita. Nakumbuka nilianza naye uhusiano nikiwa mwaka wa nne na yeye mwaka wa mwisho chuoni kwao. Kabla ya hapo nilikuwa karibu naye kwa miaka kama miwili nyuma. Akamaliza chuo akaniacha nikiwa mwaka wa tano ili niweze kuhitimu masomo yangu. Kwa muda ambao alikuwa anasubiri ajira alikaa nyumbani kwao kwani hakupata sehemu ya kujishikiza. January ajira zikatoka kapangiwa kigoma mi niko dar. Nilimwambia hamna noma kwani mawasiliano na usafiri si upo, we nenda. Akaenda kuripoti na kuanza kazi(ni mwalimu). Tuliendelea na mawasiliano huku mi nikiendelea kupiga shule ili nimalize nikafanye internship nioe kabisa. Niliwahi kumwambia nyuma kwamba kuoa kwangu ni mpaka niwe na uhakika wa kwamba tutakula na kulala kwa amani. Nikiwa naendelea na shule bahati mbaya nikaangukia mikononi mwa walaji wa vichwa(muhas wanajua hili) nikaliwa kozi moja. Loh! Sikuwahi kupata sup hivyo nilichanganyikiwa lakini nilijipa moyo kwani sikuwa wa kwanza. Na kurudia ni until when next offered meani ntarudia kozi na madogo. Nikajipanga nikamwambia mwenzangu akaniuliza, ko unagraduate lini? Nikamwambia, mwakani.. Akanambia, ko kuna mwaka mmoja mbele? Nikajua hapa mwenzangu anapiga mahesabu ya kuolewa, nikamjibu ndiyo. Kozi ilikuwa kama wiki 12, semister ilivyoanza nami nikaanza, loh.! Matatizo yakaanza, mawasiliano hovyo, akiongea mkato mkato yaani ikawa ni balaa. Alipata likizo akagoma kuja dar bila sababu. Katika kufuatilia kuna jamaa yangu wa karibu akanambia kuna jamaa mwingine anabambia. Nikaona hamna shida nikapiga chini na kuendelea na maisha yangu na nashukuru mungu ile kozi niliipunch. Mpaka leo wanawake nawaona kama watu wanaotaka mafanikio tu bila kujua kwamba kuna visiki humo njiani.

pole sana,,ndio maana mimi huwa nawapaga tuh dushelele

hawana maana hao
 
mzigo niliubeba kama kawa. Mimi huwa siabudu mambo sijui ya kusubiriana, no! Ukinikubalia inamaanisha uko tayari kunivulia chu.pi any time, hata kesho yake nasafisha. Pia kuna wale wanaovunga ukijilengesha nafyagia japokuwa sikuwa mfyagiaji wa kila taka taka, loh! Nilikuwa very selective!

I lyk ur attituDe' mzee... Upo vizuri..!!™
 
Naona ni bora amekukimbia mapema shukuru Mola wako
 
ni miaka kama miwili imepita. Nakumbuka nilianza naye uhusiano nikiwa mwaka wa nne na yeye mwaka wa mwisho chuoni kwao. Kabla ya hapo nilikuwa karibu naye kwa miaka kama miwili nyuma. Akamaliza chuo akaniacha nikiwa mwaka wa tano ili niweze kuhitimu masomo yangu. Kwa muda ambao alikuwa anasubiri ajira alikaa nyumbani kwao kwani hakupata sehemu ya kujishikiza. January ajira zikatoka kapangiwa kigoma mi niko dar. Nilimwambia hamna noma kwani mawasiliano na usafiri si upo, we nenda. Akaenda kuripoti na kuanza kazi(ni mwalimu). Tuliendelea na mawasiliano huku mi nikiendelea kupiga shule ili nimalize nikafanye internship nioe kabisa. Niliwahi kumwambia nyuma kwamba kuoa kwangu ni mpaka niwe na uhakika wa kwamba tutakula na kulala kwa amani. Nikiwa naendelea na shule bahati mbaya nikaangukia mikononi mwa walaji wa vichwa(muhas wanajua hili) nikaliwa kozi moja. Loh! Sikuwahi kupata sup hivyo nilichanganyikiwa lakini nilijipa moyo kwani sikuwa wa kwanza. Na kurudia ni until when next offered meani ntarudia kozi na madogo. Nikajipanga nikamwambia mwenzangu akaniuliza, ko unagraduate lini? Nikamwambia, mwakani.. Akanambia, ko kuna mwaka mmoja mbele? Nikajua hapa mwenzangu anapiga mahesabu ya kuolewa, nikamjibu ndiyo. Kozi ilikuwa kama wiki 12, semister ilivyoanza nami nikaanza, loh.! Matatizo yakaanza, mawasiliano hovyo, akiongea mkato mkato yaani ikawa ni balaa. Alipata likizo akagoma kuja dar bila sababu. Katika kufuatilia kuna jamaa yangu wa karibu akanambia kuna jamaa mwingine anabambia. Nikaona hamna shida nikapiga chini na kuendelea na maisha yangu na nashukuru Mungu ile kozi niliipunch. Mpaka leo wanawake nawaona kama watu wanaotaka mafanikio tu bila kujua kwamba kuna visiki humo njiani.
man usiwaze sana kitu cha msingi unachotakiwa kujua ni kwamba usikubali hata siku moja long distance relationship ni chenga balaa ma manzi wanapendaga watu wanaowaona phsyically set aside wenye mafanikio yan
 
Ndoa za wanachuo ni chache mno. Wengi wanaolewa na mababa yaliyotangulia mtaani yanayoweza kumpa Vits kabla hata ya pete. Wewe msosi wenyewe tabu
 
sasa ndugu yangu kwenye mambo ya kazi tufanyaje? Maana huwezi zuia mtu asiajiriwe.
 
Ndoa za wanachuo ni chache mno. Wengi wanaolewa na mababa yaliyotangulia mtaani yanayoweza kumpa Vits kabla hata ya pete. Wewe msosi wenyewe tabu

i thought nitakuwa mmoja wa hizo chache lakini, loh! Niliishia kupata maumivu tu.
 
I lyk ur attituDe' mzee... Upo vizuri..!!™

mkuu huwa sipendi kudanganya nafsi yangu. Kama huendani na mie sijigusi. Ila kama chemistry ziko fresh huwezi nidanganya kwamba, ooh mi bikira ko tusubiri. Wakibeba wenzangu! Si utajisifu sana kwamba ulinipotezea muda
 
tamaa za kijinga..sasa alishindwa nin kukusubiri huo mwaka...,nshawatoaga maana siku mingi tu na cnaga imani nao kwakweli
 
Pole sana ndugu,samahani ka ntakukwaza ila next time unapotaka mke nilazima uwe makini kwa kuangalia na mazingira yako huku ukimshirikisha Mungu,hata ivo shukuru sababu huwezi jua umeepushwa mangapi endapo ungemuoa,i know inaumiza lakini nawe wakati mwengine usiishie kuangalia vya nje2
 
mkuu nilikuwa mwaka wa mwisho nikajua ntamaliza na kuanza internship ko mambo yangekuwa mstari kwani baada ya hapo ningemaliza kila kitu. Zilizompoteza ni zile wiki 12 nilizotakiwa kurudia. Baada ya hapo mawasiliano yakaanza kuharibika kabisa.
 
ni miaka kama miwili imepita. Nakumbuka nilianza naye uhusiano nikiwa mwaka wa nne na yeye mwaka wa mwisho chuoni kwao. Kabla ya hapo nilikuwa karibu naye kwa miaka kama miwili nyuma. Akamaliza chuo akaniacha nikiwa mwaka wa tano ili niweze kuhitimu masomo yangu. Kwa muda ambao alikuwa anasubiri ajira alikaa nyumbani kwao kwani hakupata sehemu ya kujishikiza. January ajira zikatoka kapangiwa kigoma mi niko dar. Nilimwambia hamna noma kwani mawasiliano na usafiri si upo, we nenda. Akaenda kuripoti na kuanza kazi(ni mwalimu). Tuliendelea na mawasiliano huku mi nikiendelea kupiga shule ili nimalize nikafanye internship nioe kabisa. Niliwahi kumwambia nyuma kwamba kuoa kwangu ni mpaka niwe na uhakika wa kwamba tutakula na kulala kwa amani. Nikiwa naendelea na shule bahati mbaya nikaangukia mikononi mwa walaji wa vichwa(muhas wanajua hili) nikaliwa kozi moja. Loh! Sikuwahi kupata sup hivyo nilichanganyikiwa lakini nilijipa moyo kwani sikuwa wa kwanza. Na kurudia ni until when next offered meani ntarudia kozi na madogo. Nikajipanga nikamwambia mwenzangu akaniuliza, ko unagraduate lini? Nikamwambia, mwakani.. Akanambia, ko kuna mwaka mmoja mbele? Nikajua hapa mwenzangu anapiga mahesabu ya kuolewa, nikamjibu ndiyo. Kozi ilikuwa kama wiki 12, semister ilivyoanza nami nikaanza, loh.! Matatizo yakaanza, mawasiliano hovyo, akiongea mkato mkato yaani ikawa ni balaa. Alipata likizo akagoma kuja dar bila sababu. Katika kufuatilia kuna jamaa yangu wa karibu akanambia kuna jamaa mwingine anabambia. Nikaona hamna shida nikapiga chini na kuendelea na maisha yangu na nashukuru Mungu ile kozi niliipunch. Mpaka leo wanawake nawaona kama watu wanaotaka mafanikio tu bila kujua kwamba kuna visiki humo njiani.

walimu ndo walivyo, niliwahi mkosa mmoja kwa sababu ambazo hazina hata mashiko...
Nashukuru Mungu alishanitoka akilini
 
mkuu nilikuwa mwaka wa mwisho nikajua ntamaliza na kuanza internship ko mambo yangekuwa mstari kwani baada ya hapo ningemaliza kila kitu. Zilizompoteza ni zile wiki 12 nilizotakiwa kurudia. Baada ya hapo mawasiliano yakaanza kuharibika kabisa.

Wiki 12 tu akashindwa kuvumilia,brother ndo mana nkakwambia shukuru umeepushwa mengi pengine. Hata ivo watakiwa ujue kua siwanawake wote wako ivo tulia utapata mnaeendana. Me nnauzoefu kwene relation ya ivo tena zaidi ya miaka miwili kusubiri,so nashangaa sana wiki 12,siujui moyo wake ila naweza sema alikupenda kwa sababu nyepesi. Pole mwaya,ila hope umejifunza kitu!
 
Mkuu usungilo, bora huyu mwanamke amekuacha mapema kabisa!! Si chaguo lako!! Ina maana kama mngeishi halafu siku moja itokee huna kazi angekukimbia na huku pengine mna familia!! Hawa ni wale wapenda mteremko tu. Nilitegemea angeonesha sympathy na kuwa na msaada kwako kwa hali ya shule, pengine hata umbali wenu ungeweza kuwa ni mchango kwa kukamatwa kozi hiyo maana mapenzi ya mbali yanasumbua sana, tena kwa wale ambao bado hamjaoana. Sisi maguru hata leo niambiwe kuna kazi za kimataifa naenda na mwenzangu anabaki na wala hamna tabu. Hii kwangu isingewezekana wakati ule mapenzi au ndoa ni changa!! Piga chini huyo move one na siku si nyingi uje hapa utoe ushuhuda wa ndoa!! Siku zote nategemea wanawake wawe wavumilivu (nature) msinipige mawe, ndivyo ilivyo na ni sifa nzuri (credit to all women).

Uko sahihi kabisa mkuu.
 
Ndio maana wengine huwa wanadanganya sana hasa mkiwa course tofauti kwa kujitutumua na kujifanya yupo makini tena confidence level inakuwa juu mpaka umshitukie kilaza ameshakuingiza kwenye 18 zake kuchomoka inakuwa too late

unachomoka tu, labda kama hujui unataka nini aisee, mwanaume niliemzidi kila kitu hana nafasi kwangu
 
Back
Top Bottom