Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,447
- 4,841
yap,kila jambo linalotokea lina sababu.Pole saana usimlaumu wala kulaumu kinachokuepuka ni baraka kwako...
yap,kila jambo linalotokea lina sababu.Pole saana usimlaumu wala kulaumu kinachokuepuka ni baraka kwako...
ndo hapo tafuta mwengine..usikubali kumwamini mwanamke hata siku moja..kazai kafanye n mwengine tafuta..hata akikupiga kibuti wewe tayar unamwengine inshort long distance relationship hua hai work out most of d tymssasa ndugu yangu kwenye mambo ya kazi tufanyaje? Maana huwezi zuia mtu asiajiriwe.