Sup ya chuo ilinikosesha mke!

Sup ya chuo ilinikosesha mke!

Hahahaaaa you dont know what you are missing!!!!!!!! Upstairs is more than class craming capacity!!!!

wengi huwa tunakosa utambuzi huu. Ila sidhani kama aliondoka kwa kuwa amenizidi ila nadhani ni ule muda ulioongezeka ndo ulimbadilisha.
 
Unanikumbusha mbali rafiki yangu ali disco chuo girlfriend wake akampiga chini,akaanza kulalama uso wake angeuficha wapi kuwa na Bwana mjinga na maskini.tukamshauri akataa kabisa,baada ya mwaka jamaa yangu akapata chuo kwenda kusoma nje amerudi zake na Masters.binti akanza kujilegeza kwa rafiki yangu warudiane mshikaji akampiga chini kabisa baada ya kuoa mwaka jana mwezi 6

Dada zetu muwe wavumilivu ..
 
nashukuru dada, lakini siku hizi nakutana na wanaolazimisha kuitwa mama dr. Loh! Ukiwaangalia the other side of life hakuna. Mpaka naogopa

Take ur time, stop looking very hard coz utaona kile mind yako inataka na si halisi!

Na pia acha woga; kuna genuine ktk hao wanaotaka kuitwa Mama Dr, si unajua we attracted by brain pia. Mama yangu alidream kuolewa na bwana mganga au mwalimu. Na akaja olewa na Dr. So ur brains ni chachandu pia!
 
he he he; are vilaza's interesting too?

Ujue kufaulu hakuji bureee atiii! I hate BOOK WORMS!!!!!! Nerds!!!! I never dated even 1!!!!!! I was more into the rules breaking type, the wise guys who could make the impossible happen kama kula bata la haja kwa hela ya pocketmoney!!!!!!!

Somasoma walikuwa wananikeraaaaaaaaaaaa! Acheni tu! kufanya kila kitu by the book! Akhaaaaaa!
 
Tized nashukuru kwa ushauri wako mkuu. Yule hakuwa wangu kweli au yawezekana tamaa tu zilimpoteza
 
Hahahah kumbeee!
Ujue kufaulu hakuji bureee atiii! I hate BOOK WORMS!!!!!! Nerds!!!! I never dated even 1!!!!!! I was more into the rules breaking type, the wise guys who could make the impossible happen kama kula bata la haja kwa hela ya pocketmoney!!!!!!!

Somasoma walikuwa wananikeraaaaaaaaaaaa! Acheni tu! kufanya kila kitu by the book! Akhaaaaaa!
 
Hapo sasa mie mwanaume nayemzid upstairs hanigegedi ng'o na haijawah tokea...
nondo za muhas ,especial clinica is very multifactorial bibie.

mi ndo mana vichwa vya klas moja nilikuwa sili, nilikuwa naona awkward nina banda afu msela ana sup.

Ama nina div ya mana afu msela anachechemea.

Napenda anizidi kwa vingi, hasa kichwani.
sasa siyo nikuzidi kila kitu hlf baadae inakuwa manung'uniko! wafundeni na hawa mabint wa dot com wawe wanakubali wakishindwa uwezo na wanaume wa kweli.
 
sijasema book worms, nimesema vipanga.

Kuwa book worm haimaanishi ni kipanga.

Na kutokuwa book worm haimaanishi mtu hawezi kuwa kipanga.

Never been a book worm, so siwezi date book worm, lakini kuna watu vi vipanga wa asili hata kama ni darasa la saba.

Hao ndo hufanya the impossibles!

Ujue kufaulu hakuji bureee atiii! I hate BOOK WORMS!!!!!! Nerds!!!! I never dated even 1!!!!!! I was more into the rules breaking type, the wise guys who could make the impossible happen kama kula bata la haja kwa hela ya pocketmoney!!!!!!!

Somasoma walikuwa wananikeraaaaaaaaaaaa! Acheni tu! kufanya kila kitu by the book! Akhaaaaaa!
 
Take ur time, stop looking very hard coz utaona kile mind yako inataka na si halisi!

Na pia acha woga; kuna genuine ktk hao wanaotaka kuitwa Mama Dr, si unajua we attracted by brain pia. Mama yangu alidream kuolewa na bwana mganga au mwalimu. Na akaja olewa na Dr. So ur brains ni chachandu pia!

dada yangu siku hizi kuna wasichana wakubwa wengi kweli. Ndo maana unakuta mtu na mmewe wanakula bar kila jioni. Loh! Naogopa sana watu kama hao. Wamama wa zamani ni tofauti na kizazi hiki. Siku hizi unakutana na mmama jioni anamnunulia chips mumewe ili iwe dinner, duh! Mi hata nikitoka out nikamuuliza muhudumu kuna chakula gani? Akinitajia chipsi namtukana kwa kweli.
 
he he he, ina raha yake mwanamme kukuzidi basi tu

unakuwa more secure kuliko kumzidi

mie mwanamme nikimzidi nahisi anytime atasepa.

sasa siyo nikuzidi kila kitu hlf baadae inakuwa manung'uniko! wafundeni na hawa mabint wa dot com wawe wanakubali wakishindwa uwezo na wanaume wa kweli.
 
Hakuwa wa kwako tena mshukuru Mungu coz alionyesha njia mapema! Sup sio kigezo manake wengine wakiwa vyuoni kila mwaka wali-carry baadhi ya course wakati mademu zao wanafaulu kwenda mbele! Mademu zao waliwa- encourage so songa mbele kama huna tafuta mwingine fasta
ni miaka kama miwili imepita. Nakumbuka nilianza naye uhusiano nikiwa mwaka wa nne na yeye mwaka wa mwisho chuoni kwao. Kabla ya hapo nilikuwa karibu naye kwa miaka kama miwili nyuma. Akamaliza chuo akaniacha nikiwa mwaka wa tano ili niweze kuhitimu masomo yangu. Kwa muda ambao alikuwa anasubiri ajira alikaa nyumbani kwao kwani hakupata sehemu ya kujishikiza. January ajira zikatoka kapangiwa kigoma mi niko dar. Nilimwambia hamna noma kwani mawasiliano na usafiri si upo, we nenda. Akaenda kuripoti na kuanza kazi(ni mwalimu). Tuliendelea na mawasiliano huku mi nikiendelea kupiga shule ili nimalize nikafanye internship nioe kabisa. Niliwahi kumwambia nyuma kwamba kuoa kwangu ni mpaka niwe na uhakika wa kwamba tutakula na kulala kwa amani. Nikiwa naendelea na shule bahati mbaya nikaangukia mikononi mwa walaji wa vichwa(muhas wanajua hili) nikaliwa kozi moja. Loh! Sikuwahi kupata sup hivyo nilichanganyikiwa lakini nilijipa moyo kwani sikuwa wa kwanza. Na kurudia ni until when next offered meani ntarudia kozi na madogo. Nikajipanga nikamwambia mwenzangu akaniuliza, ko unagraduate lini? Nikamwambia, mwakani.. Akanambia, ko kuna mwaka mmoja mbele? Nikajua hapa mwenzangu anapiga mahesabu ya kuolewa, nikamjibu ndiyo. Kozi ilikuwa kama wiki 12, semister ilivyoanza nami nikaanza, loh.! Matatizo yakaanza, mawasiliano hovyo, akiongea mkato mkato yaani ikawa ni balaa. Alipata likizo akagoma kuja dar bila sababu. Katika kufuatilia kuna jamaa yangu wa karibu akanambia kuna jamaa mwingine anabambia. Nikaona hamna shida nikapiga chini na kuendelea na maisha yangu na nashukuru Mungu ile kozi niliipunch. Mpaka leo wanawake nawaona kama watu wanaotaka mafanikio tu bila kujua kwamba kuna visiki humo njiani.
 
Kongosho 2dy ur speaking ma language...y
he he he, ina raha yake mwanamme kukuzidi basi tu

unakuwa more secure kuliko kumzidi

mie mwanamme nikimzidi nahisi anytime atasepa.
 
Last edited by a moderator:
Take ur time, stop looking very hard coz utaona kile mind yako inataka na si halisi!Na pia acha woga; kuna genuine ktk hao wanaotaka kuitwa Mama Dr, si unajua we attracted by brain pia. Mama yangu alidream kuolewa na bwana mganga au mwalimu. Na akaja olewa na Dr. So ur brains ni chachandu pia!
super women most of the time most of them them are attracted by good brains ,mimi penda hii kitu sana.
Ujue kufaulu hakuji bureee atiii! I hate BOOK WORMS!!!!!! Nerds!!!! I never dated even 1!!!!!! I was more into the rules breaking type, the wise guys who could make the impossible happen kama kula bata la haja kwa hela ya pocketmoney!!!!!!!Somasoma walikuwa wananikeraaaaaaaaaaaa! Acheni tu! kufanya kila kitu by the book! Akhaaaaaa!
hata mimi wa style hiyo nilikuwa siwafagili ,ila mwisho wa siku tumetofautiana uwezo.vp na wewe ulikuwa mzee wa chogi na open kwa sana?
 
super women most of the time most of them them are attracted by good brains ,mimi penda hii kitu sana.hata mimi wa style hiyo nilikuwa siwafagili ,ila mwisho wa siku tumetofautiana uwezo.vp na wewe ulikuwa mzee wa chogi na open kwa sana?

I was more into Real Life!!!! I wanted a guy who could make shit happen!!!!!!!! I never trusted them theories and teachings, i still don't !

So kwangu mtu anaeweza kumake dangerous shit happen ana value kubwa sanaa kuliko mwenye migamba na awrds/mikaratasi ya kumwaga!

Nilikuwa doger balaaa! Nashukuru Mungu nimelipita salama coz some of my company wasnt so lucky!!!!!!!!! Though zile code za maisha bado naziapply kama kawa!
 
he he he, ina raha yake mwanamme kukuzidi basi tu

unakuwa more secure kuliko kumzidi

mie mwanamme nikimzidi nahisi anytime atasepa.
si mpaka ajitambue ndiyo asepe au awe ana inferiority complex..... ila mwanaume ni lazima uwe incharge in a positive direction , kichwa zaidi ya mwanamke ili umpatie changamoto zaidi ajitambue,awe kiongozi wa ukweli na utimize majukumu kiume ndiyo wanawake wa ukweli wanavyopenda....... mambo ya tamthilia za kina Alehandro hayapo kwenye maisha ya ukweli.
 
I was more into Real Life!!!! I wanted a guy who could make shit happen!!!!!!!! I never trusted them theories and teachings, i still don't !

So kwangu mtu anaeweza kumake dangerous shit happen ana value kubwa sanaa kuliko mwenye migamba na awrds/mikaratasi ya kumwaga!

Nilikuwa doger balaaa! Nashukuru Mungu nimelipita salama coz some of my company wasnt so lucky!!!!!!!!! Though zile code za maisha bado naziapply kama kawa!
hiyo kama ilikuwa ndiyo style yako lazima uchane tu na kuwaacha watu wanashangaa ,,,,tatizo ni kwa wale wenzangu na mimi kuangalia lara 1 anafanya nini na yeye aige ,hao wengi huwa wanaangukiaga pua mara nyingi.
 
hayapo.

Hakuna kampuni yenye CEO wawili, na CEO wa familia napenda awe baba mwenye nyumba.

Mama anakuwa labda CFO ama cheo kingine chochote below CEO.

Back
Top Bottom