Sumbawanga acheni uchawi

Mto wa mbu

JF-Expert Member
Aug 8, 2021
2,201
3,008
Nilikuwa siamini Kama Sumbawanga Kuna uchawi wa kweli, lakini kilichomkuta workmate wa ndugu yangu nimeshangaa.

Ndugu yangu ni Mwalimu uko sumbawanga vijijini, Basi anaishi nyumba moja na Mwalimu mwenzake, One week ago huyo Mwalimu alitoa adhabu kwa wanafunzi wa kidato Cha pili kwa makosa ya utovu wa nidhamu.

Wakati uyo Mwalimu anawaadhibu wanafunzi, mwanafunzi moja aligoma kuchapwa, aligoma kata kata, Sasa ili Mwalimu asidhalilike kwa mwanafunzi kumgomea akaamua kumuadhibu kwa nguvu, yule mwanafunzi alilia Sana akaapa kuwa ata mkomesha Mwalimu.

After three days, yule Mwalimu aliamka hasubui akajikuta amelala nje ya uwanja uku akiwa na boxer tu. Mwalimu huyu amepanic Sana anataka kuhama.

Nyie wakazi wa sumbawanga acheni uchawi, watumishi watawakimbia.
 
Wanaachaje sasa labda kwa mfano!

Hapo mwalimu aombe msamaha kwa dogo alafu aendelee na kazi.
Ilimtokea jamaa yangu ambae alikuwa Mwl wa Secondary kule Kigoma Ujiji maeneo ya Nazareth, alitoa adhabu kwa Wanafunzi wachelewaji akawachapa viboko. Kilichomtokea usiku ni kuchapwa viboko vya kutosha kutoka kwa Mwanafunzi wa Kike akiwa na Bibi yake,asubuhi yule Mwanafunzi hakuja shuleni akaja kesho yake akamwita akamuukiza kwanini kamfanyia vile yule Mwanafunzi hakujibu kitu akaona aibu. Akampiga biti pale yakaisha.
 
daaa
 
Hivyo viboko vya kwenye ndoto viliuma? alijaribu kuvihesabu?
 
Nilikuwa siamini Kama Sumbawanga Kuna uchawi wa kweli, lakini kilichomkuta workmate wa ndugu yangu nimeshangaa.

Ndugu yangu ni Mwalimu uko sumbawanga vijijini, Basi anaishi nyumba moja na Mwalimu mwenzake, One week ago huyo Mwalimu alitoa adhabu kwa wanafunzi wa kidato Cha pili kwa makosa ya utovu wa nidhamu.

Wakati uyo Mwalimu anawaadhibu wanafunzi, mwanafunzi moja aligoma kuchapwa, aligoma kata kata, Sasa ili Mwalimu asidhalilike kwa mwanafunzi kumgomea akaamua kumuadhibu kwa nguvu, yule mwanafunzi alilia Sana akaapa kuwa ata mkomesha Mwalimu.

After three days, yule Mwalimu aliamka hasubui akajikuta amelala nje ya uwanja uku akiwa na boxer tu. Mwalimu huyu amepanic Sana anataka kuhama.

Nyie wakazi wa sumbawanga acheni uchawi, watumishi watawakimbia.
Keep watching......we are closely this night
 
Hah, Hilo Tu?!!!
Huko mtwara vijijini mwalimu baada ya kumwadhibu mwanafunzi Kwa kosa la kutosalimia basi kuanzia kesho yake jioni lilikuwa linafika kundi la mbwa mwitu wenye wingi unaofanana na darasa nyumbani kwake na kumsalimia Kwa pamoja, 'shikamoo mwalimu' na kisha wanaondoka. Zoezi liliendelea km siku nne mfululizo na mwalimu akaendelea kukomaa. Siku ya tano wale mbwa wakasalimia km kawaida na kisha wakaongeza, 'mwalimi upo?!! Haya tutaonanaaaaa kesho'!...mwalimu akaona usiwe tabu, si Kwa onyo lile, akakimbia bila kuaga hata kazini kwake.
 
Hapo ukute na wewe ulihadithiwa...hizi hadithi za uchawi ni kati ya vitu vinavyoathiri sana afya ya akili ya mwafrika

Bet what!!!kesho utakuja na story ya nabii au mchungaji fulani

Tuanze kukataa upuuzi huu usiende kwa kizazi cha watoto wetu,vinginevyo tutabaki watu wa kudharaulika na race inaypmsingizia Mungu kuwa ana upendeleo
 
Kwanza ni "workmate wa ndugu yako"...wewe sio shuhuda...haya tufanye ndugu yako ni shuhuda...alilala na huyo workmate wake ndani???ana uhakika alilala ndani?ndugu yako ndo alikua wa kwanza kuamka akamkuta nje akiwa na boxer au workmate alimwambia ndugu yako!!!?

Africa Africa poor Africaa
 
Nilikuwa siamini Kama Sumbawanga Kuna uchawi wa kweli, lakini kilichomkuta workmate wa ndugu yangu nimeshangaa.

Ndugu yangu ni Mwalimu uko sumbawanga vijijini, Basi anaishi nyumba moja na Mwalimu mwenzake, One week ago huyo Mwalimu alitoa adhabu kwa wanafunzi wa kidato Cha pili kwa makosa ya utovu wa nidhamu.

Wakati uyo Mwalimu anawaadhibu wanafunzi, mwanafunzi moja aligoma kuchapwa, aligoma kata kata, Sasa ili Mwalimu asidhalilike kwa mwanafunzi kumgomea akaamua kumuadhibu kwa nguvu, yule mwanafunzi alilia Sana akaapa kuwa ata mkomesha Mwalimu.

After three days, yule Mwalimu aliamka hasubui akajikuta amelala nje ya uwanja uku akiwa na boxer tu. Mwalimu huyu amepanic Sana anataka kuhama.

Nyie wakazi wa sumbawanga acheni uchawi, watumishi watawakimbia.
Hii stori umetunga kama ni kweli hilo tukio limetokea wilaya gani ili nijaribu kutrace
 
Back
Top Bottom