Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 10,889
- 18,836
Acha ushirikina. Utatapeliwa.Ngombe
Acha ushirikina. Utatapeliwa.Ngombe
Ndo maana hawana tija yeyeto ya kubuni maendeleo sababu ya kutumia akili ya bandia ya wagangaNi mawaziri wachache Sana tz wasio kwenda kwa waganga.
Mnakumbuka Kigwangala alipokua waziri alivyokua anajigangua.
Baada ya kukosa uwaziri naona ameacha ule upuuzi
Hiii chamtoto! Kuna yule mgombea ubunge aliyeaswa kutokugobea akakaidi then siku ya mwisho anarudisha form kwa mkurugenzi alitafuta ofisi hakuiona ni huko huko ufipani!Nilikuwa siamini Kama Sumbawanga Kuna uchawi wa kweli, lakini kilichomkuta workmate wa ndugu yangu nimeshangaa.
Ndugu yangu ni Mwalimu uko sumbawanga vijijini, Basi anaishi nyumba moja na Mwalimu mwenzake, One week ago huyo Mwalimu alitoa adhabu kwa wanafunzi wa kidato Cha pili kwa makosa ya utovu wa nidhamu.
Wakati uyo Mwalimu anawaadhibu wanafunzi, mwanafunzi moja aligoma kuchapwa, aligoma kata kata, Sasa ili Mwalimu asidhalilike kwa mwanafunzi kumgomea akaamua kumuadhibu kwa nguvu, yule mwanafunzi alilia Sana akaapa kuwa ata mkomesha Mwalimu.
After three days, yule Mwalimu aliamka hasubui akajikuta amelala nje ya uwanja uku akiwa na boxer tu. Mwalimu huyu amepanic Sana anataka kuhama.
Nyie wakazi wa sumbawanga acheni uchawi, watumishi watawakimbia.
Hahaha hizi story za kuadisiwa huwa mara nyingi zina walakiniKumbishia siwezi maana huwa naenda Rukwa mara nyingi na kuna tukio la watu wa wizara ya Elimu gari yao kuisha upepo tairi zote kwa pamoja mchana kweupe wakiwa Ntuchi sekondari wilaya ya Nkasi. Lakini hebu atusaidie tukio hili limetokea shule gani?
Halafu eti uchawi wao ni kwa walimu tu baada ya kuadhibu watoto.Hapo ukute na wewe ulihadithiwa...hizi hadithi za uchawi ni kati ya vitu vinavyoathiri sana afya ya akili ya mwafrika
Bet what!!!kesho utakuja na story ya nabii au mchungaji fulani
Tuanze kukataa upuuzi huu usiende kwa kizazi cha watoto wetu,vinginevyo tutabaki watu wa kudharaulika na race inaypmsingizia Mungu kuwa ana upendeleo
TeaHah, Hilo Tu?!!!
Huko mtwara vijijini mwalimu baada ya kumwadhibu mwanafunzi Kwa kosa la kutosalimia basi kuanzia kesho yake jioni lilikuwa linafika kundi la mbwa mwitu wenye wingi unaofanana na darasa nyumbani kwake na kumsalimia Kwa pamoja, 'shikamoo mwalimu' na kisha wanaondoka. Zoezi liliendelea km siku nne mfululizo na mwalimu akaendelea kukomaa. Siku ya tano wale mbwa wakasalimia km kawaida na kisha wakaongeza, 'mwalimi upo?!! Haya tutaonanaaaaa kesho'!...mwalimu akaona usiwe tabu, si Kwa onyo lile, akakimbia bila kuaga hata kazini kwake.
Umemaliza Kila kitu,mfipa ni muoga kuua, tatizo hawa wajinga wanaandika bila kufanya utafiti wa kutosha.sumbawanga haiko ivo unavyoisimulia,umekalilishwa ukaamua uje na hadithi ya kutunga.watoto pande izo waoga na nidham ya juu.swanga haiwezi gusa kigoma,mbeya kwa ulozi,jina tu lakini ni sehem poa sana
Habari ya kutunga. Mimi nipo Sumbawanga huku. Hizi habari zinatengenezwa na wajanja wachache kwa maslahi yao. Mkiamini kuna uchawi, mtaamini pia waganga. Biashara ya uchawi na uaguzi ni biashara feki.Nilikuwa siamini Kama Sumbawanga Kuna uchawi wa kweli, lakini kilichomkuta workmate wa ndugu yangu nimeshangaa.
Ndugu yangu ni Mwalimu uko sumbawanga vijijini, Basi anaishi nyumba moja na Mwalimu mwenzake, One week ago huyo Mwalimu alitoa adhabu kwa wanafunzi wa kidato Cha pili kwa makosa ya utovu wa nidhamu.
Wakati uyo Mwalimu anawaadhibu wanafunzi, mwanafunzi moja aligoma kuchapwa, aligoma kata kata, Sasa ili Mwalimu asidhalilike kwa mwanafunzi kumgomea akaamua kumuadhibu kwa nguvu, yule mwanafunzi alilia Sana akaapa kuwa ata mkomesha Mwalimu.
After three days, yule Mwalimu aliamka hasubui akajikuta amelala nje ya uwanja uku akiwa na boxer tu. Mwalimu huyu amepanic Sana anataka kuhama.
Nyie wakazi wa sumbawanga acheni uchawi, watumishi watawakimbia.
Kama amejikuta yuko na boxer tu watakuwa wamemzibua dawasa!Ngombe
huo ni mwanzo tuNilikuwa siamini Kama Sumbawanga Kuna uchawi wa kweli, lakini kilichomkuta workmate wa ndugu yangu nimeshangaa.
Ndugu yangu ni Mwalimu uko sumbawanga vijijini, Basi anaishi nyumba moja na Mwalimu mwenzake, One week ago huyo Mwalimu alitoa adhabu kwa wanafunzi wa kidato Cha pili kwa makosa ya utovu wa nidhamu.
Wakati uyo Mwalimu anawaadhibu wanafunzi, mwanafunzi moja aligoma kuchapwa, aligoma kata kata, Sasa ili Mwalimu asidhalilike kwa mwanafunzi kumgomea akaamua kumuadhibu kwa nguvu, yule mwanafunzi alilia Sana akaapa kuwa ata mkomesha Mwalimu.
After three days, yule Mwalimu aliamka hasubui akajikuta amelala nje ya uwanja uku akiwa na boxer tu. Mwalimu huyu amepanic Sana anataka kuhama.
Nyie wakazi wa sumbawanga acheni uchawi, watumishi watawakimbia.
Shida ya walimu vijana ujuwajiii saanaNilikuwa siamini Kama Sumbawanga Kuna uchawi wa kweli, lakini kilichomkuta workmate wa ndugu yangu nimeshangaa.
Ndugu yangu ni Mwalimu uko sumbawanga vijijini, Basi anaishi nyumba moja na Mwalimu mwenzake, One week ago huyo Mwalimu alitoa adhabu kwa wanafunzi wa kidato Cha pili kwa makosa ya utovu wa nidhamu.
Wakati uyo Mwalimu anawaadhibu wanafunzi, mwanafunzi moja aligoma kuchapwa, aligoma kata kata, Sasa ili Mwalimu asidhalilike kwa mwanafunzi kumgomea akaamua kumuadhibu kwa nguvu, yule mwanafunzi alilia Sana akaapa kuwa ata mkomesha Mwalimu.
After three days, yule Mwalimu aliamka hasubui akajikuta amelala nje ya uwanja uku akiwa na boxer tu. Mwalimu huyu amepanic Sana anataka kuhama.
Nyie wakazi wa sumbawanga acheni uchawi, watumishi watawakimbia.
HaaaaWere umezaliwa juzi? Uliza utaambiwa MOSHI waliomtupia Jiwe akiwa ziarani huko Ruangwa!!! Jasho ilimtoka!!!