Sumbawanga acheni uchawi

Sumbawanga acheni uchawi

Kumbishia siwezi maana huwa naenda Rukwa mara nyingi na kuna tukio la watu wa wizara ya Elimu gari yao kuisha upepo tairi zote kwa pamoja mchana kweupe wakiwa Ntuchi sekondari wilaya ya Nkasi. Lakini hebu atusaidie tukio hili limetokea shule gani?
Ngoja nimuulize dogo
 
Huyo anatafuta namna ya kuhamishwa tu,,hizo ni MBWINU wanatumiaga baadhi ya watumishi hasa walimu wakichoka kukaa vijijini wakati wapo chuo ndoto zao zilikuwa kuliga kazi town,,,Mwaka 2015 Masasi kuna mwalimu nae alileta mchezo kama huo akakutwa kalala chini ya daraja,,Mkurugenzi akastukia kuwa ni janja janja ila yule jamaa alikaza kabisa hataki kubaki kule bora aache kazi,,na wazazi wa kile kijiji nao waligoma kabisa yule jamaa abaki pale wakisema amewachafulia sana hali na ustaarabu wao,toka pazaliwe hicho kijiji na toka shule ianze miaka hiyo ya ukoloni ikiitwa Middle school hapajawahi tokea tukio kama hilo mkurugenzi akaamua kumuhamishia akampeleka shule ipo maeneo ya kati ya Masasi mjini na ndanda ila akiunda tume yake ya uchunguzi,,mwisho wa picha ikaja gundulika jamaa alifake sababu hakuwa ameyapenda yale mazingira basi akapigwa onyo kalii na kulipwa nusu mshahara kwa miezi mitatu ila ikawa ndo ashahama zake
mmm
 
Porojo nyingi Sana alafu Cha kushangaza Kuna story nyingi kuhusu swax ambazo hata wakaazi hawazifaham lakini watu wa dar wanazijua
 
Acheni kupiga wanafunzi Mambo ukoloni hayo unampiga wann huyo achana nae kwani litafeli t
 
After three days, yule Mwalimu aliamka hasubui akajikuta amelala nje ya uwanja uku akiwa na boxer tu. Mwalimu huyu amepanic Sana anataka kuhama.
  1. Mwenyekiti wa kamati ya shule anasemaje?
  2. Mkuu wa shule yake anasemaje?
 
uchawi ndio science yetu tuidumushe, ukitumika vizuri utatusaidia kujilinda na kujenga uchumi.

mfano, kupitia uchawi unaweza kulinda nyumba yako bila kuwa na uzio mkuuubwa..
kupitia uchawi unaweza kujilinda bila kucheza boxing wala kung-fu au mabunduki..
kupitia uchawi unaweza kusafiri kutoka dar to new york...kupitia uchawi huwezi kudhulumiwa faida ni nyingi sana, tudumishe science yetu Africa
 
Lakini sasa mbona hatumlogi mzungu ili sie waafrika tutawale dunia au sie hatutaki kuwa the big boys wenyewe?
Kila kitu kina miiko yake kama ambavyo wewe huwezi kula nyoka ila mchina anakula halafu fresh tu
 
Back
Top Bottom