Sumbawanga acheni uchawi

Sumbawanga acheni uchawi

Mbona mmesahau yale yaliyomkuta Jiwe alipokuwa na ziara huko kusini walipomrushia Moshi ikabidi arudushwe haraka haraka Dar. na toka wakati huo afya yake iliteteleka!!!
 
Mbona mmesahau yale yaliyomkuta Jiwe alipokuwa na ziara huko kusini walipomrushia Moshi ikabidi arudushwe haraka haraka Dar. na toka wakati huo afya yake iliteteleka!!!
Yakweli Ayo?
 
Kwanza ni "workmate wa ndugu yako"...wewe sio shuhuda...haya tufanye ndugu yako ni shuhuda...alilala na huyo workmate wake ndani???ana uhakika alilala ndani?ndugu yako ndo alikua wa kwanza kuamka akamkuta nje akiwa na boxer au workmate alimwambia ndugu yako!!!?

Africa Africa poor Africaa
Huamini
 
Hapo ukute na wewe ulihadithiwa...hizi hadithi za uchawi ni kati ya vitu vinavyoathiri sana afya ya akili ya mwafrika

Bet what!!!kesho utakuja na story ya nabii au mchungaji fulani

Tuanze kukataa upuuzi huu usiende kwa kizazi cha watoto wetu,vinginevyo tutabaki watu wa kudharaulika na race inaypmsingizia Mungu kuwa ana upendeleo
Ngombe
 
Hah, Hilo Tu?!!!
Huko mtwara vijijini mwalimu baada ya kumwadhibu mwanafunzi Kwa kosa la kutosalimia basi kuanzia kesho yake jioni lilikuwa linafika kundi la mbwa mwitu wenye wingi unaofanana na darasa nyumbani kwake na kumsalimia Kwa pamoja, 'shikamoo mwalimu' na kisha wanaondoka. Zoezi liliendelea km siku nne mfululizo na mwalimu akaendelea kukomaa. Siku ya tano wale mbwa wakasalimia km kawaida na kisha wakaongeza, 'mwalimi upo?!! Haya tutaonanaaaaa kesho'!...mwalimu akaona usiwe tabu, si Kwa onyo lile, akakimbia bila kuaga hata kazini kwake.
watu hawaamini
 
Jamani khaa
 
Hii stori umetunga kama ni kweli hilo tukio limetokea wilaya gani ili nijaribu kutrace
Kumbishia siwezi maana huwa naenda Rukwa mara nyingi na kuna tukio la watu wa wizara ya Elimu gari yao kuisha upepo tairi zote kwa pamoja mchana kweupe wakiwa Ntuchi sekondari wilaya ya Nkasi. Lakini hebu atusaidie tukio hili limetokea shule gani?
 
Lakini sasa mbona hatumlogi mzungu ili sie waafrika tutawale dunia au sie hatutaki kuwa the big boys wenyewe?
Ulisha ambiwa mzungu ana uchawi advanced.Mwafrica uchawi wake ni mdogo sana mbele ya uchawi wa mzungu
 
Back
Top Bottom