Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,005
- Thread starter
- #81
Hongera, usitumie bange tena kwani inasababisha unashindwa kutafsiri mambo.Nimeona. Amesema weye hukushikwa tuketio twako huto. Tukupuuze!
Hongera, usitumie bange tena kwani inasababisha unashindwa kutafsiri mambo.Nimeona. Amesema weye hukushikwa tuketio twako huto. Tukupuuze!
Ndicho kinachofuatia.Soon watampa ubunge wa viti maalum.
Lazima. Ni kama alivyohongwa "Kidoti na CCM "!Soon watampa ubunge wa viti maalum.
It's a total shame, na mzee yeye anaona sawa!hivi leo FREDERICK SUMAYE NI WA KUTOA UPDATES ZA WEMA SEPETU?
hivi siasa huwa zinawafanyaga nini?
Watu8 nisaisdie kuuliza pls
Sumaye ana mashamba mengi mpaka mengine serikali inayachukuwa kwa kutoendelezwa!!! Si ajiuzulu siasa akaendeleze mashamba yake!hivi leo FREDERICK SUMAYE NI WA KUTOA UPDATES ZA WEMA SEPETU?
hivi siasa huwa zinawafanyaga nini?
Watu8 nisaisdie kuuliza pls
Yaah kweli anarudi utotoni.It's a total shame, na mzee yeye anaona sawa!
Ushauri mzuri huu.Sumaye ana mashamba mengi mpaka mengine serikali inayachukuwa kwa kutoendelezwa!!! Si ajiuzulu siasa akaendeleze mashamba yake!
wanachekesha sana.Wema na mama yake![]()
Kwa mujibu wa Ndugu Sumaye ambaye ndiye amepewa jukumu la kumpokea Wema na Mamaake na kuwakabidhi kadi za kujiunga ameshindwa sababu ya kuchelewa mahakamani.