Sumaye, waziri mkuu mstaafu ndio mpokeaji wa wema sepetu na mama yake? kweli siasa ni hatari.
Kwa mujibu wa Ndugu Sumaye ambaye ndiye amepewa jukumu la kumpokea Wema na Mamaake na kuwakabidhi kadi za kujiunga ameshindwa sababu ya kuchelewa mahakamani.