Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,505
- 16,005
- Thread starter
- #41
Mjibu hoja na sio kuleta visingizio.la Sumaye ni dogo kali kuliko ni pale ambapo Shonza na Mwampamba walipofukuzwa CHADEMA na kwenda kutafuta maficho CCM mtu aliye andaliwa kuwapokea ni mwenyekiti taifa wa CCM na rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania
,sijui siku ambayo mtu kama Mnyika akiamua kutimkia CCM naona mtu pekee atakayeandaliwa na CCM kumpokea atakuwa Trump rais wa Marekani.