PARADIGM
JF-Expert Member
- Sep 9, 2014
- 2,774
- 1,829
Sasa hivi Mbowe kakosa mwelekeo..Dr. Slaa aliwahi kiwaambia wasipokuwa na misingi ya chama na kuiheshimu itawagharimu. Na ndio linaloendelea sasa hivi.Hivi kweli CHADEMA mmefikia stage ya kuanza kuangaika na WEMA kweli??????.....jamani jamani
Mnakijengea picha gani hiki CHAMA?????.......Wema is no more asset tena na si mtu wa kuwafikisha mnapotaka nyie....
EBU kirudisheni chama chenu kwenye misingi yake jamani.....
Dr Slaa MZEE WANGU kokote ulipo kule ebu rudi NCHINI uanzishe CHAMA KIPYA CHA SIASA.........
Sent using Jamii Forums mobile app