Kweli huyo Sumaye ni Mr Zero... Yaani kutoka kuwa waziri mkuu wa JMT, mkuu wa shughuli za serikali bungeni, mtu wa tatu kwa cheo ktk nchi hii hadi leo kuwa sijui mwenyekiti wa Kanda wa Saccos ya Mbowe ambaye kazi yake ni kutoa briefing ya akina Wema Sepetu na mama yake!!!. Ama kweli wahenga walisema mtaka nyingi nasaba hupata mingi musiba.
