Hivi wana morogoro kwa nn mnakuwa wagumu kuelewa kwanini hamtaki kumshtaki sumaye kwa wizi wa ekari kwa ekari za mashamba huko mvomero, ni yeye alichukua mashamba yale akawafukuza wakazi wa maeneo hayo na kuyahodhi kwa mambo yake binafsi leo wakazi wa maeneo hayo wanalia kwa uhaba wa maeneo ya mashamba, hadi kusababisha mapigano ya wamasai na wakulima yaliyopelekea mauaji ya watu kadhaa, Sumaye hali ya wanamorogoro ya sasa tatizo ulikuwa wewe.....leo umekuwa meneja kampeni wa lowassa uliyetofautiana nae kwa muda mrefu tuu.. Leo mmeungana kwa maslah gani. Mnataka kufanya tukio gani tena, hatuwezi kuwaamini...mabadiliko yataletwa na mtu mwingine ila sio ninyi