Uongo wa namna hii hata mtoto wa darasa la nne hauwezi kuubali Sumaye ni mwizi tu end of story.
Sumaye:
"Mimi ni mkweli sana, ni kweli nina shamba langu Morogoro nimelinunua kwa kiinua mgongo changu.
Mimi sikutaka kuwekeza kwenye majumba kwa kuwa nilikuwa sina pesa nyingi za kununua magorofa ndio maana nikaamua kuwa mkulima"
hivi mtu kumiliki ardhi Tanzania ni ishu?
mbona kuna mapori yalikuwa yanakatwa kwa 10000 per acre na yameshikiliwa na vigogo wa ccm!na hamsemi?
haya mapori yalikuwa na ghala la wanakijiji pia? ishu hapa ni yale mashamba na ranchi zilizo kuwa mali ya umma na wajanja wakajimilikisha kiujanjaujanja. usilinganishe kifo na usingizi eti kwa kuwa wahusika wote wanakuwa wamefunga macho.
CCM kuna watu kama Sumaye wangapi?
Hatuwezi kupata maendeleo kwa kuwatumia majizi wachache wenye hasira na uchu tele wa madaraka, shortly Dk hayupo hamna jipya
Kwa hiyo bora kuendelea kukitumia chuo cha mafisadi "CCM"?
Mtu anaiba eneo la gereza mtu anaiba eneo la makao makuu ya wilaya itakapojengwa halafu unasema kumiliki ardhi sio issue NYUMBU kweli hamjitambui issue ardhi hiyo kaipataje kihalali au ya wizi na ulaghai kumsafisha Form six prime minister ni ngumu sana kila mtu anajua ni kibaka mpaka shetani anajua Sumaye ni mwizi
Kuliko kuwa na rais fisadi anae saidiwa na wengi wenye uchu na madaraka wasio na utu, Ni bora kuongozwa na rais ambaye sio fisadi anaweza wakontrol mafisad wengine nyuma yake
CCM kuna watu kama Sumaye wangapi?