Sumaye: Nimenunua shamba kwa kiinua mgongo changu

Sumaye: Nimenunua shamba kwa kiinua mgongo changu

Sumaye:

"Mimi ni mkweli sana, ni kweli nina shamba langu Morogoro nimelinunua kwa kiinua mgongo changu.

Mimi sikutaka kuwekeza kwenye majumba kwa kuwa nilikuwa sina pesa nyingi za kununua magorofa ndio maana nikaamua kuwa mkulima"


Tangu lini ukapewa kiinua mgongo kabla hujastafu kazi! mashamba ya morogoro alinunua wakati bado ni waziri mkuu. eneo ambalo yangejengwa makao makuu ya wilaya ya mvomero. Lakini ndivyo yalivyo majibu ya majukwani maana yanaambatana na ushabiki na sio ukweli
 
Kwanini asingenunua kwao mbulu mpaka apeleke mgogoro moro, hizi ni fursa aliziona kama viongozi na nisehemu ya mikataba waliokuwa wamengia na wawekezaji ili kupiga hela. Alinunua ardhi Kibaigwa kesho yake linatangazwa soko la kimataifa la mahindi.
 
Kuwa na ardhi sio tatizo, tatizo ni je hiyo ardhi inatumika kwa ajili ya uzalishaji? Mtu anaweza kumiliki hata hekari mia ili mradi anamiliki kihalali, tunachotaka ni uwekezaji kwenye hiyo ardhi, watu wapate ajira mbalimbali na uchumi wetu ukuwe. Namsifu sana Sumaye hakwenda kuficha fedha nje bali amewekeza tanzania kwenye kilimo na ameajiri watanzania. Huku njombe kunawatu wana ekari mpaka 200 za miti ya mbao, watu wamepata ajira pato la nchi linakuwa.
 
Mashamba Tanzania yako mengi wapi uliwahi ona Tenda?

Sasa kama waziri Mkuu hajui taratibu za upataji ardhi sisi wengine itakuwaje? Issue ni kuwa aliipataje hiyo ardhi? na kwa statement kuwa nilinunua ardhi kwa kiinua mgongo nachelea kuamini alinunua ardhi hiyo kwa wanakijiji kwa kutumia innocence yao! Je huo ndio utaratibu? Utaratibu umewekwa ili kucontrol sasa unapovunja utaratibu ndio hizi athari za ukosefu wa ardhi zinapotokea!
UKAWA wangekuwa wakombozi kweli endapo wangesema wataangalia hizo ardhi walizojirithisha regardless mtu anatoka chama gani?? UKAWA please na mashabiki wake kama mna nia ya kutoka rohoni kutukomboa waTanzania basi muweke ushabiki pembeni. Mambo ya kusema oooh mbona CCM wanafanya sasa tutawatofautishaje na CCM? Angalau nilimsikia mgombea wa CCM akisema tutarudisha ardhi kwa wananchi kutoka kwa viongozi na hawakusema kutoka kwa viongozi wa CHADEMA!
 
Ukabila umekujaa sana. Kwanza hujui principle za Uchumi. Hatuwezi kuendelea kiuchumi kwa kuyaangalia mapori na kuyashangaa. Tunahitaji watanzania wenye kipato kikubwa waitumie ardhi hii tuliyonayo, wazalishe kwa faida, watoe ajira, tuongeze uuzaji wa bidhaa za kilimo nje. Sasa watanzania wengi tukipata fedha ni kwenda kuzificha nje ya nchi wanafaidi wenzetu. poor tanzania. Kama sumaye uwezo bado upo aje njombe anunue mapori ya maana apande miti ya mbao na sisi huku tupate ajira kwenye hayo mashamba.
 
Usiulize swali while jibu linaonekana wazi, Tukisema usafi huwezi kumfananisha lowassa na magufuli, mlisema ni fisadi hafai mmemvua lini huo ufisadi

Mahakama ya umma wa watanzania imeshamsamehe Lowassa kwa tuhuma zote za Ufisadi tangu alipohamia UKAWA.Yeyote mwenye madai dhidi yake tukutane oktoba 25.
 
Kwanini asingenunua kwao mbulu mpaka apeleke mgogoro moro, hizi ni fursa aliziona kama viongozi na nisehemu ya mikataba waliokuwa wamengia na wawekezaji ili kupiga hela. Alinunua ardhi Kibaigwa kesho yake linatangazwa soko la kimataifa la mahindi.

Mbona Kikwete amepewa ardhi zaidi ya hekari 300 kama zawadi mkoani Lindi kwenye hafla ya kumuaga tarehe 8/8
 
Migogoro mingi ya ardhi imetokana na hawa mawaziri wakuu wawili. Sumaye kaacha kununua kwao kaenda morogoro ambako amesababisha mgogoro mkubwa wa ardhi ambao hauwezi kuisha hivi karibini.Tuliambiwa hivi wakati tunasoma " Cheo ni dhamana sitakitumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu" Lowassa alipokuwa waziri mkuu alibadilisha mpaka baina ya karatu na monduli kwa kuongeze eneo la monduli kutoka wilaya ya karatu na kusababisha mgogoro kati ya wilaya hizo. Sasa hiyo alifanya akiwa waziri mkuu, je akiwa rais itakuwaje
 
tenda ya kuuzwa hilo shamba ilitangazwa wapi na mlishindanishwa na wanunuzi wengine kina nani na lini?

Double Standard hizi, kutoka lilipo shamba la Sumaye Kilomita kama moja tu namimi nilinunua Shamba la hekari saba lakini hakukua na Tenda na wala nini.
 
Sasa kama waziri Mkuu hajui taratibu za upataji ardhi sisi wengine itakuwaje? Issue ni kuwa aliipataje hiyo ardhi? na kwa statement kuwa nilinunua ardhi kwa kiinua mgongo nachelea kuamini alinunua ardhi hiyo kwa wanakijiji kwa kutumia innocence yao! Je huo ndio utaratibu? Utaratibu umewekwa ili kucontrol sasa unapovunja utaratibu ndio hizi athari za ukosefu wa ardhi zinapotokea!
UKAWA wangekuwa wakombozi kweli endapo wangesema wataangalia hizo ardhi walizojirithisha regardless mtu anatoka chama gani?? UKAWA please na mashabiki wake kama mna nia ya kutoka rohoni kutukomboa waTanzania basi muweke ushabiki pembeni. Mambo ya kusema oooh mbona CCM wanafanya sasa tutawatofautishaje na CCM? Angalau nilimsikia mgombea wa CCM akisema tutarudisha ardhi kwa wananchi kutoka kwa viongozi na hawakusema kutoka kwa viongozi wa CHADEMA!
Unauwakika na ushahidi kwamba sumaye hakufuata utaratibu? Uwezi kuendelea kwenye sector ya kilimo kwa kumwachia mkulima ardhi ovyo ovyo. Nchi zilizo piga hatua hasa kwenye kilimo wakulima ni asilimia isiyozidi tano tu. Tanzania mtu mmoja anamiliki ekari mia, ukumuuliza ekari hizi zote unafanyia nini anakwambia hajui yeye amerithi tu, zinakusaidiaje anakwambia hazimsaidii chochote. Zaidi ikifika kiangazi anachoma moto mapori hayo na kujisifia yamewaka umbali mrefu hivyo ataishi maisha marefu. poor thinking!!!!! Ifikie kipindi tumwambie huyu mkulima lima kiasi fulani na kiasi fulani tuwekeze, mkulima huyu aunganishwe na mwekezaji kwenye kutafutiwa masoko. Tunawahitaji wazawa kama sumaye wanaoona ardhi ni mali na si kuweka mabilioni uswis.
 
Double Standard hizi, kutoka lilipo shamba la Sumaye Kilomita kama moja tu namimi nilinunua Shamba la hekari saba lakini hakukua na Tenda na wala nini.

Mkuu hilo eneo ni pori, shamba au mafyeko??!!!
 
Tueleze Sumaye umenunua pori au mashamba ya wanyonge?ili tujue kama wanaokusema wako sahihi au kulikoni?
 
Kiukweli wananchi wengi Tanzania hawakuchukulia ardhi kama kitu muhimu waliona mjini ndiyo kwenye kila kitu,na wananchi wa vijijini nao waliridhika na eneo dogo la kulima kutokana na tabia iliyojengeka ya kijamaa tangu zamani.
Ikiwa mwananchi wa kawaida kama wewe na Mimi tukienda morogoro au rukwa mwaka 2007 tunapewa ardhi yenye ukubwa wowote kwa bei ya karibu na bure ukilinganisha na dhamani ya ardhi yenyewe na sisi Ni watanzania tunaruhusiwa kufanya shughuli zetu popote nchini itakuwaje kwa kiongozi mkubwa kama sumaye ambae nae Ni mtanzania Ana haki sawa kama mtanzania yoyote atashindwa kuchukua eka hata 3000?
Dhamani ya ardhi nje ya miji kwenye maeneo mengi ya nchi siku za nyuma ilikuwa ndogo Sana kwasababu uchumi wa nchi ulikuwa bado mchanga tofauti na sasa uchumi wa nchi umekuwa mkubwa na unazidi kukua.
 
Migogoro mingi ya ardhi imetokana na hawa mawaziri wakuu wawili. Sumaye kaacha kununua kwao kaenda morogoro ambako amesababisha mgogoro mkubwa wa ardhi ambao hauwezi kuisha hivi karibini.Tuliambiwa hivi wakati tunasoma " Cheo ni dhamana sitakitumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu" Lowassa alipokuwa waziri mkuu alibadilisha mpaka baina ya karatu na monduli kwa kuongeze eneo la monduli kutoka wilaya ya karatu na kusababisha mgogoro kati ya wilaya hizo. Sasa hiyo alifanya akiwa waziri mkuu, je akiwa rais itakuwaje

Acha uduwanzi na usengerema wewe tutusa,kubwa zima umekalia ukanda na ukabila. Nchi ni ya wote na kila Raia ana uhuru wa kununua ardhi na kuishi popote pale anapotaka yeye.
 
Mahakama ya umma wa watanzania imeshamsamehe Lowassa kwa tuhuma zote za Ufisadi tangu alipohamia UKAWA.Yeyote mwenye madai dhidi yake tukutane oktoba 25.

Duh mpaka Mingoi umeikataa CCM!!!?kweli Mwaka huu mabadiliko hayakwepeki.
 
Kwakitendo hiki sumaye yuko poa sana. Heli yake yeye alienunua shamba kubwa nakuamua kufanya ufugaji naukulima kwani anakua ametoa ajila kwawatu wenyekipato kidogo. Hongera sumaye.
 
Sasa kama waziri Mkuu hajui taratibu za upataji ardhi sisi wengine itakuwaje? Issue ni kuwa aliipataje hiyo ardhi? na kwa statement kuwa nilinunua ardhi kwa kiinua mgongo nachelea kuamini alinunua ardhi hiyo kwa wanakijiji kwa kutumia innocence yao! Je huo ndio utaratibu? Utaratibu umewekwa ili kucontrol sasa unapovunja utaratibu ndio hizi athari za ukosefu wa ardhi zinapotokea!
UKAWA wangekuwa wakombozi kweli endapo wangesema wataangalia hizo ardhi walizojirithisha regardless mtu anatoka chama gani?? UKAWA please na mashabiki wake kama mna nia ya kutoka rohoni kutukomboa waTanzania basi muweke ushabiki pembeni. Mambo ya kusema oooh mbona CCM wanafanya sasa tutawatofautishaje na CCM? Angalau nilimsikia mgombea wa CCM akisema tutarudisha ardhi kwa wananchi kutoka kwa viongozi na hawakusema kutoka kwa viongozi wa CHADEMA!

Japo mimi siyo msemaji wa UKAWA nadhani UKAWA hawajatoka kwenye reli, washabiki wake wanacho tetea ni ile hali ya kuona aliye hamia upinzani ndiyo mbaya ili hali CCM ina fanya kufulu katika issue zile zile wanazo rusha madongo kisa waliye fanya nao kawahama.

Ni imai yangu kwamba UKAWA kuwatetea EL Sumaye etc, haimanishi kwamba hawata chukua hatua au wamefumbia macho mambo ambayo wamekuwa wakiyapigia kelele miaka yote dhidi ya CCM. CCM hawana hoja dhidi ya UKAWA baada ya issues za Udini, ukabila, wapinzani kuleta machafuko etc kuonekana si hoja tena 2015. Kwani turufu waliyo baki nayo ni kuwa ponda wale walio kihama CCM kwenda upinzani.

UKAWA bado wapo imara na mikakati yao dhidi ya UFISADI, RUSHWA, na UDHALIMU MWINGINE.

Mfano michache tu mbona CCM hawazungumzii Escrow, EPA? Ubadhirifu ni Richmond, mashamba pekee? Rushwa iliyo tahamalaki ndani ya CCM na ofisi za Umma siyo hoja siyo? Viongozi mungu watu, wasio wajibikia, wasio chukuliwa hatua siyo hoja za kuzungumzika?

Think tank nyie!
 
hivi nyie ndorobo Kuna majambaziupinzani kama yalivyo majambazi papa CCM?? Kila mtu Ni mwizi Tu, kuanzia jk,rizone, maguful, mwakiembe, chenge, kilango .... Yaani kila mtu Ni mwizi Tu,kama sumaye na el walikuwa wezi mlikuwa wapi siku zote???

Huu ndiyo ujinga nisio hitaji kuusikia, CCM wana aminisha wanachikuwa ukiwa CCM ni safi. Mimi nawa tafsiri kwamba kama wewe ni mwanachama ukiongozi wa CCM bas wewe siyo FISADI ila ukitoka CCM basi wewe FISADI!

CCM, kwa tafsiri yenu nini maana ya FISADI, Mwizi wa mali ya umma?

Labda siye mkwapuaj wa mali ya umma ndani ya CCM ni Mangula the rest funga domoyenu chafu! Mfakatia Kampeni team yote ya CCM nani si mdokozi wamai umma? Kunawanao mpigania pombe kushinda urais kwa gharama yoyote kama ndimi zao zlivyojinasibu, lakini watoto wao ni VINARA watuhumiwa wa biashara halamu ya unga,mpaka hapo unadhani hilo jembe lisilo na mpini litaweza kuatua shamba lililokanyangwa na tembo/nyati? Jembe hilo ni chochote kweli kuchukua hatua kwavigogo na wafalume walio liwezesha kupata makali?!!! Watalifia njembe na jembelitawafia, KULINDANA style.

Fikiri nje ya boksi wadanganyika!

 
Mbona kila siku tunawatangaziawawekezaji waje tanzania kuwekeza katika kilimo wao wanakataa? Mtanzaniakumiliki ardhi kweli ni issue!! Tuna uhaba wa ardhi kiasi gani hadi kunganganiahiyo ya Sumai?? Tuache unafiki na Uchuki za kisiasa kwa masuala yamsingi

Magufuli ana record ya kuchukua maamuzi kwa pupa. Alituingizagharama za ajabu meli na samaki wa magufuli, Taifa lilishindwa kesi a kutakiwakulinalipa gharama, sijui fedha kiasi gani Tanzania inatakiwa kulipa. Sipatipicha walivyo watesa watu wale mtawalipa fidia kiasi gani?

Issue ya mashamba, wamiliki wengi ni vigogo na wana yamiliki tangumiaka hiyo na taratibu zote zilizingatiwa, ikibainika mmechukua maamuzi kwapupa gharama hizo mbebe wenyewe mlio chukua maamuzi.

 
Back
Top Bottom