Sumaye: Nimenunua shamba kwa kiinua mgongo changu

Sumaye: Nimenunua shamba kwa kiinua mgongo changu

kidibwe.hata usemeje watu wameamua na wanawaamini wewe unayefaidika na ccm endelea kubaki huko form six ndiyo nini? mbona mnatumika vibaya ninyi nguruwe?
 
Kikwete aliwaambia wafanye kampeni za kistaarabu eeeh wao wameshupaza shingo wanaropoka hawajui wanajiharibia wenyewe
 
Mtu kama mimi nisie na chama nafurahia sana hii siasa mpya. Wapinzani wasiokuwa na uwoga ni njia pekee ya kuzuia wizi kwenye serikali zetu za kiafrika. Na naomba Mungu Rais ajaye asiwe na wabunge wengi. Iliwaendele kupeana makavu ndani ya serikali.
 
Safi sana Sumaye. Wamekomaa na richmond wakati kuna kashfa nyingi za ubadhrifu wa mali ya umma,ikiwemo Escrow,EPA,Meremeta,Deep Green,Tangold,madawa feki,ujangili,usafirishaji wa wanyama hai. Kwa upande mwingine wananchi wakilia na umaskini,Rushwa,huduma mbovu za kijamii kama elimu,maji na umeme. Waendelee kuwavuruga wapinzani kwa kuwahonga mihela utadhani akina Slaa,Lipumba nk ndio wapiga kura. Wajifariji tu,labda vyama vyote vinavyoundwa UKAWA mvifute ktk orodha ya vyama vya siasa,tutapigia hata jiwe.....ama kinyesi.
 
Amesema ni kweli nina shamba ambalo nimelinunua kwa kiinua mgongo changu baada ya kustaafu.
Mimi sina ela ya kujenga magorofa na ya kuwekeza kwenye miradi mikubwa.

Nimeamua kuwa mkulima sasa wanasema mwingine anafuga ng'ombe eti ni ufisadi .

Je walitaka tufanye kama kinana kuua tembo au familia ya JK waliokwapua ela za ESCROW. Hili tuonekane waadilifu.

Nimeipenda.
Napata wasiwasi kama mahakama ya majizi na mafisadi itaanzishwa.
 
Jana nmemdharau makamba sr. Kwa upumbavu alioongea eti " waziri Mkuu sumaye alipewa uwaziri Mkuu ilihali alikuwa ni form six". Kisha baada ya kustaafu akaenda kusoma.
 
Sumaye ni Mtakatifu,kama wanaopima uadilifu ni kina Mangula.
 
Amesema ni kweli nina shamba ambalo nimelinunua kwa kiinua mgongo changu baada ya kustaafu.
Mimi sina ela ya kujenga magorofa na ya kuwekeza kwenye miradi mikubwa.

Nimeamua kuwa mkulima sasa wanasema mwingine anafuga ng'ombe eti ni ufisadi .

Je walitaka tufanye kama kinana kuua tembo au familia ya JK waliokwapua ela za ESCROW. Hili tuonekane waadilifu.

Nimeipenda.

Mm pia nimeipenda maana Mh. Sumaye hajui kumung'unya maneno.Anasema lile lililopo.Asante Mh.Sumaye
UKAWA mbele kwa mbele
 
Amesema ni kweli nina shamba ambalo nimelinunua kwa kiinua mgongo changu baada ya kustaafu.
Mimi sina ela ya kujenga magorofa na ya kuwekeza kwenye miradi mikubwa.

Nimeamua kuwa mkulima sasa wanasema mwingine anafuga ng'ombe eti ni ufisadi .

Je walitaka tufanye kama kinana kuua tembo au familia ya JK waliokwapua ela za ESCROW. Hili tuonekane waadilifu.

Nimeipenda.

Duh huyu jamaa kawa celebrity wa kisiasa wakitinga Dar nipo radhi kugombana na mwajiri wangu lazima nikawasikilize jamaa hakopeshi
 
Naomba mjibu hoja yake, Escrow na Familia Ikulu vipi? na vipi Meno ya Tembo na Katibu mkuu?
 
Sorry mbona hajagusia mkopo alichukua NSSF wakati yeye si mwanachama wa NSSF

Mkopo! Unaandika lakini?! Huo ni wake na familia yake masharti na vigezo vilizingatiwa hivyo Nssf wanataratibu zao kukusanya madeni halituhusu sisi.
 
Back
Top Bottom