Sumaye: Nimenunua shamba kwa kiinua mgongo changu

Sumaye: Nimenunua shamba kwa kiinua mgongo changu

Amesema ni kweli nina shamba ambalo nimelinunua kwa kiinua mgongo changu baada ya kustaafu
Mm sina ela ya kujenga maghorofa nankuwekeza kwenye miradi mikubwa

Nimeamua kuwa mkulima sasa wanasema mwingine anafuga ng'ombe eti ni ufisadi

Je walitaka tufanye kama kinana kuua tembo au familia ya Jk waliokwapua ela za escrow.hili tuonekane waadilifu

Nimeipenda

asante kamanda. Watanyooka tu ukawa hatuna shari
 
Sumaye atawamaliza,hii ishu ya kuua tembo watu wanaogopa kuizungumzia lakini Sumaye kajitoa mhanga!
Hatimae kapatikana wa kumfunga paka kengele. Wengi waliogopa kwenda public. Sasa mambo hadharani
 
bupepe sumaye kaongele wapi NA lini habari za meno ya tembo?
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha magamba wanakimbilia uvunguni... Lowasaaaaaaa!... Mabadiliko! Mabadilikooo!...
 
Asante Sana Fredrick naona ushaanza kuwa vua shati taratibu uta shuka chini mwaka huu tutajua mengi mnoooo .huku mwana halisi liko hewani
 
Hivi mbona kikwete yupo kimya sana wanaongea wengine tu na uku nako naona lowasa yupo kimya sana wanaongea wengine tu awa watu watakua wanaviziana ila siku za mwishoni mwishoni mwa kampeni kuna mambo yanaweza kuongelewa na kuwekwa ushahidi hadharani na kuna kiongozi anaweza pata mstuko wa moyo ghafla..ngoja tuone
 
perfect....wakileta tunajibu...mabadiliko lowassaaaaaaaa
Amesema ni kweli nina shamba ambalo nimelinunua kwa kiinua mgongo changu baada ya kustaafu.
Mimi sina ela ya kujenga magorofa na ya kuwekeza kwenye miradi mikubwa.

Nimeamua kuwa mkulima sasa wanasema mwingine anafuga ng'ombe eti ni ufisadi .

Je walitaka tufanye kama kinana kuua tembo au familia ya JK waliokwapua ela za ESCROW. Hili tuonekane waadilifu.

Nimeipenda.
 
Safi sana sumaye kwa kumtaja kinana tena meli zake zinahusika sana kwenye mabiashara ya magendo maana ccm wao wanajiona wasafi sana naomba sumaye amlipue na didas masaburi ili wakome kabisa siasa za kuchafuana
 
Sumaye ni genius si wa kuingia kichwa-kichwa kwa mihemko kama kile kizee makamba
 
Back
Top Bottom