michael doto
Senior Member
- Jul 12, 2015
- 155
- 17
huyu alinunua ardhi wale twiga kapanda ndege.escrow.epa.nbc.atcl.katiba.mapanki.etc
Sumaye:
"Mimi ni mkweli sana, ni kweli nina shamba langu Morogoro nimelinunua kwa kiinua mgongo changu.
Mimi sikutaka kuwekeza kwenye majumba kwa kuwa nilikuwa sina pesa nyingi za kununua magorofa ndio maana nikaamua kuwa mkulima"
Usiulize swali while jibu linaonekana wazi, Tukisema usafi huwezi kumfananisha lowassa na magufuli, mlisema ni fisadi hafai mmemvua lini huo ufisadi
zero ni mamaako
Walitufanya tuuchukie ufisadi sasa wanataka tumkubali fisadi kwanini? Wakubali tuu kuwa hawana msafi wa kutushawishi sio kufata tu upepo
Ndugu hilo neno la kutusi mama wa mtu sio vema, na wewe hauna formation nzuri katika malezi yako. Je unaonaje ukijirekebisha kwani watanzania ni ndugu na mamangu pia ni mamako. Hukunitusi mimi ila lugha ni msingi.
Katika miaka yako 10 Bwn. Sumaye kuna lolote la maana ulilofanya ukiwa waziri mkuu?
Na zile damu za Waislamu kule Zanzibar unasemaje? Nazo ulizimwaga kwa kutumia kiinua mgongo chako? Uchu wa madaraka unakusumbua tu huna lolote. Eddo akikupa uwaziri mkuu tena tutaanzisha vuguvugu lingine la mabadiliko. Hovyo kabisa!
usinitake nicheke Mie, ile boti ya magufuli pale kigambo ilinunuliwa bilioni 8 na Ni mbovu imetengenezwa 1975 wakati bakhresa ananunua yake kubwa na mpiya imetengenezwa 2015, zenji saa na nusu!! Ya magufuli bagamoyo masaa 2?? Hela nyingine imekwenda wapi?? Mmiliki halali WA kebbys hotel bamaga Ni magufuli aliyemmilikisha mmiliki kivuli hawara yake dada kabula!! Magufuli naye Ni kibaka papa aliyezungukwa na mafisi papa ya nchi hii na kujifanya kondoo wakati anatafuta kura?? Magufuli ulipata wapi hela ya kujenga kebbys hotel kama wewe siye jizi hata shetani anajua magufuli Ni mwizi na amexungukwa na kundi la majizi papa
tenda ya kuuzwa hilo shamba ilitangazwa wapi na mlishindanishwa na wanunuzi wengine kina nani na lini?
Eka 300 si chochote,kwa namna wengine walivo na ardhi
Hawo walipo madarakani wengine wana eka kwa maelfu. Mzee makamba nae wakusikilizwa basi aah huyu mzee wa kuropoka kwa biblia, nashangaa hajayumia biblia mara hii.
Mm nilidhani sumaye ana eka 50'000 kumbe 300 tu. basi kweli alivo jisemea ni mtakatifu
ccm kuna watu kama sumaye wangapi?
Tunaongelea shamba kwa sababu anataka kuonekana yuko duni kwa kutumia kiinua mgongo chake kulipata, hizi siasa za maji machafu, alikula na bado anataka kuendelea kula