Sumaye: Nimenunua shamba kwa kiinua mgongo changu

Sumaye: Nimenunua shamba kwa kiinua mgongo changu

Wapi zabunni ilitangazwa kwamba shamba hilo linauzwa. Mnada wa kuuza ulikuwepo lini. Alishindana na akina nani? Isije ikawa alitumia mbinu chafu na madaraka kujipatia hiyo ardhi

Mkuu wa south WANAZOA DHAHABU chunya hapo,ivi mna uzalendo kujadili shamba la kulima wakati watu wanaondoka na MALI zetu kila siku kwa gharama ndogo kabisa..
 
sumaye:

"mimi ni mkweli sana, ni kweli nina shamba langu morogoro nimelinunua kwa kiinua mgongo changu.

Mimi sikutaka kuwekeza kwenye majumba kwa kuwa nilikuwa sina pesa nyingi za kununua magorofa ndio maana nikaamua kuwa mkulima"

matuMizi mabaya ya madaraka YA UMMA; KUJILIMBIKIZIA MALI

mbona alipokuwa mwalimu ; hakujimilikisha ardhi kiasi hicho;

je serikali ya kijiji ilishirikishwa ???????

Kwanini wanakijiji wapige kelele kama serikali ya kijiji iliwashirikisha kwa kuleta muwekezaji;

scaninavia bus vipi??????????????
Mauaji zanziba????????
Mauahaji mwembe chai???????
Uuzaji wa nyumba za serikali????????

Sumaye ; umeingia cha ndimu
subiri , utaomba poooooooooo kama jana

badala ya kunadi sera ; unanadi mashamba ya kibaigwa

kisu kimekuingia ; hiyo ni kauli ya raisi magufuri , na kauli ya raisi ni sheria

anza kurudisha mapema.

Mwenzio lipumba kazi tu ; kashaonyesha njia ni mtafiti wa uchumi

hapakazi tu 2015
 
mkuu wa south wanazoa dhahabu chunya hapo,ivi mna uzalendo kujadili shamba la kulima wakati watu wanaondoka na mali zetu kila siku kwa gharama ndogo kabisa..

lete ushahidi ; acha porojo

mwambie harudishe ardhi ya kijiji , wilaya mpya na ardhi ya jeshi la magereza
 
Ukitaka uwe salama bora ubakie ccm, yaani ukitoka ndani ya ccm ufisadi wako unawekwa hadharani. Watu wanaogopa kutoka kwasababu watafedheheshwa kwa ufisadi walioufanya. Inamaana ccm ni store ya mafisadi na majizi?, tutakuwa tunawaogopa ndg zangu itafika mahali mtatuiba mpaka sisi wananchi
 
Ukitaka kununua/kupewa ardh zaidi ya eka 50 unaomba katika wilaya husika. Eka 50 unaomba hapo hapo kijijini. Nadhani wilaya husika wana taratibu ambazo wanafuata (Kwani kijiji huwa kuna taratibu za kuwajulisha wana kijiji na kuna kamati mbali mabali lazima ziridhie). Kama hizi taratibu hazikufuatwa huko wilayani basi kuna tatizo. Huwa haitangazwi tenda ni taratibu tu walizojiwekea ndiyo lazima zifuatwe.

hilo shamba si kati ya yale yaliyokuwa mali ya umma?
 
Sumaye:

"Mimi ni mkweli sana, ni kweli nina shamba langu Morogoro nimelinunua kwa kiinua mgongo changu.

Mimi sikutaka kuwekeza kwenye majumba kwa kuwa nilikuwa sina pesa nyingi za kununua magorofa ndio maana nikaamua kuwa mkulima"

Hivi umasikini ni kuwa mkulima?
Wenye majumba ni akina nani kama sio EL na akina Mbowe?
Je anatuambia nini?????
 
Mimi niliwahi kugusia humu kuwa baada ya Oktoba 25 tushuhudia mengi. watu maarufu watafilisiwa mali walizokuwa wamepora na wengine wataswekwa ndani. Tusubiri tuone.
 
Kuliko kuwa na rais fisadi anae saidiwa na wengi wenye uchu na madaraka wasio na utu, Ni bora kuongozwa na rais ambaye sio fisadi anaweza wakontrol mafisad wengine nyuma yake

Mi nashangaa watu wengi wanashindwa kuelewa hii concept. Kwasababu raia asiye fisadi ataweza kufanya wafuaai wake wasiwe fisadi tena. Mi nadhani tumpe Magufuli chance na ninaamini anaweza kufanya mabadiliko ya nguvu.
 
Mimi pia nina mashamba kibao kijijini na ninaendelea kununua. Je mimi ni fisadi?
 
Uongo wa namna hii hata mtoto wa darasa la nne hauwezi kuubali Sumaye ni mwizi tu end of story.

Mahakama zinafanya kazi gani!? Kwanini msimpeleke huko!? Mtueleze kinagaubaga ni nani muhusika mkuu wa RICHMOND, na kwanini hamjampeleka mahakamani!? Nani anahusika na uuzaji wa dawa za kulevya!? Nani anaua tembo wetu!? Muhimu kuliko yote nani anahusika na usafirishaji wa wanyama hai nje ya nchi, mfano Twiga alipandaje ndege!? Hatutaki porojo!
 
Sumaye:

"Mimi ni mkweli sana, ni kweli nina shamba langu Morogoro nimelinunua kwa kiinua mgongo changu.

Mimi sikutaka kuwekeza kwenye majumba kwa kuwa nilikuwa sina pesa nyingi za kununua magorofa ndio maana nikaamua kuwa mkulima"

Kwahiyo Alikuwa Anasubiri Hadi ATEKENYWE Ndipo AFUNGUKE Hivi? Hana Lolote MNAFIKI Mkubwa Huyu Na Hakyanani LAANA Kali Ya Mwenyezi Mungu HAITAMUACHA au KUMKOSA.
 
hivi mtu kumiliki ardhi Tanzania ni ishu?
mbona kuna mapori yalikuwa yanakatwa kwa 10000 per acre na yameshikiliwa na vigogo wa ccm!na hamsemi?
Kwani huyu kigogo wa wapi??!!
 
Eleza kaiba nini, lini na wapi.. Sio mnaropoka tu.. Kumbukeni mnaweza kufunguliwa mashtaka ya kudhalilisha na kutoa tuhuma za uongo na ikala kwenu.. Lowasa alisema mwenye ushahidi aende Mahakamani, Nani kapeleka mashtaka? Sasa subirini mushtakiwe ndipo mpate fundisho

Ha ha haaaa ikianza kushtakiana aisee Chadema si viongozi wakuu watafungwa karibia wote maana walimchafua sana Mzee Lowassa!!!!

Liache lipite hilo
 
Katika miaka yako 10 Bwn. Sumaye kuna lolote la maana ulilofanya ukiwa waziri mkuu?

Na zile damu za Waislamu kule Zanzibar unasemaje? Nazo ulizimwaga kwa kutumia kiinua mgongo chako? Uchu wa madaraka unakusumbua tu huna lolote. Eddo akikupa uwaziri mkuu tena tutaanzisha vuguvugu lingine la mabadiliko. Hovyo kabisa!

Kwa hili unamwonea toka lini wazili mkuu akawa amiri jeshi? nakuona kwa mbaaali ukimkwepa muhusika.
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
Hivi umasikini ni kuwa mkulima?
Wenye majumba ni akina nani kama sio EL na akina Mbowe?
Je anatuambia nini?????
Nimesoma hapo nikacheka tu. . . . . .Viongozi wetu asee wana taabu sana Mungu atunusuru safari hii
 
Kuliko kuwa na rais fisadi anae saidiwa na wengi wenye uchu na madaraka wasio na utu, Ni bora kuongozwa na rais ambaye sio fisadi anaweza wakontrol mafisad wengine nyuma yake

Nani msafi, mtaje tu usiwe na kiguguizi. Na kaa ni swala la viongozi au vyama kubeba mafisadi ni chama gani kina MAFISADI wengi na mabillionea?

Kama unaishi kwenye nyumba ya vioo usirushie mawe kicha, utajuta oh!
 
Usiulize swali while jibu linaonekana wazi, Tukisema usafi huwezi kumfananisha lowassa na magufuli, mlisema ni fisadi hafai mmemvua lini huo ufisadi
 
Mi nashangaa watu wengi wanashindwa kuelewa hii concept. Kwasababu raia asiye fisadi ataweza kufanya wafuaai wake wasiwe fisadi tena. Mi nadhani tumpe Magufuli chance na ninaamini anaweza kufanya mabadiliko ya nguvu.
Walitufanya tuuchukie ufisadi sasa wanataka tumkubali fisadi kwanini? Wakubali tuu kuwa hawana msafi wa kutushawishi sio kufata tu upepo
 
Kuliko kuwa na rais fisadi anae saidiwa na wengi wenye uchu na madaraka wasio na utu, Ni bora kuongozwa na rais ambaye sio fisadi anaweza wakontrol mafisad wengine nyuma yake
usinitake nicheke Mie, ile boti ya magufuli pale kigambo ilinunuliwa bilioni 8 na Ni mbovu imetengenezwa 1975 wakati bakhresa ananunua yake kubwa na mpiya imetengenezwa 2015, zenji saa na nusu!! Ya magufuli bagamoyo masaa 2?? Hela nyingine imekwenda wapi?? Mmiliki halali WA kebbys hotel bamaga Ni magufuli aliyemmilikisha mmiliki kivuli hawara yake dada kabula!! Magufuli naye Ni kibaka papa aliyezungukwa na mafisi papa ya nchi hii na kujifanya kondoo wakati anatafuta kura?? Magufuli ulipata wapi hela ya kujenga kebbys hotel kama wewe siye jizi hata shetani anajua magufuli Ni mwizi na amexungukwa na kundi la majizi papa
 
Back
Top Bottom