Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,174
- 111,109
Kwanini tutafute watu kama Sumaye ndani ya ccm wakati ukawa mmemkumbatia the real Sumaye??
Waambie viongozi wako wa chama wakuoneshe list ya vibaka wa Stanbic waliokwapua mijihela ya Escrow...

..mmmh!priviledge
Sumaye:
"Mimi ni mkweli sana, ni kweli nina shamba langu Morogoro nimelinunua kwa kiinua mgongo changu.
Mimi sikutaka kuwekeza kwenye majumba kwa kuwa nilikuwa sina pesa nyingi za kununua magorofa ndio maana nikaamua kuwa mkulima"

maadam kanunua shamba hilo kihalali sioni sababu yoyote ya kumshambulia,mbona mjomba wangu ana mashamba makubwa mengi pia?na ni mtu wa maadili sana.hoja hapa ni wale wanaokwapua fedha za umma kwa matumizi yasiyotarajiwa yaani wabadhirifu na mafisado.
tenda ya kuuzwa hilo shamba ilitangazwa wapi na mlishindanishwa na wanunuzi wengine kina nani na lini?
Mashamba Tanzania yako mengi wapi uliwahi ona Tenda?