Wont be the same
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,564
- 2,483
Msimamizi wa uchaguzi nafasi ya ubunge viti maalumu Mkoa wa Mbeya, Balozi na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Simon Sirro amewatangaza washindi Suma Fyandomo kuongoza kwa kura 1,152, Maryprisca Mahundi nafasi ya pili kwa kura 1,150 na matokeo mengine kwa ujumla.
Uchaguzi huo ulianza tangu jana Julai 30,2025 saa 6 mchana na kuhitimishwa saa 11 alfajiri ya leo Julai 31 ukishirikisha wagombea wanane na wapigakura 1,499.
Uchaguzi huo ulianza tangu jana Julai 30,2025 saa 6 mchana na kuhitimishwa saa 11 alfajiri ya leo Julai 31 ukishirikisha wagombea wanane na wapigakura 1,499.