Naona uchumi unapanda, magari yanaongezeka kila kukicha ILA miundo mbinu ya barabara kwenye HIGHWAY ni ileile wa miaka ya nyuma.
1. Tuanze sasa kufikiri kuwa na barabara za 4ways kwenye highway (Ulaya tayari wana 4ways, 6ways na hata 8ways; sisi bado tunakomaa na 2ways (2G). Ulaya hata sheria za barabara ni rahisi kutekelezeka kwa sababu barabara pia ni rafiki (zina enda upande mmoja nyingi).
2. Ujenzi wa barabara za highway, ujumlishe vivuko vya miguu vya juu au chini; hii ya kuchora mistari na matuta kila pahala nafikiri imepitwa na wakati.....mistari inaweza kutumika kidogo tu.
3. NAJUA CHANZO KIKUU CHA AJALI NI WATU KUOVERATKE HOVYO HOVYO; ILA UKIFIKIRIA KWA MAKINI KABISA KUOVERTAKE HOVYO HOVYO KUNASABABISHWA NA BARABA KUWA NYEMBAMBA (2WAYS- 2G)
Yaani kila kinachoruhusiwa kupita barabarani kinapita humo humo kwenye lane moja... Unakuta Gari binafsi ipo kms 140, Guta ipo KMS 40, Bajaji ipo KMS 45, Malori yapo kms 40, basi la abiria lipo kms 85 (halafu una ambiwa huruhusiwi kupita/ kuovertake)??? Nafikiri tuanze kufikiri nje ya boxi.....