Two things hapa,either huna conceptual way of thinking through this issue,ama wewe ni mmoja wapo wa wanaosapoti kurejea kwa Sultan,if the latter is the case,then umo kwenye mojawapo ya magroup aliyoyataja MKJJ ambayo hayatavunjika kwa maridhiano ya kina Seif,kwa hiyo wewe ni kielelezo tosha kabisa kwamba tutaulinda muungano in any means neccessary,nazidi kujifunza hapa.
Mkuu inaonyesha wewe ni mtu wa jazba sana, lakini kumbuka hapa si mahala pake. Naomba utambue kitu kimoja tu, ujifunze kutofautisha FACTS na OPINIONS.
Ha ha habari anazitunga kwa faida ya kudanganya, nimemuuliza hapo juu naona amekimbia maana hizo ni habari nimesisikia kutoka kwa viongozi wa Tanganyika ..ukienda mbele ili kuverify unagundua kuwa hizo ni lugha za Mtawala (mbara) ukimuuliza mtawaliwa (mzenj) anakwambia kitu tofauti sana!
Zanzibar ni nchi iliyoko kwenye demokrasia ya vyama vingi inawezakana vipi kurudi sultani, kama siyo hadithi za alinacha
Anachofanya hapa anawasaidia watawala bara..masikitika eti ameandika watanzania tunapenda mambo mepesi mepesi ..."Nimegundua anapenda mambo mepesi mepesi au anatumika"
Mimi napenda kumsikiliza anayedhulumiwa na si anayedhulumu asiyetenda haki
Ha ha weka conclusion upendavyo simjui sultan wala siwezi kufikiria hypothetical thing called sultan kuja kutawala popote katika tanzania?
Mwanakijiji anahofisha watanganyika (watawala) na wanaodhulumu kwa hadithi (hypothetical) enemy ambaye hayupo..nawasikitikia wazenj na watanganyika wanaolipia unyonyaji
Mtalinda by any means hata kama nikuua ndio lugha ya aliyezoea kula damu hawezi kuacha mtajiju wenyewe lakini hapa nitasema ukweli msidanganye semeni tunataka kuwatawala hao wazenj kama wanavyosema Israel kwa wapalestina no problem!
Hao viongozi wa Serikali ya Zanzibar ni watawala wa nani?Tukiwauliza wao ni watawaliwa ama watawala?
Kusema kwamba kwasababu Zanzibar iko kwenye demokrasia ya vyama vingi ndio maana haiwezi kurudi kwenye usultani ndo alinacha yenyewe.
Usimtukane mkunga na uzazi ungalipo....Issue ya Zanzibar nionavyo mimi ilikuwa na sawa na maji kumwagika na muungano ndo ulitumika kama tambara la kujaribu kuyanyonya ili kusave the situation kwani huwa hayazoleki tena,sasa wewe unapiga kelele tukamue tambara maji yajitenge,hilo halikubaliki.
Sio sultani tuu, wazanzibari wenyewe hawajakubali bado kuwepo kwa muungano.
Bora tuanze na hao walio ndani ya visiwa kwanza, halafu ndio tutizame kama muungano utakuwepo...then tumuulize na Sultani
Ala!Unapotetea issue ya Sultani unaitaja Tanzania kwa adabu kweli,lakini unajisahahu unarudi kwenye upuuzi wako kwenye following paragraphs.
Kwanini usiheshimu the fact kuwa mwenzio kaumiza kichwa kuja na hoja zenye akili,na wewe si ufanye the same ili mjadala uwe makini kuliko kuruka ruka kama panzi?
Tumain; refrain from attacking people but their arguments. If you continue your tirades of personal nature I will ban you until you calm down. There is no need to call people names to reinforce your arguments. It is the only public warning i'm giving you.
bigilankana; Kila nchi ina historia yake unique,hizo nchi ulizozitaja si Zanzibar,Zanzibar ni sehemu ya muungano wa Taifa la Tanzania,kwa hiyo ni kwei hatuwezi kuruhusu mazingira ya Sultani kutawala sehemu ya Tanzania.
Historia ya Tanzania ni unique usisahau hilo.
Katika hili hajaandika chochote na wala hajaumiza akili yeyote mwanangu wa somo la historia darasa la sita anaandika haya mambo ya sultani ambayo ni past old fashied hypothetical enemy! gosh!
Sultan sultan miaka 50 ya uhuru what a nonsense, walioko bara na visiwani hayo yako kwenye mafaili yaliyooza kwa vumbi...
Kuandika mambo kama haya inaonyesha upeo wa mhusika..siye wa kufikiri future kila siku anaangalia backward..hatuna huo muda sasa.
Wekeni muungano barazani tuujadili kwa haki..siyo kututishia kwamba tutaulinda kwa nguvu zote why? kwanini tulipie kitu kisocholeta tija kama maji shinyanga bila sababu?
Ha ha weka conclusion upendavyo simjui sultan wala siwezi kufikiria hypothetical thing called sultan kuja kutawala popote katika tanzania?
Mwanakijiji anahofisha watanganyika (watawala) na wanaodhulumu kwa hadithi (hypothetical) enemy ambaye hayupo..nawasikitikia wazenj na watanganyika wanaolipia unyonyaji!
Huyu sultan anayetaka kutawala zanzibar ni yupi? kwahiyo anakuja kumfukuza rais wa CCM/CUF kwa kutumia jeshi lipi?
Msiwadanganye wabongo kwa hypothetical enemy?
Hivi Zanzibar wananyonywa kwa kiasi gani na Bara? Je, Watanganyika /Bara wanafaidi vipi matunda ie. kama wengi (Zanzibarians) wanavyosema koloni la Zanzibar? Mwenye figures tafadhali aweke hapa na sisi tujue nani anakula hiyo keki peke yake tena kwa kujificha bila mamillioni ya wabara kujua.
Note:-
TUGANGE YAJAYO....
jamani sasa nimege, nitafune, nikulishe hadi nikumezee?
Hana haja ya jeshi,nani anayekwambia hakuna wanaotaka arudi?Na unaposema atakuja kumfukuza rais wa CCM/CUF una maana gani?Rais wa wapi?Sultani hawezi kumfukuza mtu kama muungano upo,na kwahivyo hoja yako hapo inakuwa ni hoja mfu....Ila kama hakuna muungano,je ni rais gani huyo wa CCM/CUF atakaekuwa anaitawala hiyo nchi unayodai kuwa rais wake atafukuzwa?
Take your time utajikuta unaelewa....It takes time.