Mimi sio kama sitaki ije,ila kwanini sisi ndio tusizalishe nyingi tuuuze njeAcha tu hiyo sukari iendelee kutapakaa. Mahitaji ya sukari nchini mwetu ni makubwa kuliko uzalishaji.
Inasikitisha tu enzi za mwendazake kusema hakuna kuleta sukari ya njendani ya Tanzania. Mwishowe kunywa chai imekuwa anasa, maana toka bei imekwea haijawahi kushuka tena.
Shida ipo kwenye uongozi wetu. Hujumu kwa wawekezaji wa ndani/nje hususani awamu ya yule ambaye mungu kampenda zaidi. Unatoa kauli mtaishi kama mashetani. Unafikiri kuna mwekezaji atakaa Tanzania.Mimi sio kama sitaki ije,ila kwanini sisi ndio tusizalishe nyingi tuuuze nje
Mama amefungulia nchiKuna zimwi gani Tanzania? Hivi bongo bahati mbaya kweli au ni ugumu wa kuwekeza hapa?
Sukari Tanzania ni shida, mafuta ya kula ni shida,kwanini tuna dhida wakati tuna kila kitu nchini?