Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 47,742
- 40,954
Kila kitu juu sabuni zenyewe wanataka ziwe anasa
Ni bora iwepo au isiwepo?,Kuna zimwi gani Tanzania? Hivi bongo bahati mbaya kweli au ni ugumu wa kuwekeza hapa?
Sukari Tanzania ni shida, mafuta ya kula ni shida,kwanini tuna dhida wakati tuna kila kitu nchini?
π½π ππππ ππππππππ ππππππ ππππ ππππ πΊπππ’π ππππ πππππ πππ ππππ ππ’πππππππKuna zimwi gani Tanzania? Hivi bongo bahati mbaya kweli au ni ugumu wa kuwekeza hapa?
Sukari Tanzania ni shida, mafuta ya kula ni shida,kwanini tuna dhida wakati tuna kila kitu nchini?
Petrol na Diesel vimepanda kimya kimyaKila kitu juu sabuni zenyewe wanataka ziwe anasa
Na viwanda vinavyolipuka huko IranPetrol na Diesel vimepanda kimya kimya
Tatizo la waTz: Maneno meeengi uwajibikaji 'O'Kuna zimwi gani Tanzania? Hivi bongo bahati mbaya kweli au ni ugumu wa kuwekeza hapa?
Sukari Tanzania ni shida, mafuta ya kula ni shida,kwanini tuna dhida wakati tuna kila kitu nchini?
TZ tuna viwanda vingapi vya sukari? Sukari ikitoka Uganda mpaka dar kg ni 2800Kuna uhaba mkubwa wa sukari wacha iwe nyingi na bei ishuke.
Hata mm nahisi si bure,mamiti na misitu tuliyonayo eti hadi Bamboo stik tuna agiza ChinaMahospitalini kuna dawa za Uganda kibao, dawa zenyewe ni maji ya sindano, mirija ya drip, na drip za maji mf. Dextrose, nk. Watanzania tuna laana sio Bure...
#justiceforsabaya
Mkuu nini tatizo? Nchi ndogo kama UG kutusambazia sukari hivi kweli! Huoni kuna haja ya kurekebisha maswala ya kikodi?π½π ππππ ππππππππ ππππππ ππππ ππππ πΊπππ’π ππππ πππππ πππ ππππ ππ’πππππππ
Na hilo ndo la msing .serikali isiangalie faida ya kodi itakayopata..inaweza isipate faida hyo ila ikatatua tatzo la ajira by the way hao wafanyakaz watakatwa Kod kwenye mishahara yao..faida ni nyiiing zaid ..waboreshe sera tu.isiwe ni maneno maneno meng. Kilimo kwanza sjui nnShida sio bidhaa kuingia nchini bali production costs na ufinyu wa wafanya Kazi.
Unatakiwa uweke mazingira rafiki zaidi yawe laize afare hususani kwenye bidhaa za kilimo hapo utawavuta wawekezaji.
Usipofanya hivyo ukazuia import mwisho wa siku hutapata unachokitaka na gharama ya bidhaa kwa raia itakuwa juu.
Viwanda kwenye sekta ya kilimo vinahitaji kubembelezwa,unaweza usipate faida ya kodi moja kwa moja ila ukapata faida ya ajira kwa watu na kuongeza thamani ya Mazao ya wakulima wakapata soko la uhakika na mwisho wa siku raia tukapata bidhaa kwa bei rahisi.
Kwa hiyo unaishauri nini serikali ya awamu ya 6Tatizo la wabongo ni lawama na maneno mengi vitendo hakuna,Na wazuri mno kutafuta mtu mmoja wa kummwagia lawama zoootee
Hakuna ubunifu bongo na akitokea mbunifu atawekewa kila aina ya vikwazo.
Watu wamebaki kupiga kelele na kulaumu mwendazake hivi mwendazake vile wamesahau mwendazake hajatawala tangu tupate uhuru mpaka sasa bali kwa awamu moja tu.
Asilimia kubwa ya viwanda bongo wamekamata wahindi nao wanapigwa vitana wabongo kwenye kuajiri vibarua pamoja na malipo
Kwa hiyo unaishauri nini serikali ya awamu ya 6
Msamaha wa kodi ni hapana sababu sukari sio bidhaa muhimu, sana sana ianzishe viwanda vipya vya sukari.Serikali ingetoa msamaha wa kodi kwa viwanda vya sukari ili vizalishe sukari kwa wingi nchini!!pia ianzishe viwanda vingine vya sukari huku ikitoa pembejeo bure kwa wakulima wa miwa nchini!!Tatizo la sukari lingeisha kabisa!!!
Serikali ya Tanzania ni kama bado haijaelewa Arthur Laffer's Curve ni nini.Shida sio bidhaa kuingia nchini bali production costs na ufinyu wa wafanya Kazi.