SUGU anafanya nini hapa?

Kamanda anamaanisha hii kitu mimi mwenyewe inanisumbua the great,,pole sana ndugu yangu, saluti na,safari njema
 
kazi ipo 4.jpg
 
Ni situation ambayo imejitokeza tu na wala haina maana mbaya
 
Jamaa yaelekea anapenda sana hiyo mambo...

Pamoja na yote ila hajampita jeykey- (source ni watoto wake na mama zao) au unasemaje Rejao??
BTW- baadala ya ambulace tu kuwa kwenye misafara ya prezdaa- naomba popote anapoenda avae au kuvalishwa helmet hata kwa nuvu kwani hakawiiagi kuanguka na kwa ugonjwa huu wa Kanumba atatia hasara taifa zaidi!

hence bulletproof kwake haina haja wala tija!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom