Sugu amuumbua Waziri Magufuli

Sugu amuumbua Waziri Magufuli

Magufuli ni almasi! wewe ni nini? Unasifia dume hadi wewe mwenyewe unajiweka shimo la taka!

Vipi hapo Chalinze, kuna mbunge?
Vipi hapo ilala, kuna mbunge?
Vipi hapo Gairo, Kuna mbunge?
Vipi hapo Kalenga, Kuna mbunge?
Vipi hapo, nk.
Vipi hapo kwenu, kuna mbunge?

Taja unakodhani kuna mbunge wa kujisifia. Anyejua anachokifanya.

kati ya hao unadhani majimbo uliyoyataja unahisi kuna yeyote unaweza kumfananisha na Sugu? leta CV zao, ila any way huenda naongea na mtu mwenye upeo kama wa sugu std 7 kwenye ulimwengu wa technologia.
 
Sugu uwezo wake wa akili ni mdogo sana, ndio maana anakosa heshima kwa wanaomzidi umri. Pia ile kitu anayovuta inampeleka kasi sana.
 
Hivi nyie CHADEMA barabara zenu nzuri mlizojenga ziko wapi?
 
Si bora mmepata hizo mbovu? Je mngekosa kabisa?

ulivyo punguani unadhani zinajengwa na lumumba,hii ni kodi yetu na kama ni mkopo,walipaji ni sisi na vizazi vyetu! Tumia kichwa kufikiri na si kufikiri kwa mnyeo.
 
umechakaa hadi ubongo,kwa hiyo hizi zilizopo zimejengwa kwa pesa ya magamba au ni kodi zetu? kuishabikia ccm hadi uwe chiizz kiaina.

Kwahiyo nyie CHADEMA hakuna chochote cha maendeleo mnachoweza kuwafanyia watanzania?
 
Na strabag ya pale jangwani daraja lingetakiwa lianzie faya mpaka magomeni kutokana na kuwa pale jangwani ni mkondo wa maji tuliona jinsi tulivyoathirika na zile mvua zilizopita njia zote zilifungwa ika baki kigogo ina maana tanzania hamna wataalamu au wameenda likizo na pesa zenyewe zinatolewa na word bank hawakawii kuchakachua sie si mazoba hakuna wa kutusemea serikali ndi mshika mpini.
 
Si bora mmepata hizo mbovu? Je mngekosa kabisa?

duuuh kumbe barabara ni huruma ya anayetoa kiasi kwamba chochote anachowza kutoa n sahihi? srkl hii haijui quantity na quality kabxa
 
Makofuli huyu ni mnafiki sana safi kamanda sugu umemchana ukweli huyo ngifi
 
ni kwseli sugu umemchana Magufuli,huyu mtu magufuli amekalia rushwa na kuwabeba wakandarasi wakichina tu
mfano mzuri barabara ya makambako songea imejengwa miaka ya mwishoni ya 80 ila mpaka leo ina ubora sasa njoo kwa barabara za hawa wachina ni vihoja miradi mingi pesa hakuna na kilichobaki tunamlipa mkandarasi pesa ya IDLE TIME wale wahandisi mnanielewa
magufuli amesababisha hasara ya mabilioni ya shilingi huku kwenye sekta ya barabara
miradi mingi ya fedha za ndani imesimama na tunamlipa mkandarsi pesa ya mitambo kutofanya kazi
kheri SUGU umeliona hilo wachina wanadhulumu wazawa hasa vibarua na magufuli upo kimya
atukubali dhuluma hii kamwe na ni kheri kusema kuliko kukaa kimya
 
ni kweli kabisa mh Magufuli ANALILETEA TAIFA hasara maana barabara nyingi ni pesa za mikopo
tutazilipa tu hasa hawa wachina ndio bure kabisa na ndio magufuli na serikali sikivu ya CCM inawakumbatia
 
Magufuli ni almasi! wewe ni nini? Unasifia dume hadi wewe mwenyewe unajiweka shimo la taka!

Vipi hapo Chalinze, kuna mbunge?
Vipi hapo ilala, kuna mbunge?
Vipi hapo Gairo, Kuna mbunge?
Vipi hapo Kalenga, Kuna mbunge?
Vipi hapo, nk.
Vipi hapo kwenu, kuna mbunge?

Taja unakodhani kuna mbunge wa kujisifia. Anyejua anachokifanya.

mkuu usikimbizane na mahayawani
 
Hivi nyie CHADEMA barabara zenu nzuri mlizojenga ziko wapi?

Kaka tuwe na uchungu basi na kodi zetu, kuna barabara mbeya kutoka town kuelekea meta imejengwa mwaka jana nikiwa mbeya, mwezi wa nne nimepita haifai kabisa, bara bara ya tandale uzuri to sinza haina hata miaka mitano tayari hoi, daraja la ruvu halina hata mibaka 2 lina ufa tayari, Pale sekenke hapana miaka 5 tayari kuna mahandaki, kutoka tunduma kuelekea sumbawanga ile barabara ina mabango yameandikwa "kwa msaada wa watu wa marekani" umeona speed ya ile barabara kutoka kibaoni kwa pinda mpaka wilaya ya nkasi? Toka uhuru 1961 bado kigoma kufika ni shida, umeona zile shimo kati ya mwigumbi na mwanza unapotoka shinyanga to mwanza? Hii barabara haina 10years.

Tujaribu kuwa na busara kwenye masuala yanayotia nchi hasara, hizi hasara huletwa na wachache kwa nini wasichukuliwe hatua?? Hizi ni kodi zetu na mikopo itakayolipwa na wajukuu??
 
Hakika bila ushabiki, barabara ya songea-Makambako ni tangu miaka ya 80! Lazima kuna tatizo na wataalamu na mawaziri wa sasa. Tunaomba wasikasilike. Wajiulize mapungufu yao.
Khaa yaani mnashindwa hata kujiuliza kwanini kiatu mnachivaa mara kwa mara kinachakaa upesi kuliko kile mnachovaa siku ya xmas tu??? Nyie akilizenu za ajabu kabisa
 
verry stupid comment of the year.

Ni kweli mijitu MIP.afu utaijua kwa kusidia ujinga deni la taifa linaongezeka kwa mijitu kuaribu kazi kwa kupata ten percent wanatengeneza vitu vibovu misifa kede kede
 
Tazama Pia barabara ya Domadoma Moro, ina miaka zaidi 27 bila matengenezo makubwa ilisimamiwa ya Isiza miaka 80
 
Back
Top Bottom