Sugu gani alikua anaomba bia, huyu mwanzilishi wa hip hop bongo au???? Acha kuota we buku7 fc,
Nimefurahi kusikia TIMU BUKU 7 FC, do thats its good,
Aaaah?
una kirara eeeh? mpatie kama niaje niaje karoho kako kama kamemdondokea.
Sugu alikuwa anapita bar kuomba bia hii leo ana utajiri wa kutisha...pesa za mfuko wa jimbo badala ya kujengea zahanati yeye kaenda kujijengea jumba la kifahari...
Ok mngemshauri aende kidogo shule haya mengine ya ustaarabu angeepuka nayo mbunge gani kama chokoraa tu wa kule street au kwa kuwa ni mbunge wa wahuni tuchukulie poa tu.
Sugu alikuwa anapita bar kuomba bia hii leo ana utajiri wa kutisha...pesa za mfuko wa jimbo badala ya kujengea zahanati yeye kaenda kujijengea jumba la kifahari...
Mbeya hipi hiyo au kuna Mbeya nyingine Tanzania hii hii tofauti na ile ya nyanda za juu kusini. Sugu bado anakubalika na kwa taarifa yako Mbeya sasa wanataka CDM tu haijalishi amesimama nani CDM itashinda tuacha uongo,mbeya hawataki ata kusikia habari za sugu tena...kila siku kupigana bungeni wanambeya wameshamchoka hafanyi walichomtuma.
Mkuu mbeya panatisha panang'aa lami -kila sehemi
View attachment 115148
Picha ya katikati ya jiji la Mbeya , Mabatini Industrial Area.
Au tuseme kwa kifupi tunaibiwa!!
Mkuu usijisumbue na hao foul smoke billowing F4-Failures.mkuu acha kupotosha watu, sugu atapata wapi hela ya kutengenezea lami.. huo ni msaada kutoka world bank.
pia kubadilika kwa mbeya kumechangia kwa ongezeko la wawekezaji na sio sugu.
acha uongo,mbeya hawataki ata kusikia habari za sugu tena...kila siku kupigana bungeni wanambeya wameshamchoka hafanyi walichomtuma.
Soko marola ndiyo soko gani we upo mbeya kweli kwenda zako,
kumbe sugu sigu hizi anajenga barabara,
sugu aache kupigana ajenge barabara we hewa kweli.
Mkuu usijisumbue na hao foul smoke billowing F4-Failures.
Mkuu nikikuwekea matokeo yangu kwanzia lasaba, form4 na 6 hadi chuo na kazi ni nayofanya utajihisi kinyesi mbele yangu cha maana ni tudiscus maendeleo anayoyaleta sugu apa mbeya
mkuu acha kupotosha watu, sugu atapata wapi hela ya kutengenezea lami.. huo ni msaada kutoka world bank.