Subira yangu ndio imeniponza

Subira yangu ndio imeniponza

Kwa ninavyowajua hao Wanyarwanda, pindi wakifaham kuwa wanagombewa mahali, huwa wanajiinua sana na kuwachuna kisawasawa. Mkuu hajapata mwingine. Take it from me. Mpe mtihani, leo. Mwambie kuna vijisenti vinakusumbua na unaomba umtoe out this weekend. Mwambiye unataka mwende mbali kidogo popote unapopajua umwonyeshe nchi yako ilivyo nzuri. Mwambiye asichukue chochote wewe unatosha. Kama ana mtu, si atakuambia?? Nakuhakikishia, kabla hujamalizia sentensi atakuwa kishajib
 
husinambie, asanteni mmerudisha matumaini ntakomaa nae, then nitareta mrejesho
Husisahau kuureta hukifanikiwa au hikishindikana. (Samahan lakin, hiv umesema hapo juu upo chuo, yaan mpaka hapo ulipo hujui namna ya kutumia herufi!). Husisahau aisee.
 
ndio mkuu, nilidhani ataniona kijana niliyetulia nisiyenapapara, maana ndugu zetu kutoka nje huwahawapendi uwatamkie mapema kuwa unawapenda, i'm telling you this maana ilishawahi kunitokea kwa mnorwei mmoja, tumefahamiana nae within a week nikatema cheche, akanambia "you are a liar, a great liar, you can't fall in love in a week". but end of the day nilifanikiwa ila kwa mbinde, it takes me four months, can you imagine? wanaume tunaangaika sie!

hahahaaaaaa,hapo ndipo ulipokosea mkuu,mzungu ni tofauti sana na mwafrika,siku nyingine usichanganye madesa
 
kiuhalisia, wanawake wengi kama sio wote tunaotongoza wana watu wao, wapo wachache walioumizwa au kuamua kwa sababu zao kuwa wapweke, na huwa hamsemi utamkataa mtu kwa sababu zingine kabisa, hapo ni kamtihani jamaa amepewa ajiongeze
Aendelee kumfwatilia....? Labda anasema ukweli kiwa ana mtu.......
 
Kwa ninavyowajua hao Wanyarwanda, pindi wakifaham kuwa wanagombewa mahali, huwa wanajiinua sana na kuwachuna kisawasawa. Mkuu hajapata mwingine. Take it from me. Mpe mtihani, leo. Mwambie kuna vijisenti vinakusumbua na unaomba umtoe out this weekend. Mwambiye unataka mwende mbali kidogo popote unapopajua umwonyeshe nchi yako ilivyo nzuri. Mwambiye asichukue chochote wewe unatosha. Kama ana mtu, si atakuambia?? Nakuhakikishia, kabla hujamalizia sentensi atakuwa kishajib
teh teh teh! umenifurahisha, ntafanya ivyo this weekend
 
Husisahau kuureta hukifanikiwa au hikishindikana. (Samahan lakin, hiv umesema hapo juu upo chuo, yaan mpaka hapo ulipo hujui namna ya kutumia herufi!). Husisahau aisee.
hizo ni writing error ndugu, mbona huku JF mnajifanya mnajua sana? kasoro zenyewe zina kasoro. ok, anyway. nitaleta mrejesho kama nitakavyoupata
 
Hana mtu huyo anakuzingua tu...mkazie uzi unakula mzigo
Wasichana wengi wanatumia hiyo slogan kujilinda bt ukimkazia unakula maini...kazi kwako
 
Amini amini nakwambia mlie bati mwenyewe atakuja ila ukimganda atakutesa vibaya
 
Amini amini nakwambia mlie bati mwenyewe atakuja ila ukimganda atakutesa vibaya
shukran, wikend hii ntamtega kumtoa out, akizingua namimi nafunga vioo nasubiri aje mwenyewe
 
Back
Top Bottom