Subira yangu ndio imeniponza

Subira yangu ndio imeniponza

Kama wasemavyo wahenga kuwa "mapenzi hayana shujaa", mwenzenu yamenipata. Kuna dada mmoja mnyarwanda tunasoma nae chuo kimoja, yeye first year mimi third year.

Mimi ni miongoni mwa marafiki zake wa mwanzo hapa chuo kwa kuwa nilikuwa free kugonga nae kimombo maana wenzangu hawapendi kugonga kimombo muda mwingi.

Nilitokea kumpenda, siunajua tena wanyarwanda walivyojaliwa! yaani mashallah!. Lakini sikuwahi kumtamkia wazi zaidi ya texts za hapa na pale na callings kwa mbali.

Sasa leo nimefunguka na hii ndiyo text yake aliyonijibu:
"i have someone, i did it coz i thought we are just friends. u never talked so i thought u are not interested in. i gave that chance to someone else. so was it my fault or your fault?".
Nimeumia sana ndugu zangu.
Mwambie akiyagutie mnyarwanda mwenzake ugonge na akufundishe "kunyaza"
 
Pole kwa kushika pembe wakati mwenzako anakamua na kunywa maziwa.
 
Yaani kwa thread yako tu naweza kupiga picha ulivokua domo zege na michomekeo yako, begi lako mgongoni na kidhungu chako cha kuunga unga! Na usipobadilika amini nakuambia utakua inaambulia manyoya kila siku
asante mkuu, umepatia vyote kasoro domo zege, mi sio domo zege ata kidogo ndugu
 
siku nyingine usiwe domo zege kiasi hicho
asante, ila naomba ifahamike kuwa mimi siyo domo zege, ningekuwa domo zege ningekuwasijamjua msichana hadi leo, lakini nshawajua wasichana kama wanne ivi
 
Yeye hataki kula....anataka awe wake wa kudumu....ndiyo maana anaumia
kiuhalisia, wanawake wengi kama sio wote tunaotongoza wana watu wao, wapo wachache walioumizwa au kuamua kwa sababu zao kuwa wapweke, na huwa hamsemi utamkataa mtu kwa sababu zingine kabisa, hapo ni kamtihani jamaa amepewa ajiongeze
 
Mpaka hapo unaumiza kichwa wakat mwenyew keshaelekea kibla! Kaa ushangae hapo
 
asante, ila naomba ifahamike kuwa mimi siyo domo zege, ningekuwa domo zege ningekuwasijamjua msichana hadi leo, lakini nshawajua wasichana kama wanne ivi

sasa unalalamika nn mkuu,au ulijua kwa kukawia kwako kumtamkia kuwa unampenda ndio atakuona wewe ndio upo poa kwa kuwa hukumtamkia mapema
 
If me I were you, siwezi hata kumtamkia namtaka au nampenda but atajikuta tu yeye ndo anabwabwaja yote hayo. Na mzigo ananipa ndio anaanza kuhangaika ooo mi nakupenda...

Ji evaluate mkuu
Naomba nikuelekeze kidogo tu. Huwa noun hazifatani,
Huwa tunasema if I were u. Sio if me I were u.
Thanks.
 
sasa unalalamika nn mkuu,au ulijua kwa kukawia kwako kumtamkia kuwa unampenda ndio atakuona wewe ndio upo poa kwa kuwa hukumtamkia mapema
ndio mkuu, nilidhani ataniona kijana niliyetulia nisiyenapapara, maana ndugu zetu kutoka nje huwahawapendi uwatamkie mapema kuwa unawapenda, i'm telling you this maana ilishawahi kunitokea kwa mnorwei mmoja, tumefahamiana nae within a week nikatema cheche, akanambia "you are a liar, a great liar, you can't fall in love in a week". but end of the day nilifanikiwa ila kwa mbinde, it takes me four months, can you imagine? wanaume tunaangaika sie!
 
Kama wasemavyo wahenga kuwa "mapenzi hayana shujaa", mwenzenu yamenipata. Kuna dada mmoja mnyarwanda tunasoma nae chuo kimoja, yeye first year mimi third year.

Mimi ni miongoni mwa marafiki zake wa mwanzo hapa chuo kwa kuwa nilikuwa free kugonga nae kimombo maana wenzangu hawapendi kugonga kimombo muda mwingi.

Nilitokea kumpenda, siunajua tena wanyarwanda walivyojaliwa! yaani mashallah!. Lakini sikuwahi kumtamkia wazi zaidi ya texts za hapa na pale na callings kwa mbali.

Sasa leo nimefunguka na hii ndiyo text yake aliyonijibu:
"i have someone, i did it coz i thought we are just friends. u never talked so i thought u are not interested in. i gave that chance to someone else. so was it my fault or your fault?".
Nimeumia sana ndugu zangu.
Mwambie akupe nduguye
 
Back
Top Bottom