Subira yangu ndio imeniponza

Subira yangu ndio imeniponza

naulaje ndugu? tupeane techniques maana nimejaribu sana, nikamwambia anipe chance even a minute nimhug na vitu vyetu vileee, akaniuliza ntafeel je kama nina girlfriend akafanya ivyo kwa boy mwingine?
If me I were you, siwezi hata kumtamkia namtaka au nampenda but atajikuta tu yeye ndo anabwabwaja yote hayo. Na mzigo ananipa ndio anaanza kuhangaika ooo mi nakupenda...

Ji evaluate mkuu
 
Kwani ulikuwa unasubiria nini mda wote huo?
basi tu nilikuwa navuta subira hasinione napenda penda, nilitaka nije nimwambie "sijakupenda leo nimekupenda long time, na kila nikikuona napata hisia za kuoa".
 
If me I were you, siwezi hata kumtamkia namtaka au nampenda but atajikuta tu yeye ndo anabwabwaja yote hayo. Na mzigo ananipa ndio anaanza kuhangaika ooo mi nakupenda...

Ji evaluate mkuu
ok, thanks
 
basi tu nilikuwa navuta subira hasinione napenda penda, nilitaka nije nimwambie "sijakupenda leo nimekupenda long time, na kila nikikuona napata hisia za kuoa".
Pole kijana ila sometimes inatokea ila ikitokea chance nyingine usilaze damu.
 
Yaani kwa thread yako tu naweza kupiga picha ulivokua domo zege na michomekeo yako, begi lako mgongoni na kidhungu chako cha kuunga unga! Na usipobadilika amini nakuambia utakua inaambulia manyoya kila siku
 
Unajua sometimes bora umwambie MTU ukweli ili ujue moja kama unachekechwa au unakubaliwa tu
Wengine wanawaweka wanawake kwenye mzani sasa mpaka pande zote zi balance........wenzio washamuweka kwenye target wanalenga shabaha
 
Huyo unambabua vizuri tu Ila usijiweke mazima, hao watoto wa Kinyarwanda ni shida
asante mkuu, ila najua kwanini unasema ni shida, maana mafemu wazuri full kupeana stress, mi akinikubalia ntakuwanae for pleasure not as a future wife
 
Wengine wanawaweka wanawake kwenye mzani sasa mpaka pande zote zi balance........wenzio washamuweka kwenye target wanalenga shabaha
Hahaha anatafuta balance wakati wengine tayari kajaa kwenye target mwisho wa siku manzi anakuja kukutambulisha bwana wake. Utasikia huyu ndio shemeji yako
 
Ulifanya maamuzi magumu kutomwambia lakini siku nyingine usione ugumu kufanya maamuzi magumu ktk maisha yako
 
Back
Top Bottom