rubbish
Rubbish kwa kivipi wakati ni kweli kuna FORESTER SUBARU zina tofauti ndogo na SUBARU FORESTER. Kama haujui kitu ni bora kunyamaza kuliko kutukana.
rubbish
Nashukuru kwa kitia moyo. Nafikiri hatupaswi kuogopa sana bei za spare kwa sababu sio kila kukicha unabadilisha spare ya gari. Wenzetu wanasema if you use it take care of it. If you take care of it, it is going to last longer.
unajua bei ya bumper ya Suzuki Swift?nenda Ilala na Gerezani kaulize kama wana sidemirror ya Subaru Forrester ,ukipata uliza bei kama ni chini ya laki nne,nunua hiyo gari
Nashukuru kwa kitia moyo. Nafikiri hatupaswi kuogopa sana bei za spare kwa sababu sio kila kukicha unabadilisha spare ya gari. Wenzetu wanasema if you use it take care of it. If you take care of it, it is going to last longer.
SUbaru is one of the Best Cars ,kama unapenda comfortability na Power.
Fuel Consumption haina ni ya kawaida sana ,min ni 8km/l and yet gari inakimbia vizuri.
Spare tangu 2010 imekuwa sio shida ,Subaru zipo kibao hapa town ,ukienda kwa Karim ,Nyange bei ya kutupa tu na ni spare Original.
Atown ,kenya maspare kibao. Sioni Sababu ya kuogopa.
Ila kama wadau walivyosema angalia matumizi yako na interest zako pia. Kuna watu wanakatisha tamaa wakati wao wanamiiki ROver au Volvo.
Mimi wakati nanunua Mitsubishi mini wakati huo nilitishwa sana, kwamba hakuna spare mara ooh, kakianza kuharibika nitakakimbia. Lakini hivi ninavyoongea hakajawahi kuharibika halafu nikakosa spea. Na zaidi ya yote, zaidi ya kubadili oil ya injini na gea box, spea niliyowahi kubadilisha ni mafula na injini mounting tu na kama miaka miwili sasa tangu ninunue. Na ninaenjoy kuendesha kwa shilingi 10000 tu kwa siku kutokea Mbagala hadi ubungo kwenda na kurudi kila siku. Sasa najiuliza vile vitisho vya mara spea, mara kakianza kuchoka, mbona sivioni? Wewe nunua kile roho inapenda. Mengine yote yatajulikana mbele ya safari.Subaru Forester ni gari zuri na imara ila ugumu unaweza kujitokeza pale litakapohitaji matengenezo. Spea za Subaru bado ni adimu sana Tanzania. Na hata zikipatikana, ni ghali. Jambo lingine ni uchache wa mafundi wanaomudu kuzifanyia matengenezo injini za Subaru ambazo kitaalam zinaitwa flat-four au boxer engines. Kama ukiamua kununua Subaru Forester hakikisha unaitunza vizuri ili kuepuka matengenezo ya mara kwa mara.
Nataka kununua gari ya Subaru Forester. Naomba mtu mwenye uzoefu na hiyo gari aniambie mazuri na mabaya yake.
Vp kuhusu 'kubota?
Kigari sikipendi sijui kimekaaje? Hata bure sitaki.
Subaru forester has a very unique drive experience. U will enjoy it. Consumption sio ya kutisha kiivyo but huwezi kuilinganisha na toyota saloon, but from my experience its better than rav4 or noah. If u take a good care of it, u shud not worry about spare.
Mimi wakati nanunua Mitsubishi mini wakati huo nilitishwa sana, kwamba hakuna spare mara ooh, kakianza kuharibika nitakakimbia. Lakini hivi ninavyoongea hakajawahi kuharibika halafu nikakosa spea. Na zaidi ya yote, zaidi ya kubadili oil ya injini na gea box, spea niliyowahi kubadilisha ni mafula na injini mounting tu na kama miaka miwili sasa tangu ninunue. Na ninaenjoy kuendesha kwa shilingi 10000 tu kwa siku kutokea Mbagala hadi ubungo kwenda na kurudi kila siku. Sasa najiuliza vile vitisho vya mara spea, mara kakianza kuchoka, mbona sivioni? Wewe nunua kile roho inapenda. Mengine yote yatajulikana mbele ya safari.