James Kasonda
Member
- Apr 2, 2012
- 84
- 49
Nataka kununua gari ya Subaru Forester. Naomba mtu mwenye uzoefu na hiyo gari aniambie mazuri na mabaya yake.
Nataka kununua gari ya Subaru Forester. Naomba mtu mwenye uzoefu na hiyo gari aniambie mazuri na mabaya yake.
...na zikipatikana ni very expensive.Spare zake hazipatikani kirahisi.
Kweli kuuliza si ujinga, ujinga ni kutokuuliza! Nashukuru sana kwa maoni yenu. Hiyo gari siigusi hata kwa kidole, loooh!!!
Subaru forester has a very unique drive experience. U will enjoy it. Consumption sio ya kutisha kiivyo but huwezi kuilinganisha na toyota saloon, but from my experience its better than rav4 or noah. If u take a good care of it, u shud not worry about spare.
Nashukuru kwa kitia moyo. Nafikiri hatupaswi kuogopa sana bei za spare kwa sababu sio kila kukicha unabadilisha spare ya gari. Wenzetu wanasema if you use it take care of it. If you take care of it, it is going to last longer.
Spare zake hazipatikani kirahisi.
Na vipi FORESTER SUBARU?
suzuki???what a nice car,kwanza ngumu,spare ziko available,mafuta inafanya kunyonya kdg tuWatu wengi wanasema Suzuki ni gari nzuri kwa kila kitu. Wengine mnasemaje?