Suala la Notebook na Simu mahakamani: Kuna uwezekano Mawakili wa Serikali waliamua kuharibu ushahidi kwa makusudi?

Mkuu hakuna sheria inayokataza shahidi kuingia na diary wala simu tena kuna wakati shahidi anaweza kuiomba mahakama kujikumbusha vitu mbalimbali kama vile namba au akaunti. Subiri kesho utaona uamuzi utakavyokuwa. Kinachokatazwa ni kutoa ushahidi ukisoma moja kwa moja toka kwenye kumbukumbu yoyote bila idhini ya Mahakama.
Huyo aliyekutwa nayo aliomba idhini ya mahakama? Swala siyo hairuhusiwi ,inaruhusiwa kwa idhini ya mahakama baada ya shahidi kuiomba mahakama.
 
Huyo aliyekutwa nayo aliomba idhini ya mahakama? Swala siyo hairuhusiwi ,inaruhusiwa kwa idhini ya mahakama baada ya shahidi kuiomba mahakama.
Anaiomba mahakama kuingia nayo kizimbani au kuitumia/refer? Ninavyojua mimi shahidi anaomba mahakama ku refer na wala siyo kuingia nayo kizimbani.
 
Mkuu hakuna sheria inayokataza shahidi kuingia na diary wala simu tena kuna wakati shahidi anaweza kuiomba mahakama kujikumbusha vitu mbalimbali kama vile namba au akaunti. Subiri kesho utaona uamuzi utakavyokuwa. Kinachokatazwa ni kutoa ushahidi ukisoma moja kwa moja toka kwenye kumbukumbu yoyote bila idhini ya Mahakama.
Kweli , lakini utangulize ombi mahakama iwe na taarifa, siyo Kama alivyofanya huyu, hiyo ni haramu.
 
nashukuru unakubali kuwa shahidi hakatazwi kuwa na hizo docs pale kizimbani. haona akili zimeanza kukurudi hauendi kama nyumbu tena.

Sijawahi kuwa nyumbu. Huo u - nyumbu ubaki nao wewe na uwe wako sawia...
sasa, kama sheria inaruhusu kuwa navyo (kwa maana kwamba haikatazi kupanda navyo kizimbani), unaweza kuniambia kama kuna proof yeyote kwamba shahidi alivitumia ili tuestablish kwamba alifanya hivyo bila ridhaa ya mahakama ili tumhukumu huyu shahidi kama unavyotaka?
Mosi, kwani wewe unaweza kujuaje kuwa hakuwa anavitumia hivyo vitu?

Ni rahisi mno ku - prove kuwa alikuwa anavitumia kuliko kusema alikuwa havitumii.

Why..?

It's because ushahidi ni "KUONA na KUSIKIA" na hapa "KUONA" ndiyo ina - apply. Na basically, hubishi kuwa alipokaguliwa kweli "ALIKUTWA NAVYO", au siyo?

Najua utasema "aliyeona" ni Prof. Jay na kumtonya wakili Kibatala kwa kumwandikia kimemo/text msg. Hili unaweza kulipindua tu iwapo utatuambia kuwa sheria inataka wakili mwenyewe ndiyo aone na siyo mtu mwingine...

Lakini kama hiyo haipo ktk sheria, then that's a proof and it's obviously that, aliyeona [Prof. Jay] ndiye anaweza kuwa shahidi wa kuthibitisha....
No, hakuna uthibitisho kuwa alivitumia, jaji hakumwona shahidi, mawakili wa utetezi hawakumwona, kibatala anasema kuna mtu amekaa kule kwenye viti prof j amenitumia msg, kweli hadi prof j aone wewe uliye karibu na shahidi usimwone?

You are contradicting yourself...

Kwani sheria inasemaje juu ya "kuona?". Nani anapaswa kuona?
uoni kama kibatala ali act kwenye mambo ambayo hana uhakika nayo akaimove mahakama kuanza kuhangaika na kitu cha kijinga?

Are you truly serious? Hana uhakika navyo!!?? Unaongelea uhakika gani wewe? Kwa sababu hoja ilitolewa, Jaji akaikubali na shahidi alipokaguliwa kweli akakutwa na vitu hivyo. What kind of assurance you wanted Kibatala to have?
na ndio wakili wenu huyo mnategemea amtoe mbowe, hivi mbowe amewakosea nini aisee hadi mnamtelekeza hivi, kuna mawakili kibao wazuri huko?

chapwa24, hakuna kesi ya kumfunga mbowe hapo kwa sbb hata mtu ambaye hajui a,b,c za shaeria aliona hili tangu shahidi wa kwanza wa jamhuri Afande Kingai aanze kutoa ushahidi wake...

Kama ni kumfunga, basi si kwa sababu za kisheria bali ni kwa sababu watakuwa wametaka afungwe...!!
nawewe,nijibu swali hili ambalo litakupa majibu ya maswali yako yote? Je, kuna uthibitisho pasi na shaka kwamba shahidi alisoma diary hiyo? ridhaa tunajua hakuwa nayo, ila kusoma alisoma au hakusoma? prove it.
Prove wewe kwamba hakusoma!!

Mimi ni rahisi mno kusema alikuwa anasoma kwa sbb ni kweli alikuwa na vitu vyote hivyo kizimbani...!!

Sasa, prove na wewe kama hakuwa anasoma. Na I am sure kwa jinsi unavyokomaa si ajabu ukaja na argument hii;

Kwamba;

Yes, proof ni kuwa "..baada ya kukaguliwa hakukutwa na vitu hivyo" na kwa hiyo asingeweza kusoma notebook/diary ambayo hana!!
 
nimekuletea vifungu vya sheria viko wazi kabisa halafu bado unabisha? nani kawaloga ninyi? suala la jaji kuchukua hivyo vifaa usiniulize mimi, kamuulize yeye jaji, na pia utakapomuuliza hilo muulize pia ile hoja alimuuliza kibatala kama alimwona huyo shahidi akivitumia hivyo vitu. jaji mwenyewe anajua kuwa kuwa navyo tu vile vitu sio kosa ila kuvitumia bila ridhaa yake, huwa tunamwomba jaji au hakimu pale mahakamani kwamba shahidi anahitaji kuperuzi arefresh mindi kitu ambacho alikirekodi sehemu kipindi kile mind yake ilipokuwa fresh, na jaji au hakimu huwa anaruhusu. sasa shida ni kwamba kila mwanachadema sasahivi anajiona mwanasheria, ndo maana nikaamua niwawekee s.168 and 168 ya Cap.6 ili mbishane navyo kwasababu ninajua hata mawakili wenu walikuwa hawavijui.
Hata ukitetea vipi, kesi imepinda sana kwa kutunga uongo, na uongo unawaweka pabaya waliotunga, ndo maana shahidi aliingia saa saba akipigwa kwanza tuition.
 
Naona umepata desa, vizuri sana. Sasa twende utaratibu maana unaweza kuwa unashida ya lugha...


Alikuwa na ridhaa ya mahakama...?


Kuonwa au kutoonwa na wakili siyo ishu. Ishu ni kuwa alionekana na wengine na mawakili wakapewa taarifa na kisha kuthibitisha na ikawa kweli na vitu hivyo kuonekana/kukamatwa vikiwa na shahidi akiwa kizimbani...


1. How sure are you, that what he was refreshing from the diary/notebook was written by himself...?

2. Was he permitted by the judge to do that prior court procedures of doing so...?


Answered above


Unaelewa maana ya hii;

"....if the court satisfied there is sufficient reason for non production of the original and with the permission of the court refer to the copy of such writing...."

So tell us;

1. Was he permotted by the court to refresh?

2. That which was being read by the witness, was it relevant to the original copy of the document referred to by the witness...?



Unasema mwenyewe;

"....wakati mwingine shahidi huwa anaruhusiwa ku - refresh..."

Tuambie hapa aliruhusiwa na nani? Na wewe bush lawyer...???
BUSH LAWYER
 
Back
Top Bottom