Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
masikini nchi yangu
JK uliambiwa nchi haitatawalika ukawa unacheka cheka sasa kazi ndo imeanza ...ugali moto mchuzi moto...
kitu kikubwa katika mipango ya selikali kwa wakati huu ni sensa kuonyesha kwa sheria ile kandamizi selikali hatuipendi ni kuikwamisha kwenye mipango yake tukianzia hili la sensa ni ujumbe tosha kuwa hatuipendi tukiiunga mkono kwenye mipango yake huo ndio unafiki9 na uoga naunga mkono wafanyakazi kugomea sensa mpaka sheria ya nssf na mifuko mingine irekebishwe sensa big nooo kwa wafanayakazi wote na familia zetukugomea sensa! sidhani kama ni njia sahihi ya kushinikiza madai ya wafanyakazi ni kama vile dalili za kuuma na kupuliza(uoga),
vyama vya wafanyakazi vina wajibu wa kuwatetetee wafanyakazi,
na suluhisho ni nikuandaa migomo na maandamano nchi nzima tu
wako wapi TUCTA????
onesha uwezo kidogo wa kufikiri kule kuna watoto na mke wangu binamu yangu, mtoto wa dada, babu mtoto wa nje wa baba, hawa wote hawapo nawaambia hakuna sensa uoni bado hili lina impact kubwaIpo haja ya kufanya ammendiments katika hili (mafao new law) na kuhusu wafanyakazi kugomea sensa sawa wanaweza kufanya hivyo lakini si tayari idadi yao inajulikana kwenye funding insitutions hizo? So sio suluhisho kugomea sensa cha msingi hapa ni namna gani tutapata mafao yetu before 55yrs.Kwa sasa yatupasa kujiuliza maswali haya 1.Hivi kuna ulazima wowote wa kutunziwa pesa na mifuko hii? 2.Kama ulazima upo kwa manufaa ya baadae je kuna riba katika utunzaji huo?
wao kazi ikipungua ataendelea kula mshahara mpaka umri ufike mimi kazi ikipungua ndio kikomo cha ajira yangu yaani hapo tofauti kabisa ni maji na mafuta hatufanani hata chembe streach brain a little bitHeading ingekua WAFANYAKAZI WA SEKTA BINAFSI na sio wafanyakazi wote.
kwani wale waajiriwa wa serikali kuu na wale wa TAMISEMI siku zote wamekua hawana hiyo priviledge ya kujitoa kwenye mifuko yao ya PSPF na LAPF.
Hata ukifanya kazi miaka 20 lakini ukawa haujatimiza umri wa kustaafu huwezi kulipwa mafao ya kujitoa kwenye hiyo mifuko pamoja na kuwa na wao wanachangia asilimia 20% ya mishahara yao kila mwezi.
Hiyo mifuko ya PSPF na LAPF pamoja na wa ZSSF(kwa Zanzibar) imeshaset precedence ya hii sheria mpya kuanza kutumika mpaka kwenye sekta binafsi. Sababu tutaambiwa hata hao wengine nao ni watanzania na wana matatizo
kama yetu sote.
jamani sisi wafanyakazi kugoma kuhesabiwa ndiyo basi..au kuna hatua inayofata hivi hatuna viongozi wa wafanyakazi mbona leo huko geita wameandamana viongozi wetu wako wapi? wanamsimamo gani
Naunga mkono hoja. TUCTA sijui kwa nini hawajahamasisha suluhisho la pamoja??Nahisi kuna misscomunication baina ya wafanya kazi au hakuna umoja.
laiti kungekuwa na umoja nasema hili swala leo tungekuwa tunadiscuss issues nyingine kabisa kwani lingeshatatuliwa kitaambo.
hata tukijibu "hapana" kwa hilo swalila kwanza kwa mfano,Ipo haja ya kufanya ammendiments katika hili (mafao new law) na kuhusu wafanyakazi kugomea sensa sawa wanaweza kufanya hivyo lakini si tayari idadi yao inajulikana kwenye funding insitutions hizo? So sio suluhisho kugomea sensa cha msingi hapa ni namna gani tutapata mafao yetu before 55yrs.Kwa sasa yatupasa kujiuliza maswali haya 1.Hivi kuna ulazima wowote wa kutunziwa pesa na mifuko hii? 2.Kama ulazima upo kwa manufaa ya baadae je kuna riba katika utunzaji huo?
Hapa kuna viongozi wengine ambao wako kwa manufaa ya wanachama mfano Dr Ulimboka...ni wakati wa kuchagua viongozi walio makini zaidi kwa manufaa ya wanachama wao.mwanajamii tatizo liko hapo kwenye red......
hivi vyama vya wafanyakazi nafikiri viongozi wake ndio wananufaika zaidi kuliko wanachama.....
wangekuwa wapo kwa ajili ya maslahi ya wafanyakazi, hili suala la mafao wangekuwa wameshaunganisha wanachama wao ili waliweka sawa hili jambo.....
binafsi sioni umuhimu na faida za kuwepo hivi vyama.....
Mkuu acha tu yani hicho kitambulisho cha taifa kisingekua cha kupigia kura nisingejiandikisha kabisa na hyo sensa lazima tuikwamishe coz haina manufaa yoyote inaharibu tu kodi zetu mie sitohesabiwa na sitaki kuhesabiwa waondoe ungese wao kabisa tena akija mtu wakuhesabu sensor namkurupusha na bastola!
nitakuwa mmoja wawatakaogoma kuhesabiwa..